Mara ngapi tumeona mke na mume wakisuluhishwa au kushauriwa na watu wazima, wazazi au serikali?Kabla ya kuoa ni muhimu watu mkafahamu ethics za ndoa, hilo ni jambo la ndani, sasa umeanika bayana siri ya mkeo, ambayo sisi hautuhusu. Kwa imani yangu, ni dhambi kubwa sana kuweka bayana mambo ya ndani kwa wasiohusika.
Ushauri wa kizushi: Jibu mashambulizi na wewe ili ngoma iwe droo
Hahahahah mkuu vitu vingine vinafurahisha sana,,,sasa Jambo kama hili ukiwa kama kiongozi wa familia kwenye nyumba nalo ni la kuomba msaada? Usikute huyo mkeo anakudharau sana,inakuwaje unamwambia jambo upo serious ye anaishia kucheka?
Wana JF naomba dawa ya kukoroma. Siwezi lala ugenini kwani ni Aibu. Wenye mzaha waache nipate ushauri constructively pls!
Mara ngapi tumeona mke na mume wakisuluhishwa au kushauriwa na watu wazima, wazazi au serikali?
Inaonekana hayajakukuta au hujaoa.
Huu ni udhaifu wa mkeo hukupaswa kuumwaga hadharani, sijawahi kuona wanandoa wanasuluhishwa kwa vijambo vya mmoja wao,
Ethics za ndoa bado zitabaki kuwa muhimu kwa watarajiwa wote
Ivi kujamba ni kosa? au ni dhambi? mbona ni kitu cha kawaida sana??Mi namshangaa huyu mtoa mada eti akitaka kujamba aende chooni, khaa!!ivi usiku umelalal ushuzi ukakubana kabisaa unakurupuka kwenda tu kujamba!!! Aa wapi, mi sikubaliani na wewe! Kama anajamba mbele za watu apo kweli sio poa lakini kama huko na mumewe wala sio issue bwana!
Hujawahi kuona kwasababu hujawahi kusuluhisha.
Kusuluhisha vijambo bado sijaona, hii ni kali ya kufungulia mwaka 2014
Mwaya jaribu kumpangia ratiba ya maji ya kunywa kwa wingi na chakula asile sana.
........... Pole manake mmmmh.
Ok ila upo serious, na unahitaji ushauri... ungespecify education level ya huyo mke wako, kama shule hamna basi tatizo tutajua anakosa ustaarabu... tafuta siku muweke sawa huku umevaaa sura ya kiume halafu muambie aache mambo ya kifala, amashakua mtu mzima aache kubehave kama mtoto... huenda atakuskia ..... Halafu usiwe na mazoea naye sana, huenda anakuchukulia poa sana ndo maana anafanya huo ujinga..I'm serious, we nipe tu ushauri, usilaumu wala kufoka bila kujua mambo ya ndoa. N
I'm serious, we nipe tu ushauri, usilaumu wala kufoka bila kujua mambo ya ndoa. N
Kweli wewe unakinyaa dadaangu, hata avatar yako inakusadifu vema... kapua na kamdomo umekakunja vema kuonesha kuwa hufagili kabisa mambo mashuzi.... saluti kwakoMmmh.... Huu uzi umenichekesha saana..!
Ambavyo sipendi watu wanao jamba jamba hovyo..!!
Kama umemkanya na bado anaachia mishuzi hovyo, huyo atakuwa mgonjwa...!
Ok ila upo serious, na unahitaji ushauri... ungespecify education level ya huyo mke wako, kama shule hamna basi tatizo tutajua anakosa ustaarabu... tafuta siku muweke sawa huku umevaaa sura ya kiume halafu muambie aache mambo ya kifala, amashakua mtu mzima aache kubehave kama mtoto... huenda atakuskia ..... Halafu usiwe na mazoea naye sana, huenda anakuchukulia poa sana ndo maana anafanya huo ujinga..