Mke wangu anatazama Cartoon kuliko Watoto wetu



Sababu yangu kubwa ni kuzitazama kwanza na kuelewa kama wanafaa wazitazame au hazifai.
Mkuu, Kumbe kuna katuni zingine ni za hovyo?


Maana wajukuu zangu ni marufuku kuwasha king'amuzi wakiwa peke yao
Mkuu hii ya kuwasha King'amuzi mpaka uwepo wewe, huoni kama wanajisskia hasira, au kwa vile wewe ni Bibi yao ?

Huyo ni mama mwema sana mpe hoingera kutokea kwangu.
Asante sana mkuu, taarifa zimefika
 
nachodhani apo labda ww una wivu kwasabbu muda mwingi anatumia kwa watoto kuliko wewe
😅 Wivu hamna mkuu, sema kwenye familia jambo likienda tofauti hata kidogo lazima ujiulize mara mbili mbili.
 
Huyo angenifaa sana binafsi napenda animation sana japokiwa siko addicted lkn nisingekuwa na shida lkn ukiona shida sana tubadilishane [emoji23]
 
Unataka upewe Nini mkuu,, huyo ndo mwanamke ambaye Kila mwanaume angependa kuwa nae,, labda wewe ndo mwenye matatizo sio yeye
 
Mfungulie DayCare ili awe anashinda kutwa nzima na watoto wenzake.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 

Sio kosa ni furaha yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…