Mke wangu anatazama Cartoon kuliko Watoto wetu


Sasa ukitafakari malalamiko ya mleta uzi, huoni kabisa mantiki ya kulalamika kwake...
• Asante sana mkuu kwa kutoa kero yako, mimi huu uzi siyo wa kwanza kuutoa,
• Pili hii maada haipo kwenye jukwa la intelligence, haipo kwenye jukwa la makazi, wala haipo kwenye jukwa la siasa., Hii maada ipo kwenye:-
👇👇
jukwa la Mahusiano, mapenzi na uchumba

Kwa mawazo yako unahisi masuala ya uchumba, masuala ya mapenzi yana umuhimu wotote?
 

kiufupi animation movies ndo movies namba moja nazozipenda

Tumetofautiana sana mkuu, 🤔, kuangalia cartoon ni bora nizime TV, niendelee na mambo mengine.
 
Hata naelewa mkuu, huwa naona wakisimuliana na watoto wetu, nabaki nawatizama tu.
Nadhani watakuwa wanaangalia family cartoons (which is good unabahati umepata mzazi na sio partner pekee) sababu Hawawezi kuwa wanaangalia family guy hivi unamjua family guy lead actor hebu muangalie tu....

hata pua yake na mdomo tu huyo main character muangalie......; Moral of the Stories sio Cartoon zote ni za Watoto hence kuna Cartoon za Wakubwa Pia hata Simpson kuna story zipo complicated zinahitaji akili kuzielewa kuliko movies enzi za kina Rambo, Ninjas na Kina Commando John....

Its the Script / Story which makes the difference from amateurish to the brilliance, by the way kumchekesha mtu kila sekunde (kama Tom and Jerry) it takes more creativity than building a story to the the punchline at the end of theline
 
Huyo mkeo naona umemchoka unamtafutia sababu!! Kila siku uzi mpya wa malalamiko. Hizi ndio shida za ndoa za utotoni.
 
Hapo Nimekusoma mkuu,, maana nilikua sijui kama cartoons zipo za aina tofauti tofauti
 
Sioni kama kuna shida hapo. Mi mwenyewe huwa naimba na wanangu nkiamua naweka nyimbo zao tunaimba na kucheza kiroho safi.Ilimradi anatekeleza majukumu yake kama kawaida hamna shida. Japo mara chache ndio huwa naangalia nao.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Huyu mkeo naona umemchoka unamtafutia sababu!! Kila siku uzi mpya wa malalamiko. Hizi ndio shida za ndoa za utotoni.
• Hizo maada mbili zipo na ujumbe mzuri tu,
1. Kuna ya vibonge nimewakumbusha, tayari wapo mazoezini., wanapunguza unene. ✍️✍️

2. Kuna baadhi ya watu wenye familia zao, huwa hawapati mda wa kuchunguza watoto wao hasa aina ya cartoons wanazo angalia, kama ni zuri ama siyo zuri. Nao pia nimewakumbusha kupitia Thread hizi. ✍️✍️.
 
Sa hivi hapa naangalia Kids baking championship. Nna mmoja anapenda sana mambo ya upishi. Ilimradi cartoon anazoangalia zina maudhui mazuri hamna shida.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Mi mwenyewe huwa naimba na wanangu nkiamua naweka nyimbo zao tunaimba na kucheza kiroho safi.
Asante sana mkuu, Hapo Nimekusoma vizuri sana,


Japo mara chache ndio huwa naangalia nao
Hilo ndo ilikuwa swali langu mkuu, but umeelewesha vizuri ✍️✍️✍️
 
Watu wengi hawapendi katuni kwa sababu hawana akili au patience ya kuweza kuzielewa. Ndiyo maana kirikuu waliyoielewa ilipendwa hata na watu wazima.
 
Ashukuru Mungu sana. Wengine wake zao wanapenda TikTok tena story za zai kijiwe nongwa, qu wanapenda kufanya shopping akiwa Hana hela anaenda tu kwenye maduka kufanya window shopping. Then anakutumia picha Whatsapp kuwa ameona duka fulani limeleta mzigo mpya
Ashukuru Mungu
 
Duuh..mpka avatar inasadifu.✌️😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…