Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
NAKAZIAChief usipaniki inawezekana ikawa kweli wakawa marafiki wa kawaida tu! Ila unachopaswa kufanya ni kukaa kimya na kupotezea hyo ishu ili upate nafasi ya kufanya uchunguzi kimya kimya. Jinsi unavyozidi kumpigia mayowe ndio unavyozidi kujiweka mbali na ukweli.
We piga kimya mpaka akijisahau uwe unakagua simu yake bila yeye kujua.
Mpaka mda huu amekula kadi nyekundu anaomba msamaha namzoom tuAcha kumfuwatiliana sana mkeo utakufa mapema. Fanya yako na wewe tafuta mtoto mzuri chat naye mpotezee alafu uwone atakavyo vurugwa
Kuwa Mwanaume sio lelemala, lazima usimame kama Baba kweli wa familiaHivi humu hamna mwenyekiti wa chama cha wanaume? Awaite kando wanachama mfarijiane kidogo?
Hii wiki yote ni vilio kutoka kwa wanaume wanatishiwa kuachwa na wake zao 🤣🤣🤣🤣
Atoto Kapeace kama majirani hawana viongozi tuwasaidie kuwachagulia.
Napendekeza Mshana Jr na babu Grahams busara zao zitaokoa jahazi
ungetueleza yale wanayowasiliana tungeweza kukushauriKifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndio maana nafikiri kila mtu ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Babu si tuonane tu siku moja 😊Kuwa Mwanaume sio lelemala, lazima usimame kama Baba kweli wa familia
Unapomwambia Mke wako sitaki hiki, ajue umekataza na umemaanisha. Mwanaume lazima uheshimike Kwa kauli tu unayotoa.
Hakikisha Mkeo una muhudumia Kwa Kila kitu kuanzia mavazi, chakula, sehemu nzuri ya Kulala pamoja na pesa ya Matumizi yake binafsi ambayo hutakiwi kuuliza alivyoitumia.
Msisahau Jukumu la kumkaza, Kuna Wanaume wenzetu baada ya Kuoa hujikuta wanajifanya wanamhurumia Mke kumchapa nao. Anaishia kumchapa kigoli kimoja baada ya wiki mbili ama miezi.
Guys, Wanawake wakishazaa, hamu ya tendo huongezeka mara dufu hasa baada ya miaka 35
Sasa wewe mpige kimoja cha dakika 2 kama hatamkumbuka Ex wake wa Mwaka 47
Msemee kwa Mama SamiaKifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndio maana nafikiri kila mtu ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Hahaha..................njoo unisalimie Kijijini Babu yako, Mwezi Uliopita nimevuna debe 6 za asali
Nimemkurupua janaMsemee kwa Mama Samia
Kwakweli kuna umuhimu wa jando kurudishwa, vilio vimekuwa vingi sana. Kuna yule mwingine mke wake aliolewa basi tafrani.Hivi humu hamna mwenyekiti wa chama cha wanaume? Awaite kando wanachama mfarijiane kidogo?
Hii wiki yote ni vilio kutoka kwa wanaume wanatishiwa kuachwa na wake zao 🤣🤣🤣🤣
Atoto Kapeace kama majirani hawana viongozi tuwasaidie kuwachagulia.
Napendekeza Mshana Jr na babu Grahams busara zao zitaokoa jahazi
Sana,mtu kukutamkia neno tuachane ujue huna umuhimu kwakeKauli hii Ni Redflag sana..
inatakiwa Uifikirie Mara Mbili Rafiki yake HalFu muda huo aje na Suluhisho hili...Kuna uwezekano amekuchoka Au Kuna haja humtimizii Hivyo amemkumbuka Huyo jamaa..
no offence but Chunguza Huyo anakuzunguka
Upo good sana broKuwa Mwanaume sio lelemala, lazima usimame kama Baba kweli wa familia
Unapomwambia Mke wako sitaki hiki, ajue umekataza na umemaanisha. Mwanaume lazima uheshimike Kwa kauli tu unayotoa.
Hakikisha Mkeo una muhudumia Kwa Kila kitu kuanzia mavazi, chakula, sehemu nzuri ya Kulala pamoja na pesa ya Matumizi yake binafsi ambayo hutakiwi kuuliza alivyoitumia.
Msisahau Jukumu la kumkaza, Kuna Wanaume wenzetu baada ya Kuoa hujikuta wanajifanya wanamhurumia Mke kumchapa nao. Anaishia kumchapa kigoli kimoja baada ya wiki mbili ama miezi.
Guys, Wanawake wakishazaa, hamu ya tendo huongezeka mara dufu hasa baada ya miaka 35
Sasa wewe mpige kimoja cha dakika 2 kama hatamkumbuka Ex wake wa Mwaka 47
Mzee mwenzangu amesahau huduma muhimu kuliko zote😂
Huduma gani hiyo?Mzee mwenzangu amesahau huduma muhimu kuliko zote😂
Hakuna urafiki wa mwanamke na mwanamme, tusidanganyane humu. Huyo mume ndio angekuwa na rafiki mwanammke miaka 6 yeye angekubali?Chief usipaniki inawezekana ikawa kweli wakawa marafiki wa kawaida tu! Ila unachopaswa kufanya ni kukaa kimya na kupotezea hyo ishu ili upate nafasi ya kufanya uchunguzi kimya kimya. Jinsi unavyozidi kumpigia mayowe ndio unavyozidi kujiweka mbali na ukweli.
We piga kimya mpaka akijisahau uwe unakagua simu yake bila yeye kujua.