Mke wangu anatazama Cartoon kuliko Watoto wetu

Mke wangu anatazama Cartoon kuliko Watoto wetu

Mke yopo anajifunza kiingereza hujui cartoons zinafundisha kinge?

Mimi nilimpigia mshikaji wangu yupo rwanda anajua lugha nyingi nikamuomba aniambia ni njia gani nitajifunza ki spanish, ahaaaa akanijibu niangalie cartoons, nilichoka sana yaani mimi na uzee huu niangalie catoons kama mtoto?

So acha mkeo ajifunze watu tuna malengo moyoni lazima yatimie kimya kimya.
😀😀😀.
 
Usimlaumi mkeo binafsi Mimi Nina miaka 46 ninapendelea kuangalia katuni sana tu hasa Donald duck,tom&Jerry,goofy,pluto,Mickey mouse,luney tunes,tazmania,n.k Tena pamoja na wanangu wanne mkubwa ana miaka 11 ka mwisho ila sio Kwa umuhimu kana 3,tambua ndizo zilizonikuza nakataaje kuangalia uzeeni
Binafsi mm natazama shivaa
 
Nyinyi watoto mlio kulia kwenye mageti ya chuma + mbwa mkali hivyo vitu lazima mpitie,.. Ila sisi watoto wa kalala wapi leo, tunaona kitu cha ajabu kidogo.
 
Mzee naona unampiga mdau kwenye mshono 😅
Mimi nafikiri wewe ndio una tatizo maana kwenye maelezo yako hakuna tatizo lolote kwa mkeo! Mke wako anafanya wanachofanya Walimu wakiwa na watoto wetu mashuleni hucheza nao,huimba nao na kama siku ukibahatika kwenda ukakuta wanafundishwa na Walimu unaweza ukafikiri wote ni watoto…
Kama hii ni habari ya kweli basi mkeo ni mmoja ya wanawake bora kabisa ambao kila mwanaume angependa kuwa nae!
Mke wako anafanya kitu ambacho hata wewe ulipaswa kukifanya kwa watoto wako…kuwa mzazi hakuishii kwenye kutoa hela tuu…Ungepata wasaha ungewauliza wanao wanajisikiaje wakicheza au kuangalia katuni na Mama yao..? Majibu yao yanaweza kukufanya ukaanza na wewe kuangalia nao katuni au kucheza nao ukipata muda!

NB:Maoni yangu yabaki kama yalivyo kama hii story ni ya kweli….
A u
 
Kawaida tu hiyo, ngoja nikutajie ninazo zipenda mimi...

-Tom and Jerry (normal).
-Bellerin.
-Pikapau.
-Makarao.(Kenya)
-Ed,Edd and Eddy.
-Masha and the bear.
-Katoto (Ug).
-Shrek.
-The croods.
-The lion king (Hakuna matata).
-Small foot.
-Big foot.
-Luka.
-The lorax.
-Hotel translavia.
-Rango.
-Peter rabbit.
-
bila kusahau puss in boots
 
Hadithi za kiswahili=nyati na tembo dume

Hapo zaman za kale katika mji mmoja kulkua na kichimbakazi mmoja aliwaona nyati na tembo dume akazirai

samahani uandishi m'bovu,, naskia wapendanao hufanana tunapendana sana na katuni adi najiona kabsa nishakua katun namim[emoji1495]
 
😬😬😬, Mkuu mbona hujaleta list ya cartoon, hasa nyati na tembo dume
 
Boss nunua tv nyngne weka chumbani,kuangalia katuni sio uraibu.
Usitafute kasoro juu ya mkeo ambazo hazipo.
Nobody is perfect chini ya jua na pia mshukuru Mungu kwa kukupatia mke anaetambua majukumu yake yote bila kukumbushwa mn siku hizi wanawake wengi ni vimeo.
 
[emoji51][emoji51][emoji51], Mkuu mbona hujaleta list ya cartoon, hasa nyati na tembo dume
Tom and Jerry
Croods
Masha and the bear
,,aah ni summarize tu cartoon zote za Disney junior,,fix and fox,,cartoonito,, booing nk kifup channel zote za cartoons
 
Boss nunua tv nyngne weka chumbani,kuangalia katuni sio uraibu.
Usitafute kasoro juu ya mkeo ambazo hazipo.
Nobody is perfect chini ya jua na pia mshukuru Mungu kwa kukupatia mke anaetambua majukumu yake yote bila kukumbushwa mn siku hizi wanawake wengi ni vimeo.
Hapo nimekuelewa mkuu.. Maisha ya sasa kupata mke bora ni changamoto sana..
 
Tom and Jerry
Croods
Masha and the bear
,,aah ni summarize tu cartoon zote za Disney junior,,fix and fox,,cartoonito,, booing nk kifup channel zote za cartoons
😀😀😀, Aise
 
Back
Top Bottom