Mke wangu anapanda sana lifti za magari ya wapangaji wenzangu, mimi sina gari

Tatizo hilo mkuu!! Hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke, huyo anayempa rift angekuwa mwanamke mwenzake sawa lakini nje ya hapo utalia, wanawake wanadanganywa kwa vyitu vidogovidogo! Huyo mke wako kama haridhiki na hali yake maana alishaingiwa na Tamaa na mali za watu, chukua hatua kama mwanaume mpige marafuku! Kumbuka wanawake akili zao ni ndogo sana wanahitaji kuongozwa muda wote, fikiria wewe kila siku angekuona unapewa lift na mwanamke jirani yako je angekubali huyo mke wako??

Huyo jirani naye ni mpumbavu huwezi kila siku unampa mke wa mtu lift huo ni ujinga! Huyo jirani yako na mke wako wote wapumbavu
 
Nimesema achana nao tu,
Unaweza kuwazuia watu kwa mkeo lakini huwezi mzuia mkeo kwa watu anaowataka ....
Hayo anayoyafanya kwa kificho Haina shida lakini yanayooonekana lazima mwanaume achukue hatua nje hapo atakuwa mwanaume jina! Mke wako unamuona kabisa anachofanya si sawa unamuacha kisa ana uhuru wake huo ni ujinga boss! Kumbuka mme ni mlinzi kwa mke wake hivyo hivyo kwa mwanamke kwa mme wake
 

Tafuta mwanamke mwingine wa nje, huwezi kubadili hisia za mwanamke ambaye tayari kashaamua kutokukutii. Hata ukimzuia huyo mwanaume ataenda kutafuta mwingine
 
Mzee Uyo Jirani Yako Naye Pia Anamkee?? Kama Jibu Ni "Hapana"....Apo mkeo Safari Yake Ni fupi Sana
 
Nimeupokea ushauri wako mkuu
 
Nimejaribu kumkanya bado anaendelea sasa nimfanyeje? Sijawahi kupiga kiumbe cha mtu maishani, siwezi kumuacha kwa sasa sababu sujawakuta redhanded wakizagamuana I'm caught off guard wakuu.
 
Huyo ashaliwa tayari mwezi mmoja haupiti labda mwenye gari awe na roho wa Mungu haswaaa
 
Hilo ni tatizo ndugu yangu hama hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…