Mke wangu anatelekeza chumba chake na kwenda chumba cha mtoto

Sasa tabia za mtu zinahusikaje na kua single maza?? Ila watu mnajua kubeba mkumbo halafu bro swala la watu kutengana vyumba kulala tofaut Hilo sio ww tu hata humu Kuna watu wanapitia hayo ila wamejaza kwenye vifua

Single maza anakua msumbufu endapo anawasiliana na mzaz mwenzake hayo mengine unayoyataja ni tabia za mtu na hatujui kimetokea nin ila kwasababu ww umekimbilia huku kulialia acha usikilizwe
 
Hio inaitwa ukiweka Mguu naweka Jiwe, mwambieni jamaa apeleke mahari km hawezi basi akajitambulishe kabla hajaanza kurogwa..
 

NIKUPE POLE SANA KWA CHANGAMOTO ZA KAZINI KWAKO kwani naona ndio zimeleta yote haya; hata hivyo;

1. Kuishi na mtoto wa watu zaidi ya miezi minne unayempenda na unayetegemea kumuoa bila kumtambulisha kwenu/kwao haijakaa sawasawa. Sikumbuki kama kujitambulisha huwa ni gharama kubwa; watu wanaweza tu kunywa hata chai; ukapewa muda wa kurudi kwa taratibu nyingine za ndoa nk

2. Majibu uliyompatia kuwa; kama hakuelewi anaweza kurudi kwao au mahusiano yavunjike ni kati ya majibu ya kuvunja moyo kabisa unayoweza kuyatoa kwenye mahusiano. Namaanisha, katika mahusiano adhabu ya kumtishia mtu kumuacha/kuachana ni adhabu ya juu kabisa; hivyo HATA SIKU MOJA USITUMIE HAYO MANENO KATIKA MAISHA YAKO YA NDOA labda kama umeshachoka kabisa hayo mahusiano na unataka yaishe.

3. Kwa wewe kutumia adhabu ya juu kabisa KWA JAMBO LINALO ONGELEKA, umefanya awe na wasiwasi sana kama unauwezo wa kumudu changamoto za ndoa; ndio sababu anajitenga kupata muda wa kutafakari kama yupo na mtu sahihi.

NIRUDIE TENA KUKUPA POLE KWA CHANGAMOTO ZA KIKAZI ILA AMINI USIAMINI HUYO ANAONEKANA KUWA MWANAMKE ANAYEJITAMBUA NA ANAKUPENDA ILA ANAOGOPA USIMCHEZEE UKAMUACHA. Muombe msamaha huku ukiwa na time frame ya lini unategemea kumtambulisha kwenu/kwao; Maisha yaendelee...
 
Hapo inategemea wewe Unataka HAKI au AMANI.

HAKI ni kumuoa, huwezi ukawa una mkula mtoto wa watu mwaka mzima, Akiuliza unampago gani nae unakasirika.

AMANI ni kuachana nae, Tena kimbia mbio ndefu sana asiweze kukupata hata kwa Dawa.
 
Atajijua kama wamekutana wote hamnazo! Wamepotezeana hapo muda kisha amwambie aondoke aende wapi? Kipindi wanakokotana kuitana mke na mume hakuona wengine kwani?
 
Hio inaitwa ukiweka Mguu naweka Jiwe, mwambieni jamaa apeleke mahari km hawezi basi akajitambulishe kabla hajaanza kurogwa..
Kuna dogo mmoja Arusha alifanya kama alivyofanya muhuni aisee kilichotokea akawa yeye na mtoto wake wakawa wanaumwa mara kwa mara mpaka watu wakamuuliza wewe Pimbi umeruka ukuta nini ndio kuwaambia ukwelo sijakwenda ukweni aisee alivyopiga simu tu kiwa wajiandae baada ya miezi miwili ataenda jamaa akawa sawa mpaka sasa hivi na huko ukweni alienda watu wazito.
 

Sijui kwanini wanaume hawanaga akili, kakitu kadogo tu single maza! Imekuwa kama ulemavu siku hizi, ukiwa single maza we ni special group! One mistake one goal!
 
Aliyezaa naye huyo mtoto hakumchezea sio?
 
Hapo inategemea wewe Unataka HAKI au AMANI.

HAKI ni kumuoa, huwezi ukawa una mkula mtoto wa watu mwaka mzima, Akiuliza unampago gani nae unakasirika.

AMANI ni kuachana nae, Tena kimbia mbio ndefu sana asiweze kukupata hata kwa Dawa.
Aliyemzalisha alikuwa hamkuli?
Mbona hakuolewa huko?
 
Kuna mwekezaji mwengine kashajitokeza hapo na anaichapa kwa wivu mkubwa mno😁! Hizo Condition huwa tunawekewa ili tushindwe wapinzani wabebe jimbo
 
A man should start his own family not to join other men's family.
What if huyo ma kashaanzisha familia nyingine huko mbali, hawa waendeleee kutangatanga tu kisa hakuna mwanaume ataanzisha nao safari nyingine? Thats bullshit meehn..
 
Mgogo wangu huo ni mtego. Kaka yako nakushauri kamwe usiingie. Iwe kwa bahati mbaya au kwa kulazimishwa. Kamwe usiingie.

Amekuonesha makucha mapema
 

Halafu ndio hao hao huwajaza mimba na kuwaacha,halafu wamakuja hapa kuwananga​

Huenda huwa wanahisi wamejitia mimba wenyewe! Wanaume wengi humu na mitandaoni huko wanatukana sana hili kundi, Halafu hao hao wanatiana hawapumzishi hizo bamia zao, guest nyingi sana zinajaa kwa kuwa wao ni wateja wakuu, ni kama gays wamezagaa kila kona wanaume ndio wanawatumia ila nashangaa haohao ndio kundi la kwanza kulaumu! Kwenye vikao vyenu huwa mnakuwa sober kweli?
 
Kama huyo mwanamke alikuwa siriasi sans na kuolewa asingekubali kusogezwa waishi pamoja . Kama ameshakubali na hakika akubali kuliwa. Kuhama chumba ni kukiuka makubaliano ya lengo la soges tuishi . MASEMA HIVI FUKUZA HIO TUMBILI
 
Kuna mwekezaji mwengine kashajitokeza hapo na anaichapa kwa wivu mkubwa mno😁! Hizo Condition huwa tunawekewa ili tushindwe wapinzani wabebe jimbo
Hio ni kesi nyingine yaan ndani ya folder hii umefungulia file mpya kwa hio sio ya kupuuzwa labda kuna foleni nyingine imeanza kwa hio unatakiwa ukae mguu sawa anytime anything can happen usije ukaishia kulia km yule Chalii wa Arusha aliekimbiwa na mkewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…