Mke wangu anataka kuandika jina lake nyumba niliyoijenga

Mke amheshimu bwana kama kichwa cha nyumba, ni kiburi kwa kuwa kiwanja ni chake. Ajue vitu vyote ni vyenu kwa kuwa mmekuwa mwili mmoja.
 
Huo ujinga wa kujenga kwenye kiwanja cha mke bado hamjaacha?
 
Hii scenario inafanananisha ya story ya Uganda ambapo mwanaume aliporomosha nyumba ya maana kwenye kiwanja Cha mke wake...ikafika mda wanandoa walitofautiana kwenye maswala ya ndoa ilifika wakati kesi ilipelekwa mahakamani. Na mwisho wa siku mahamuzi kutoka mahakamani ni kwamba mwanaume ilibidi ahamishe nyumba yake amwachie kiwanja Cha mke wake. Kutokana na mahamuzi hayo mwanaume ilibidi abomoe nyumba iliamwachie kiwanja mke wake...nadhani hapo ni fundisho tosha. Wanawake wasasa tuende nao kiakili
 
Huyo mkeo ana kauchoyo Fulani hivi . Ana tamaa ya mali ulizochuma. Ana tamaa Sana huyo M mwananke. Chukua hatua mapema kabla mambo hayajaharibika
 
Hauna mke hapo una kiburudisho mkuu.
Muache aandike kwa jina lake kila kitu Alf ww Anza kujenga kweny kiwanja chako kimya kimya usithubutu kumshirikisha chchte.
 
Kosa ni kujenga nyumba kwenye kiwanja cha mwanamke na una cha kwako. Hapo usipoangalia utakufa mapema sana. Umeshafanya kosa na sasa ushauri wangu ni kuwa ujitahidi ujenge kwako. Uhame hapo kwa mkeo
 
Kilinunuliwa mkiwa mnaishi pamoja au kila mtu kivyake? Tuanzie hapo.
 

Ni 'heri' siyo 'heli'. Acha ujinga!
 
Hapana alinunua mwenyewe kabla hatujaoana

Mwache aandike jina lake kwenye hati, mita ya umeme, mita ya maji, hata ulinzi shirikishi aandike jina lake.

Jumuia, kanisani aandike jina lake.

Kila kitu aandike jina lake.

Halafu usiendelee tena kukarabati hiyo nyumba. Ishia hapo ulipo maana hujafika mbali.

Usimuulize, wala usipingane naye hukusu nyumba.

Fanya kazi kimya kimya na anza kujenga kimya kimya. Huyo mtaachana siku si nyingi. Na ukiwa na kwako utakuwa na uhuru wa kuanza upya.

Kuanza upya si ujinga.

Wanawake wabinafsi sana. Wakiwa na mali hawawezi kujizuia kwa ubinafsi.

Hata ikifika mahali akaanza kuleta mahaba, kuwa makini!
 
Nimeshamsimamisha kuendelea na hizo taratibu kwanza hadi nifike Mimi amekubali. Options zipo mbili tu akubali niandike jina langu kama head of the family na ya pili niandike jina la mtoto wetu mkubwa.
 
Nimeshamsimamisha kuendelea na hizo taratibu kwanza hadi nifike Mimi amekubali. Options zipo mbili tu akubali niandike jina langu kama head of the family na ya pili niandike jina la mtoto wetu mkubwa.
Kuandika la kwake nitakuwa nimeharibu kabisa hiyo ndoa kwa hali ninayoiona. Sikatai kwamba huenda tukaachana hata kwa kitu kingine huko mbeleni lakini kwa hili siwezi kukubali nawajali sana watoto wangu na nawapenda sana.
 
Kama ni mkeo na mna cheti cha ndoa,na ameshakuzalia watoto mwache aandikishe jina lake.After then mwishowe itakuwa nyumba ya watoto tu.
 
Kama ni mkeo na mna cheti cha ndoa,na ameshakuzalia watoto mwache aandikishe jina lake.After then mwishowe itakuwa nyumba ya watoto tu.
Tuna watoto wawili Sasa. Mimi sikatai kuandika jina lake. Shida ni kwamba hawezi kuhimili maana baada tu ya kuhamia ameshakuwa kiburi akiandika Majina yake tutasumbuana sana na siko tayari tufarakane kwasababu ya watoto wangu nitampa hizo options mbili nopozotaja asipokubali nitatafuta option ya tatu.
 
Wachaga ninawqkubali siku zote lakini hili ndilo tatizo sugu la wanawake wa kichaga.
Wachaga nisameheni ninawapenda bure lkn kwenye hili muokoke.

Mkuu Ushimen
Ni furaha yangu kuwa umefungua kinywa.
Lini nitakuona natamani tuzipige kidogo?
 
Kwahyo unabkiwanja chako ila ukaendeleza cha mkeo ww hujioni ni mjinga na mgogoro umejianzishia mwenyewe.

Uliomba hata ushauri kabla ya kuendeleza kwenye kiwanja cha mke Maana ungeomba ushauri ungepewa utabiri ambao ndio unakukuta now.

WAJINGA NDIO WALIWAO ACHA MKE AKUPASUE KICHWA SASA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…