Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Mwanamke sio gari kwamba unauza hili unachukua lingine Ilala na pia ukiona upo kwenye hiyo dhana ya fukuza chukua ingine jua haupo sawa jiangalie vizuri wewe au ulikotoka watu waliofunzwa hawawezi kuwa na mawazo kama yako..Kama huyo mwanamke alikuwa siriasi sans na kuolewa asingekubali kusogezwa waishi pamoja . Kama ameshakubali na hakika akubali kuliwa. Kuhama chumba ni kukiuka makubaliano ya lengo la soges tuishi . MASEMA HIVI FUKUZA HIO TUMBILI
"Natwanga kisamvu" au ushawahi kusikia natwangana na kisamvu?Ni kugongwa au kugongana mkuu?
If she really want to have a man, she must look for a single daddy too.What if huyo ma kashaanzisha familia nyingine huko mbali, hawa waendeleee kutangatanga tu kisa hakuna mwanaume ataanzisha nao safari nyingine? Thats bullshit meehn..
Yaan wanachanganya tabia za mtu na hiyo single maza hebu aoe ambaye sio halafu tuone kama atakua malaikaSijui kwanini wanaume hawanaga akili, kakitu kadogo tu single maza! Imekuwa kama ulemavu siku hizi, ukiwa single maza we ni special group! One mistake one goal!
Ofcourse hapo ni game of Chance, upande ule anatamanishwa ndoa na huku alipo anaambiwa asuburie mambo hayajakaa sawa😂!Hio ni kesi nyingine yaan ndani ya folder hii umefungulia file mpya kwa hio sio ya kupuuzwa labda kuna foleni nyingine imeanza kwa hio unatakiwa ukae mguu sawa anytime anything can happen usije ukaishia kulia km yule Chalii wa Arusha aliekimbiwa na mkewe
Wanajazana ujinga sana hawa, mwingine anadanganya wadogo zake humu kila siku waoe bikra hawatakutana na haya matatizo hawajui kila mtu kaanzia huko mpaka kufika huku! Tabia za mtu hazihusiani na physicality yake! Watambue tu ata single mamaz wanaojielewa ni wengi kuzidi..Yaan wanachanganya tabia za mtu na hiyo single maza hebu aoe ambaye sio halafu tuone kama atakua malaika
We huoni single mama anashinikiza ndoa kwa udi na uvumba? Ameamua kutumia kipapa(kumnyima mwamba utam) ili jamaa aharakishe mambo, its kind of blackmailing...ni kama anamwambia usipokwenda kwetu hata utam sikupi.Sasa tabia za mtu zinahusikaje na kua single maza?? Ila watu mnajua kubeba mkumbo halafu bro swala la watu kutengana vyumba kulala tofaut Hilo sio ww tu hata humu Kuna watu wanapitia hayo ila wamejaza kwenye vifua
Single maza anakua msumbufu endapo anawasiliana na mzaz mwenzake hayo mengine unayoyataja ni tabia za mtu na hatujui kimetokea nin ila kwasababu ww umekimbilia huku kulialia acha usikilizwe
Kwahiyo asingekuwa single mama asingeforce hiyo ndoa?We huoni single mama anashinikiza ndoa kwa udi na uvumba? Ameamua kutumia kipapa(kumnyima mwamba utam) ili jamaa aharakishe mambo, its kind of blackmailing...ni kama anamwambia usipokwenda kwetu hata utam sikupi.
Basi kama utam hunipi na kwangu uondoke, as simple as that!!
Mpe mmojaFuta huu uzi haraka maana utatukanwa sana, yani jitu limeshazalishwa wewe unabeba, haitoshi na mtoto wa kaka yake nae kakujazia hapo (halafu nawewe unajisifu eti NYUMBA KUBWA HAMNA SHIDA)
WEWE NI KIAZI ACHANA NA HUYO MWANAMKE MARAMOJA AMBAO HAWAJAZAA WAPO WENGI SANA
A Single Mama detected..Sasa tabia za mtu zinahusikaje na kua single maza?? Ila watu mnajua kubeba mkumbo halafu bro swala la watu kutengana vyumba kulala tofaut Hilo sio ww tu hata humu Kuna watu wanapitia hayo ila wamejaza kwenye vifua
Single maza anakua msumbufu endapo anawasiliana na mzaz mwenzake hayo mengine unayoyataja ni tabia za mtu na hatujui kimetokea nin ila kwasababu ww umekimbilia huku kulialia acha usikilizwe
Hivi min -me unaenda kujitambulisha lini? Kila siku nauliza au ndio usinicheleweshe😂"Singo maza" huwa wanapigana wasirudie makosa ya kuzaa nje ya ndoa na matokea wanafanya tena grave mistakes!!😁
Mimi nilikuwa naulizwa kila siku ni lini naenda kwao kujitambulisha mpaka ikawa kero nikamwambia," nisikucheleweshe sana bibie mlango upo wazi".
Learn and unlearn things, we all humans still..A Single Mama detected..
wanajitolea ili fulsa ikitokea wawe kipaombele. Haijakaa sawaKusubiria ndoa kabla ya kuishi pamoja ni kamari ya kijinga sana , kwa dunia ya sasa , wakati wewe unasubiria nnje kuna wengine wapo tayari ndani .
Japo mimi siungi mkono wadada mnavyo zitetemekea ndoa .
Single mama limetumika kama identity!Kwahiyo asingekuwa single mama asingeforce hiyo ndoa?
Kwenye uloziKujitambulisha wap tena mama🤣
Inabadilisha nini?Single mama limetumika kama identity!