Mkeo ni kizazi cha Gen Z au Beta (2000's)? Kama yuko hili group basi huna mke hapo una mdada limbukeni wa maisha ya kisasa.Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.
Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.
Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Na matokeo ya kusifiwa hovyo mitandaoni wote tunayajua, she will be laid sooner or later.Anaweza asiwe na lengo baya kabisa. Kuna baadhi wanapenda compliments, wakisifiwa wanahisi raha na furaha.
Hivyo inamfanya aendelee kupost ili aendelee kusifiwa.
Mayo nene, nacha 🤣😂Mimi sina hela za kumiliki pisi kali kama hiyo. Tena inayojibinua mitandaoni? Nguo za kubadili kwenye kila photoshoot na madoido doido mengine nitazitoa wapi? Bagosha uwiiii! 😂
Unaweza kuwa sahihi, ni mara chache sana kuona wadada wa 80s kurudi nyuma wakijirusha mitandaoni. Hiki kizazi cha 90s na 2000s kina shida kwenye social network.Mkeo ni kizazi cha Gen Z au Beta (2000's)? Kama yuko hili group basi huna mke hapo una mdada limbukeni wa maisha ya kisasa.
Mkuu mumeo aki jiposti ig, tinder na nguo za ajabu, kwako ni poa kabisa?Anaweza asiwe na lengo baya kabisa. Kuna baadhi wanapenda compliments, wakisifiwa wanahisi raha na furaha.
Hivyo inamfanya aendelee kupost ili aendelee kusifiwa.
Ukiwa na mwanamke wa hivi inabidi uwe na moyo wa stone town kabisa maana kuchapiwa ni kugusa tu, hapo anafanya matangazo soko lipo wazi kaolewa kuficha aibu tu ila anaetaka kula hicho chakula anakula tuMfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Ana vinasaba vya kikahaba.Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.
Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.
Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Nazunyaga. Chaga dūlye būchele na nyama! 😂😂😂Mayo nene, nacha 🤣😂
Yaani nife ili mle wali na nyama, tena ng'ombe zenye nundu🤣Nazunyaga. Chaga dūlye būchele na nyama! 😂😂😂
Mkuu mumei aki jiposti ig, tinder na nguo za ajabu, kwako ni poa kabisa?
Huyo kamstiri tu, ila mimi hapana aisee.Haka ka ugonjwa kapo kwa wanawake, pia nimeongelea upande wa wanawake.
Mtoa mada hajasema mkewe anajipost akiwa na nguo za utupu. Na hapa kaongelea Instagram na facebook.
Inawezekana anajipost akiwa katika mavazi mazuri tu, yangekuwa mabaya angeongeza na wala nisingekuwa upande chanya.
Inawezekana.Huyo kamstiri tu, ila mimi hapana aisee.
hizo fb, ig najua issue zao, Tena wanawake mki pewa compliment 2-3 basi.
Mkuu samahan, kwenye hizo picha anazopost....kuna ambazo anageuzia makalio camera?Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.
Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.
Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.
Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.
Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?