Mke wangu ananipiga vijembe WhatsApp

Mke wangu ananipiga vijembe WhatsApp

..............ww unaona hyo tabia yake unauwezo wa kuivumilia, kama unweza kuvumilia bas ndo pungufu lake mvumilie.

Mvumilivu hula mbivu, kila mtu ana mapungufu yake muhimu kuwa mvumilivu.
 
Na vipi huyu jini ulishaachana naye?

[emoji38][emoji38]unaharibu mkuu, mrushie taulo
 
mblock watsup kwa muda then kaa kimya..

akichoka kukaa kwao atakutafta

usijichoshe,
kama mamake na babke walishatengana basi huyo nae atakusumbua tu
Hii mambo huwa inafatilia sana...ikianza kwa wazazi tu na kwa watoto kuna uwezekano mkubwa tu kutokea
 
Kwani wanawake wakichepuka huchepuka na wanawake wenzao au sijaelewa?
Anatafuta point kwa kina dada wa humu, soma comments zake zote utajua. Hadi anachokitetea ni nonsense kabisa, mtu mwenye akili zake hawezi kukingia kifua
 
Wengine wanatumika sana nje Kwa michepuko wakirudi ndani kwa wake zao nguvu hawana huenda michepuko inawaroga !

Mwanaume anapochepuka anamu- expose mkewe kwenye risk kubwa sana.

Ikibidi ni afadhali mwanamke achepuke uafadhali ni Mkubwa kuliko akichepuka Mwanaume ni hatari kwa ustawi wa ndoa na familia kwa ujumla.

Kwa fedha nyingi za familia zinaenda kupotea kwa michepuko (Cash outflow) wakati akichepuka mwanamke inakuwa kinyume chake kwenye ndoa mwanamke analeta cash inflows ambapo eventually inakuwa Na manufaa kwa familia nzima.

Kuchepuka kwa Mwanaume kuna muuma mke wa ndoa sio tu sababu ya wivu wa kimapenzi lakini pia na upotevu wa rasilimali fedha za familia na associated risks kama vile kurogwa n.k

Actually ingekuwa si dhambi ningewa - encourage ladies kuchepuka zaidi maana uwezekano wa kuleta cash inflows kwenye familia ni mkubwa na kuliko akichepuka mwanaume kwenye ndoa hasara tupu ukiachilia mbali kurogwa.

Mchepuko Mwanaume ni nadra sana kutokea kumroga mchepuko wake wa kike sababu motives za kufanya hivyo hazipo.
Hivi una ushawahi kuugua ugonjwa wa akili? Au unatafuta attention za wadada humu, wakuone mtu wa maana. Hicho ulichoandika hata akikiona mzazi wako atajuta kuzaa mtu kama wewe, ni pumba uliyoiremba kwa rangi za keki
 
Kwani huyu mke wako si mlishaachana mkuu?

😂😂😂
 
Hivi una ushawahi kuugua ugonjwa wa akili? Au unatafuta attention za wadada humu, wakuone mtu wa maana. Hicho ulichoandika hata akikiona mzazi wako atajuta kuzaa mtu kama wewe, ni pumba uliyoiremba kwa rangi za keki

Inahitajika akili kubwa kuelewa nilichoandika, maji ya kina kirefu hayo, usicheze na jiwe la mtoni wewe.

Kwa akili yako ya kiwango chako cha kisoda kuelewa madini kama hayo ni mtihani mkubwa!

Tena nakustahi sana.

Jifunze kujadili hoja na siyo kumu-attack mtu personally.

Hapo mimi nimechangia hoja kwa kutumia nafsi ya tatu sija attack mtu lakini wewe kwa akili yako finyu unakimbilia attack ?!

1. Great mind discuss issues

2. Average mind discuss events

3. Weak mind discuss people

Wewe unaangukia hapo namba 3.

Pole sana halafu kuwa kilaza kwa mtu wa jinsia yoyote ni mbaya lakini kuwa kilaza kwa Mwanaume ni mbaya zaidi.

Umedandia gari kwa mbele hiyo ni hatari sana kwa usalama!
 
Unafahamu wakiwekwa vilaza wawili mwanamke mmoja na Mwanaume mmoja kwa jinsia ya kike huwa ni afadhali.

Imeandikwa: hata mpumbavu anyamazapo huhesabiwa hekima.

Chutama usitirike @ Hassan Mambosasa.

Unafahamu mtu kama huishi naye karibu ili kujua kama ni mpumbavu au siyo ni kwa njia ya yeye kujieleza kwa kuandika au kwa kwa maneno.

Ndiyo maana interview zote za kazi kufanyika kwa kuandika au kujieleza kwa maneno au vyote ili wawatambue wapumbavu na werevu.

Yani inasikitisha sana kwa Mwanaume kuwa Kilaza na mpumbavu.

CC: Hassan Mambosasa.
 
Habari wenzangu.

Jamani ukweli nimebaini mke wangu anamatumizi mabaya ya simu, nilikutana sms yeye anasema ni rafiki yake ila mie sikuipenda kwa hio nikakosana naye akaenda kwao nami nikabaki kwangu sasa ni zaidi ya miezi 4 basi vikao vikawekwa akakubali kurudi ila naona amekua mkali ukisema kitu anakijia juu na maneno maneno ya shombo kibao.

Sasa juzi nilikua nakarabati nyumba yetu wakati yeye yuko kwao basi nikawa napiga plasta na rangi baadhi ya vyombo vikarukiwa na tope na rangi alikuja kuchukua kitu akaona kua imekua hivyo katukana huyo kwa kusema nimemfujia vyombo vyake akatukana sana na kukata simu.

Leo ni siku kama ya 6 hatujawasiliana mimi sijampigia na yeye hajapiga ila huko whatssap huko vijembe kibao yeye ni mzuri mie sijui kukea namjibu jeuri mambo kibao.

Sasa naona kwa kosa hilo tunafikiana huko jee akirudi tukikosana si atanimalizia maneno huyu.
Huyo siyo mke.....ni mwanamke. Tia akili
 
Dah ila kuna watu mna ndoa ngumu sana!
 
Back
Top Bottom