Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
Kama mkeo anajamba:
1. Ni aina mpya ya limbwata kua makini.
 
yani me nitoe offer ya kupigwa pasi rafiki bye:crying::crying::crying::crying: bye siwezi vumilia haya
yawezekana so maksudi ana tatizo na tatizo laweza kusababishwa na nguvu za giza mpeleke walokole wamuombee kama ni pepo litatoka atakuwa saw a.
 
yawezekana so maksudi ana tatizo na tatizo laweza kusababishwa na nguvu za giza mpeleke walokole wamuombee kama ni pepo litatoka atakuwa saw a.

me mmwenyewe natoa pepo wabaya na wachafu
 


Hahahahah mkuu vitu vingine vinafurahisha sana,,,sasa Jambo kama hili ukiwa kama kiongozi wa familia kwenye nyumba nalo ni la kuomba msaada? Usikute huyo mkeo anakudharau sana,inakuwaje unamwambia jambo upo serious ye anaishia kucheka?
 

Kabla ya kuoa ni muhimu watu mkafahamu ethics za ndoa, hilo ni jambo la ndani, sasa umeanika bayana siri ya mkeo, ambayo sisi hautuhusu. Kwa imani yangu, ni dhambi kubwa sana kuweka bayana mambo ya ndani kwa wasiohusika.

Ushauri wa kizushi: Jibu mashambulizi na wewe ili ngoma iwe droo
 
Nitawaelezaje wazee? Niwaambie mke wangu anajamba? Ndio maana nimeileta hapa ambapo hatufahamiani kwa sura.

Ikiwa unashindwa kuwaeleza wazee wako au wake kama karaha zimekuzidi ili waongee nae basi stahamili tu, mwenzio anajuwa una enjoy.
 

I'm serious, we nipe tu ushauri, usilaumu wala kufoka bila kujua mambo ya ndoa. N
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…