Mke wangu anatazama Cartoon kuliko Watoto wetu

Mambo ni mengi katika hii nchi aisee! Kuna muda niki-imagine hizi stori za humu nacheka sana🤣🤣🤣
 
Asije akawafundisha watoto usagaji, kama huyu wa JF Dr. Mariposa
 
TV huwa inaharibu uwezo wa kufikiri na kutafakari na MTU anakuwa hana ile deep thinking na Mbaya zaidi Kwa watoto .

Kuangalia TV hakikisha inakuwa Mara chance Sana ikiwezekana hata kwa wiki Mara-moja. Au mbili..
 

😀😀, Imebidi nicheke tu Sasa,

Mfano kama Ed, Edd and Eddie ile katuni ilikuwa hakuna kupumua muda wote ni visanga tu full burudani. Kuna kipindi nilitamani niishi ndani ya katuni maana zinakupa simulation tamu sana
 
Aisee mi ni mpenzi wa Cartoon kinoma halafu ni beard king.Sasa watu wanasema na ndevu zako hizo unaziaibisha kupenda katuni mi napenda kinoma.Hasa hasa Animation.
😀, Unaona sasa mkuu, achana na masuala ya cartoons aise, hamia kwa akina "The Rock"
 
Kwani wewe haupendi kutazama michezo ya mpira mkuu? Ni ulaibu tu, na wala haina madhara yoyote.

Mbona sisi wanaume siku hizi tunazungumzia michezo mda wote?!


Mbona sisi wanaume siku hizi tunazungumzia michezo mda wote?!
Hapo nimeelewa mkuu, ila yeye hasa time za weekends + plus na hii holiday, asubuhi, mchana, jion, yupo tu anachek cartoon 😎,
 
Mkuu apo umepata mke,acha aangalie katuni haina shida.Siku ukikuta anaangalia za kikubwa utasaga meno kweupe[emoji23]
🤔, Telegram video, Dah hapo atakua amefika Hatua mbaya sana, nitaleta thread ya huzuni sana hapa JF
 
Mimi nahisi mtu anayeangalia cartoon akiwa mtu mzima au animation au kupendelea kucheza video games kwa sana yaan kupitiliza namuona kama ana utoto mwingi ndani yake mtu30 plus cartoon,animation za nini??!!!!
Upo kama mimi mkuu, Mtu akiniambia angalia cartoon kama burudani, huwa namshangaa sana.
 
Sioni kama kuangalia katuni ni tatizo na uzuri umesema ni mama na mke mzuri nadhani hilo ndio la muhimu zaidi. Muache aangalie ndio furaha yake ilipo.
Okay sawa mkuu, nitalifanyia kazi hilo. ✍️✍️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…