Khaaa!!!! hilo husijaribu atakupigia simu kila dakika, ilishawahi kutokea ni liondoka mwezi, ila simu kwa siku alikua anapiga kama mara 20, kuna kipindi eti nataka kusiki sauti yangu chezi kabisa........Wewe kama yote yameshindikana omba transfer ya kikazi kafanyie mkoa mwengine hapo alipo muache na watoto mtaongea kwenye simu tu!
😄😄😄Mrekodie sauti awe anawasha kipaza sauti kama ile ya sumu ya panya, kunguni na viroboto
Mimi Niko kati ya wenye visirani na hao chubby so itakua nina element kotekote[emoji1787]Wewe hauko na umbile kama hilo?
Mpaka hapa umeshapewa ushauri wa kila aina. Hebu tuambie, utafanyeje sasa ili mkeo asikugande tena? Tutoke kwenye nadharia tuingie kwenye praktiko sasa. Kwa hizi za kuambiwa ulizozipata hapa ukichanganya na zako, unafikiri utalitatuaje hili tatizo?Mrefu sana yule ni gianti ila tabia zake za kunilinda kila mahara ndo zina nikera
We hupendi kuendesha chomboHata mm nataka mume wangu aniendeshee[emoji23][emoji23] anataka kudeka
Hebu mdekeze bana. Navyopenda mimi kudekaa[emoji23][emoji119][emoji119]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Aah wewe 50/50 aiseeMimi Niko kati ya wenye visirani na hao chubby so itakua nina element kotekote[emoji1787]
Wewe siyo kibonge [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Haleluyah.....Vibonge Oyeee.
Nimekuelewa vizuri sasa..Hunitakii mema eh!!! Ujue tu mpaka BAK kaamua hiyo picha asiiweke hapa basi picha ni noma hata kusema kilichomaanishwa na picha ile pia ni noma ila vibonge huku mitandaoni ME wanawapandisha chart sana. ME wengi sasa wanataka wawe na Kibonge.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe shusha mzigo huku mnapiga stori mkuu,mm mbona nafanyaga ivyo nikiwa na my future wife [emoji28][emoji28]Mahaba ya kizidi yanakua kero mtu unaenda chooni anakuchungulia eti mahaba i need my privacy back plz
Mimi sina pesa nikawaida tu ila nina uweza wa kupata basics za kuishi kawaida, kuna siku naishiwa paka napanda daladala nashikiria bomba juu manake niko kawaida. Sasa imagine mtu anakupigia simu wuko kwenye daladala na anataka muongeeSamahani mkuu,mm ni mdogo sana kwako
Ila sio kama ndio inavyotakiwa iwe mtu hataman company ya mtu mwingine zaidi ya mume/mke
Akianza kutoka na mashosti sijui kama utapenda.
Je,wewe ni una hela eeeh?
Maana madeko yanakuja na mfuko unasemaje
Ha ha ha..Wewe siyo kibonge [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Wa mleta mada ni sampuli hizi. Mapoooleeee, matulivu, mavivu yanadeka hayana neno na mtu na yakishapenda yamependa kweli ng'wanawane....No way out.....Aah wapi chubby girl yuko na round shape wanaita! Sio bonge yani!
View attachment 1975222View attachment 1975223View attachment 1975224
Sampuli hizo
Kuwa smart ndugu,inaonekana ana haiba iyo,na haiba haiwez badirika kamwe,unatakiwa upambane na hali yakoMimi sina pesa nikawaida tu ila nina uweza wa kupata basics za kuishi kawaida, kuna siku naishiwa paka napanda daladala nashikiria bomba juu manake niko kawaida. Sasa imagine mtu anakupigia simu wuko kwenye daladala na anataka muongee
Hapana., wa mtoa mada lazma awe sampuli hii hapaWa mleta mada ni sampuli hizi. Mapoooleeee, matulivu, mavivu yanadeka hayana neno na mtu na yakishapenda yamependa kweli ng'wanawane....No way out.....
Angetaka vurugu angeoa kakimbaumbau. Saa hii angekuwa analeta nyuzi zingine kabisa yaani [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1975250View attachment 1975275View attachment 1975276
Ewaaah!!Hapana., wa mtoa mada lazma awe sampuli hii hapa View attachment 1975294
Hawa ndio wakipenda atakuganda mpaka useme nini ni nini na kwanini!!!
Hahahahhaha uzuri hilo American Truck utaendesha mwenyewe tu ndio raha yake!Ewaaah!!
sisi wazee wa Heavyduty ndo vitu vyetu hivi [emoji23][emoji3516][emoji41]
BBW for life, I don't do skinny chicks
Siku akinuna, unapitia kuku tu sehemu anasahau [emoji23]
Hahhaha [emoji23]Hahahahhaha uzuri hilo American Truck utaendesha mwenyewe tu ndio raha yake!
Ukilipiga cornflakes na maziwa linatulia tulii! Au unalichapa pizza pori