Mke wangu anataka kuandika jina lake nyumba niliyoijenga


Nakubali kutukanwa mkuu! Lakini kiwanja changu Mimi kipo kwenye kata huko chake ndo kipo makao makuu ya wilaya sehemu ambayo nimeona kuna fursa zaidi kuliko huko kiwanja changu kilipo. Kwa Sasa yeye nimemfungulia kibiashara hapo alipo na mtoto wetu mkubwa pia ameanza shule hapo. Kwa hiyo kwa kumwamini kiwanja chake kilikuwa chaguo namba moja kwa ajili ya familia yangu na kile chakwangu pamoja na kwamba nilijenga kwa ramani ya nyumba ya familia lakini nimeamua kubomoa nijenge vyumba vya kupangisha na jumamosi ya juzi niliwapeleka wote mke na watoto kuwaonesha hicho kiwanja changu japo watoto wangu bado wadogo lakini tulienda nao. Kwangu Mimi sijaona Kama nilikosea kwasababu mke na familia yangu kwa ujumla nawaona kama Mimi mwenyewe sema sasa unaweza ukawaza vyema lakini mwenzako akawaza tofauti na ushauri wa watu wabaya pia.
 
Nina uzoefu na hili. Kiufupi mkeo mapenzi yake ni matrimonial properties tu, hamna upendo hapo, na mwisho wake mtaishia pabaya.

Fanya mkakati wa kupata hati ya nyumba ikiwa imeandikwa majina yenu wote. Kabla ya hapo, mwambie msimamo wako juu hati ya nyumba hiyo.

Mi yalinikuta ila hakufanikiwa
 

Sawa mkuu. Niko imara nimeshamsoma muda.
 
Don't believe any woman, Especially when naked,
Keep it in your mind
 
Hii ni comment bora kabisa ihusuyo mambo ya ndoa ,na ni bora ya kufungia mwaka
 
Kiwanja ni chake nyumba ni yako. Mkuu usikubali hati ya nyumba ikasoma jina la mkeo pekee utajuta. Pambana hadi mwisho uwepo kwenye hio mali.

Pia mkuu ukiona anakushinda acha kuendeleza maendeleo kwenye hio nyumba wekeza kwenye kiwanja chako maana jeuri inamjaa sababu anajua huna pa kukimbilia(nyumba yako halali)

Umeoa mwanamke mbinafsi sana
 
Heading ya hii topic inaonyesha sababu anafanya hivyo..embu read between the lines!
Nyumba niliyojenga...
Unajenga nyumba yako mwenyewe ukae mwenyewe? Then mkeo anajenga yake akae na watoto.
Circumstances ya maisha au kazi kukosa mke wako sio sababu to make justification.
Jenga pamoja weka jina kwa mtoto iwe neutral.
Kumbuka!.. nothing is permanent in life zaidi ya kifo!..
 
Chapa Chapa kaz kwa bidii, ongeza elimu na maarifa, pambana upate kaz yenye kipato kikubwa, jenga nyumba nzur kwenye kiwanja chako chenye jina lako, punguza mapenz ya dhat uliyonayo kwa mkeo maana huyo siyo mke ni msaka mali so mtreat kama mtoa uloda tu, sitisha ujenzi au kuendeleza kiwanja chake wala usimkasirikie weka hasira kwenye kutafuta hela. Usipate watoto wengine wawili wanatosha sana kwa maisha ya sasa wapelekee mahitaji yote wanao, na wape mapenzi kama yote wanao. Huyo mwanamke asikurubun kwa u**hi wake tena. Focus kumuabudu na kumtumikia Mungu. Pambana kwa hali na mali ili wanao watakapokuwa wakubwa hata watakapokuwa wakiambiwa upupu na mama yao watapima na watamuona mama yao alivyo kichwa maji maana wataona kabisa kuwa umewapambania umehustle kwa ajili yao na watafeel proud kuwa pamoja na changamoto ya mama yao but ulistand firm as man.
 
Umetisha mkuu.
Ukweli mtupu.
 
Sema iyo ya kwenda kwa mwezi Mara moja nyumbani kwako apa pia patazame upya wenda ndio pamesababisha mkeo kuwa na jeuri. Nimekwambia ki utu uzima namatumaini umenilewa,
 
Kwa hiyo mnaishi tu ila hamuaminiani?Kazi ipo?Sina ushauri.
 
Mkuu tumia akili ili umfilisi biashara yake ili heshima irudi ndani ya nyumba, wanawake waki Afrika wakipata pesa wanaweuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…