Mke wangu ananipiga vijembe WhatsApp

..............ww unaona hyo tabia yake unauwezo wa kuivumilia, kama unweza kuvumilia bas ndo pungufu lake mvumilie.

Mvumilivu hula mbivu, kila mtu ana mapungufu yake muhimu kuwa mvumilivu.
 
[emoji38][emoji38]unaharibu mkuu, mrushie taulo
 
mblock watsup kwa muda then kaa kimya..

akichoka kukaa kwao atakutafta

usijichoshe,
kama mamake na babke walishatengana basi huyo nae atakusumbua tu
Hii mambo huwa inafatilia sana...ikianza kwa wazazi tu na kwa watoto kuna uwezekano mkubwa tu kutokea
 
Kwani wanawake wakichepuka huchepuka na wanawake wenzao au sijaelewa?
Anatafuta point kwa kina dada wa humu, soma comments zake zote utajua. Hadi anachokitetea ni nonsense kabisa, mtu mwenye akili zake hawezi kukingia kifua
 
Hivi una ushawahi kuugua ugonjwa wa akili? Au unatafuta attention za wadada humu, wakuone mtu wa maana. Hicho ulichoandika hata akikiona mzazi wako atajuta kuzaa mtu kama wewe, ni pumba uliyoiremba kwa rangi za keki
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivi una ushawahi kuugua ugonjwa wa akili? Au unatafuta attention za wadada humu, wakuone mtu wa maana. Hicho ulichoandika hata akikiona mzazi wako atajuta kuzaa mtu kama wewe, ni pumba uliyoiremba kwa rangi za keki


Inahitajika akili kubwa kuelewa nilichoandika, maji ya kina kirefu hayo, usicheze na jiwe la mtoni wewe.

Kwa akili yako ya kiwango chako cha kisoda kuelewa madini kama hayo ni mtihani mkubwa!

Tena nakustahi sana.

Jifunze kujadili hoja na siyo kumu-attack mtu personally.

Hapo mimi nimechangia hoja kwa kutumia nafsi ya tatu sija attack mtu lakini wewe kwa akili yako finyu unakimbilia attack ?!

1. Great mind discuss issues

2. Average mind discuss events

3. Weak mind discuss people

Wewe unaangukia hapo namba 3.

Pole sana halafu kuwa kilaza kwa mtu wa jinsia yoyote ni mbaya lakini kuwa kilaza kwa Mwanaume ni mbaya zaidi.

Umedandia gari kwa mbele hiyo ni hatari sana kwa usalama!
 
Unafahamu wakiwekwa vilaza wawili mwanamke mmoja na Mwanaume mmoja kwa jinsia ya kike huwa ni afadhali.

Imeandikwa: hata mpumbavu anyamazapo huhesabiwa hekima.

Chutama usitirike @ Hassan Mambosasa.

Unafahamu mtu kama huishi naye karibu ili kujua kama ni mpumbavu au siyo ni kwa njia ya yeye kujieleza kwa kuandika au kwa kwa maneno.

Ndiyo maana interview zote za kazi kufanyika kwa kuandika au kujieleza kwa maneno au vyote ili wawatambue wapumbavu na werevu.

Yani inasikitisha sana kwa Mwanaume kuwa Kilaza na mpumbavu.

CC: Hassan Mambosasa.
 
Huyo siyo mke.....ni mwanamke. Tia akili
 

Dah ila kuna watu mna ndoa ngumu sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…