Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 4,240
- 10,561
- Thread starter
- #241
Hivi karibuni baada ya kuwa nasoma sana mada za JF, nimeanza kuhisi kuwa uwezo wa watu kiakili kadiri siku zinavyoenda unapungua...
Sasa ukitafakari malalamiko ya mleta uzi, huoni kabisa mantiki ya kulalamika kwake...
Wabongo hebu tutumie muda kutafakari mambo kwa kina kidogo kabla ya kuwa na hitimisho la fikra zetu...
• Asante sana mkuu kwa kutoa kero yako, mimi huu uzi siyo wa kwanza kuutoa,Sasa ukitafakari malalamiko ya mleta uzi, huoni kabisa mantiki ya kulalamika kwake...
• Pili hii maada haipo kwenye jukwa la intelligence, haipo kwenye jukwa la makazi, wala haipo kwenye jukwa la siasa., Hii maada ipo kwenye:-
👇👇
jukwa la Mahusiano, mapenzi na uchumba
Kwa mawazo yako unahisi masuala ya uchumba, masuala ya mapenzi yana umuhimu wotote?