mimitungi
JF-Expert Member
- May 14, 2013
- 738
- 261
Mara ngapi tumeona mke na mume wakisuluhishwa au kushauriwa na watu wazima, wazazi au serikali?Kabla ya kuoa ni muhimu watu mkafahamu ethics za ndoa, hilo ni jambo la ndani, sasa umeanika bayana siri ya mkeo, ambayo sisi hautuhusu. Kwa imani yangu, ni dhambi kubwa sana kuweka bayana mambo ya ndani kwa wasiohusika.
Ushauri wa kizushi: Jibu mashambulizi na wewe ili ngoma iwe droo
Inaonekana hayajakukuta au hujaoa.