othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 7,714
- 12,239
- Thread starter
-
- #21
Mkuu wewe ungeweza kuachana nao? Kichaa anachekesha akiwa hatoki nyumbani kwako ujue.Nimesema achana nao tu,
Unaweza kuwazuia watu kwa mkeo lakini huwezi mzuia mkeo kwa watu anaowataka ....
Hela natafuta lakini hazitoshelezi kununulia ndinga mkuutafuta hela
Hata kale kanaitwa ka IST mkuu 😅Hela natafuta lakini hazitoshelezi kununulia ndinga mkuu
Kama hela nazisaka mkuu lkn sio za kununulia ndinga mkuuWatakuja wa kukwambia tafuta hela ili upunguze unyonge.
Asante sana😅😅 polee😢
Unataka Ushauri, huku unamajibu yako mfukoni??Mkuu wewe ungeweza kuachana nao? Kichaa anachekesha akiwa hatoki nyumbani kwako ujue.
We shauri tu lkn unaposhauri na wewe uone kama ungeweza kufanya kama unavyoshauri?Unataka Ushauri, huku unamajibu yako mfukoni??
Sio lengo la sasa kununua gari, tunasomesha halafu kuna kakibanda tunamalizia pembezoni mwa mji so gari litaingiza gharama zisizo na.msingi kwa sasa.Hata kale kanaitwa ka IST mkuu 😅
Pole mkuu we muombee wife awe anaenda na kurudi salama mpka utakaponunua gari lakoSio lengo la sasa kununua gari, tunasomesha halafu kuna kakibanda tunamalizia pembezoni mwa mji so gari litaingiza gharama zisizo na.msingi kwa sasa.
Ngoja tuone lkn kuna usalama kweli hapa?Pole mkuu we muombee wife awe anaenda na kurudi salama mpka utakaponunua gari lako
😢😢 alooooMkuu hapo ni 100% unachapiwa... Hiyo ilishawahi kunikuta japo haikuwa kwa mke bali girlfriend... Nilitombewa na watoa lift wawili tofauti
Mtoa lift wa kwanza nilisamehe kwa kuhisi aliteleza
Baada ya kama miezi mitatu akajitokeza mtoa lift mwingine, mama ikaanza dharau nikaipiga chini
Usalama upoNgoja tuone lkn kuna usalama kweli hapa?
Duh, Mkuu wewe ndio umekuja kunifanya usiku niuone mchungu.Mkuu hapo ni 100% unachapiwa... Hiyo ilishawahi kunikuta japo haikuwa kwa mke bali girlfriend... Nilitombewa na watoa lift wawili tofauti
Mtoa lift wa kwanza nilisamehe kwa kuhisi aliteleza
Baada ya kama miezi mitatu akajitokeza mtoa lift mwingine, mama ikaanza dharau nikaipiga chini
Hivi upo serious nilidhani ni utaniDuh, Mkuu wewe ndio umekuja kunifanya usiku niuone mchungu.
Huwa najiuliza sana huko njiani kote huwa wanaongea kitu gani?
Natania vp nipo serious yani kichwa kinauma hapa ile mbaya.Hivi upo serious nilidhani ni utani
Pole sana aisee😢
Pole sanaNatania vp nipo serious yani kichwa kinauma hapa ile mbaya.
Ngoja tuonePole sana
Ila usijali hawatafanya kitu