Mke wangu anadai simridhishi kitandani

Naona kama una kitu🤔
 
Mwanamme ukiambiwa na mwanamke wako hujamridhisha umefanya makosa makubwa mawili.

1. Hujamridhisha.
2. Hujajua kuwa hujamridhisha mpaka uambiee naye.

Inatakiwa hata usipomridhisha ujue wewe kwanza kwamba hujamridhisha.

Yani ikibidi ujue huyu mwanamke sitamridhisha kabla ya game ujiandae kiufundi zaidi usituangushe kiumeni.
 
Tatizo unamridhisha mtu kwa kutumia dawa inayodumu kwa muda halafu ukute ana mtu anaemridhisha na hatumii dawa aani always yuko fit,naona hilo litakuwa tatizo kwangu
Hakuna cha dawa wala nn, na hakuna mwanamke asiyekojoa trust me, mkeo anakupenda sana na lemgon ake naamini ni Kutaka hii raha awe anaipata nyumbani.
 
We mpige katerero ata sema asante bebe😆😆
 
Naona kama una kitu🤔
Sio kitu tu. Nna experience ya kutosha. Tatizo wanaume zile zuga zetu za aaahhh ahhhhhh mnaona km kweliiii tumefikaaaaa. Kumbe zuga tu zile, kumsaidie mwaname amalize akuondolee kero.
Ni wachache sn wanaoweza kumaliza kwa pamoja...na ile ina raha yake sana.
Unajua wanawake tunahitaji affection sana, tofauti na wanaume, mwanamme anaweza akipata joto la uke kdg tu akakojoa na akawa kesharidhika.
Na ndio maana wanawake hatuishi kuumwa viuno, mikojo imetukwama mnashindwa kuikwamua
 
cha kujiuliza unaweza jirekebisha
Kama huwezi achana
 
Uko sahihi mawasiliano ni muhimu siyo syota syota kama jogoo 🐓
 
Ni jambo la kawaida kwa wanandoa kupitia changamoto kwenye maisha yao ya ndoa, hasa katika suala la mahusiano ya kimapenzi. Ni muhimu sana kujaribu kuelewa na kutatua tatizo hili kwa njia ya mawasiliano yenye ufanisi na heshima.

Cheki video fupi HAPA
Kuna mambo kadhaa ambayo unaweza kufanya:

1. Ongea kwa Ufungwa:
Chagua wakati muafaka: Chagua wakati ambapo nyote mko watulivu na mnaweza kuzungumza bila kuvurugwa.
Eleza hisia zako: Mwambie mke wako kuwa unamjali sana na unataka kuboresha uhusiano wenu.
Sikiliza kwa makini: Mpe nafasi ya kuelezea hisia zake kwa undani bila kukatizwa.
Epuka kulaumiana: Zingatia kutatua tatizo badala ya kulaumiana.

2. Jaribu Kuelewa:
Tafuta sababu: Jaribu kuelewa ni nini hasa kinachomfanya mke wako ahisi hivyo. Je, kuna mabadiliko yoyote katika maisha yenu ambayo yanaweza kuwa yanachangia?
Uliza maswali wazi: Uliza maswali ya wazi ili kuelewa mahitaji yake vizuri zaidi.
Tumia lugha yenye heshima: Epuka kutumia maneno ambayo yanaweza kumuumiza au kumfanya ahisi kudharauliwa.

3. Tafuta Msaada wa Kitaalamu:
Mshauri wa ndoa: Mshauri wa ndoa anaweza kukupa zana na mbinu za kuboresha mawasiliano na uhusiano wenu.
Daktari: Ikiwa tatizo lina mizizi ya kiafya, ni muhimu kushauriana na daktari.

4. Jifunze Kitu Kipya:
Soma vitabu: Kuna vitabu vingi vinavyozungumzia kuhusu maisha ya ndoa na jinsi ya kuimarisha uhusiano wa kimapenzi.
Tazama video: Kuna video nyingi za kielimu mtandaoni ambazo zinaweza kukupa miongozo.
Ongea na marafiki: Ongea na marafiki wa karibu au ndugu ambao umewafanya kuwa na ndoa yenye furaha.

Mambo ya kuzingatia:
Angalia kwa umakini jifunze kwenye video hii HAPA

Usipoteze matumaini: Matatizo katika ndoa ni ya kawaida, na kwa mawasiliano mazuri na juhudi za pamoja, unaweza kutatua tatizo hili.
Usijilinganishe: Kila mtu ni tofauti, na kile kinachomfanya mwenza wako afurahi kinaweza kuwa tofauti na kile kinachomfanya mtu mwingine afurahi.
Jipende mwenyewe: Ni muhimu kujipenda na kujitunza ili uweze kuwa mwenzi bora.
Kujua zaidi nicheki HAPA
 
Ujumbe wake umeuchukulia in a negative way,unadhani ni ajabu mwanamke kukaa na mwanaume asiyemridhisha hata Kwa miaka 5 bila kumwambia?mkeo ni jasiri Sana usimuache, unadhani ni rahisi Kwa mwanamke kumwambia mwanaume hamridhishi?
 
Wenda hakukutana na huyo jamaa miaka hiyo kaja kukutana nae kabla hajakuambia. Amekanywagwa kisawasawa akaona msela huna jipya.

Jaribu kuangalia simu yake kuna mengi utagundua. Kwa hayo maneno Possiblity ya kwamba either amepigwa au alipigwa au anapogwa ni zaidi 90%
 
Simu aachane nayo itampa stress halafu atajibiwa mbovu zaidi atamwambia unashindwa kuchimba mgodi ukiichunga simu yangu ndiyo utaweza kuchimba mgodi atatue hili tatizo mbona ni kitu rahisi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…