Mke wangu anatelekeza chumba chake na kwenda chumba cha mtoto

Ningepata nafasi ya kushauri mwanamke yeyote, Nengemwambia.

"Never move in with a guy, unless you are married"

"Never get pregnant umarried, unless you are ready to care the baby alone"

Kibongo bongo, Wengi hawako vzuri katika kufanya maamuzi, wengine hata hawajui hata wanataka nn.

By the time anagundua ameshakosea - You are ready a VICTIM as a women.
 
Sasa na wewe naye unakubalije mtu kuhamia kwako kabla hamjafanya mchakato japo wa mahari kwanza?

Tena unakubali anahamia na mwanaye? Kisha anaongeza na mtoto wa kaka yake?

Kaka hapo ndoa ilikuwa inafosiwa. Yani walichofanya ni kuanza kukuhalalishia mke kijanja ili usijeweza kuchomoka kwa sababu umeingia too deep!

Sema bado haujachelewa! Fanya arudi kwao haraka sana until further notice.
 
Kwani kuna shida kuwa addressed as a single mom!

Mtu kweli ni single mom/dad, kwa muktadha wa mada huyu hawezi kukwepa hiyo title.

No regrets, ni kuishi na kufurahia tu!!
Hujamwelewa huyo dada kamsome btn the lines
 
Hujamwelewa huyo dada kamsome btn the lines
Amesema tabia na usingo mama havina uhusiano.

Nami sipo kwenye tabia wala usingo mama, nipo kwenye tamanio lake na identity yake.

Kwanini mnakuwa offended mkiitwa hivyo, kwani ni uongo kwamba mtu kazalishwa na kuachwa hapo?

Ifikie wakati muone ni kawaida tu, kila mtu kwenye ukuaji wake kuna makosa amefanya, bahati mbaya mengine hayafutiki.
 
Ukitumia mihemuko humu utapotea watu wanajua kucheza na akili za watu Sasa wengine wanaona Kila kinachoongelewa humu ni Cha kweli Sasa wacha wajaribu
 
Kwann alimruhusu huyo mwanamke waish naye??
Angekua sio single mama angeruhusu kuishi nae mda mrefu bila ndoa??
Logic kijana haiitaji shule
 
Binafsi hainisumbui, tunajaribu kuwaelekeza wavulana kuwa singo maza sio ulemavu! Huyo dada hajajielezea hata sehemu yoyote kama ni singo maza na ndio maana unaishia kuhisi tu! Amesema tabia ya mtu haina uhusiano wowte ule na kuwa na mtoto!
 
Na mimi sijamsema yeye personally, au nionyeshe wapi nimesema nakwede97 ni single mama, mbona umebeba bango kuuubwa wakati tunaongea vitu petty tu😅😅
 
Kwann alimruhusu huyo mwanamke waish naye??
Angekua sio single mama angeruhusu kuishi nae mda mrefu bila ndoa??
Logic kijana haiitaji shule
Mwanaume anaweza kuchukua kila kinachokuja, hasa vinavyokuja cheap.

Wewe unadhani ni sahihi kukubali "sogea tuishi" bila kufuata utaratibu na heshima ya familia? Unadhani kati yao nani yupo likely kuwa anapoteza?
 
Na mimi sijamsema yeye personally, au nionyeshe wapi nimesema nakwede97 ni single mama, mbona umebeba bango kuuubwa wakati tunaongea vitu petty tu😅😅
Watu wasichukulie vitu personal Kuna mmoja Kesha ninyooshea kidole hapo juu kua mim mi single maza ok fine let it be
Wengine tunasimama pale unapoona mwanamke anayooshewa kidole na sio uhalisia wa maisha yetu
 
Mwanaume anaweza kuchukua kila kinachokuja, hasa vinavyokuja cheap.

Wewe unadhani ni sahihi kukubali "sogea tuishi" bila kufuata utaratibu na heshima ya familia? Unadhani kati yao nani yupo likely kuwa anapoteza?
Sio watoto wadogo wanajua wanachokifanya mwanaume kumuita mwanamke kuishi na ww alikua anafikiria nin? Sidhan kama huyo mwanaume alishikiwa kisu Ili Aishi na huyo mwanamke kayataka mwenyewe acha yamkute
 
Hiki kisa huwezi kukitolea maamuzi zaidi pasina kumskiliza na huyo single mother sawa atuwezi jua nini kipo baina yenu ila sio swala la ndoa tu kwamba ndo ahame room otherwise metal uzi una jambo jingine
 
Hizo drama ni kabla ya ndoa, ukioa huyo jiandae na heart attck
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…