Mke wangu anadai simridhishi kitandani

Piga chini! au uwe mvumilivu kuchapiwa.
 
Bro kwa ufupi tu huyo hana hisia na wewe

Swala la kuridhika au kutosheka kingono ni mindset yako/yake jinsi ilivyo kwa wakati huo
Kama akilini mwako ukishaona huyu mwanamke hajui mapenzi hata siku moja hawezi kujua vivyo hivyo kwa mwanamke.

Kwa mfano angalia mwanamke mara nyingi akichepuka akili yake inakuwa inaamini yule wa nje ndo anajua kunyandua kuliko wa ndani lakini kwa mwanaume huyo huyo aloechitiwa akipiga manzi nje anapiga round za kutosha

So its about hisia na akili alovoiset tu wala hii isikuumize ila muulize tu yeye je anafanya jitihada gani ili kuridhika maana kuna wanawake wengine kwa wanaume wao akinyonywa tu ziwa anakojoa.
 
Aisee hzi nguvu zakusema hivyo ametoa wapi?
 
🀣🀣🀣 muumiani mnyonya damu a.k.a dracula πŸ˜…
 
Km wewe unaridhika usimsikize akwendree.!!

Kila siku nasema suala la mwanamke kuridhika inategemea na mindset yake..!!
Akitaka kuridhika ataridhika tu labda km anakupa ujumbe kufikishwa kwa namna nyingine. ( Akifikia level hiyo achana naye MALAYA HUYO) πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu mambo ni mengi sana unajikuta umechoka na kuhisi umemaliza kila kitu lakini cha kushangaza miaka mitatu yote ndyo aje aniambie leo na ndyo nahisi kuna muhuni tayari
Basi jitahd umridhishe. Madhali kakwambia ndio anakutaka bado huyo na anataka kuridhishwa na wewe na sio mtu mwengine.
Note: Kumridhisha mwanamke ni kumkojoza na sio kusuguuuuuuwaaaaa weeeeee mpk pakatoka cheche za moto. Unaweza wewe ukaenda hata round 4 na mwanamke akawa hata hajafika mahali anaona unampa kero tu.
We hushangai kuna wanawake wana mahusiano na wanawake wenzao na wanadumu tu, unadhani wanatiana matango!? Issue ni foreplay, tafuta namna ya kumkojoza mpk a-vibrate au apoteze faham japo dakika 1. Na ikiwezekana akwambie hasa nini utapomfanyia ndio ataridhika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…