Kuchapiwa Siri ya ndani Mzee wangu unakwama wapi? Ulianza kuchapiwa kabla haujamuoa kwani ulimkuta bikra?Tumefunga ndoa 2019 kwa sasa tunaishi mikoa tofauti sababu za kikazi juzi nimepata nafasi ya kuwatembelea mkoa aliopo nimeshiriki nae vzr ru toka juzi.jana usiku wakati wa kushiriki wakati naoeleka moto si akaropoka jina la mwanaume mwingine! Daah alinikata stimu hadi nikashindwa kuendelea.hapa naona kabisa nachapiwa ila anakataa kuwa hajataja jina lolote zaidi ya kifupi cha jina langu.
Mkuu sio kwamba nimecheka kupenda ila nacheka kwa sababu, Yaani ndo mara ya kwanza nasikia Mwanaume anadangnywa kirahisi..Cheka sana ila omba yasikukute.ukiwa na roho nyepesi unaweza ua halafu.....
Na wewe ni mmoja waoakinya bata...
Tunadanganywa kila siku mkuu, ukichunguza sana unatafuta balaa wewe Kula nawa endelea na issue zingneMkuu sio kwamba nimecheka kupenda ila nacheka kwa sababu, Yaani ndo mara ya kwanza nasikia Mwanaume anadangnywa kirahisi..
Nimezoea kuona tukiwadanyanya wanawake hata kwa vitu vya wazi ila sikuwahi kufikiri kama ipo siku ntakuta mwanaume anadangaywa
sasa mkeo uko nae,kwanini usiongee nae yeye tu,unaleta hapa? unadhani jibu lipo hapa? je umesahau kiapo cha ndoa yenu?Tumefunga ndoa 2019 kwa sasa tunaishi mikoa tofauti sababu za kikazi juzi nimepata nafasi ya kuwatembelea mkoa aliopo nimeshiriki nae vzr ru toka juzi.jana usiku wakati wa kushiriki wakati naoeleka moto si akaropoka jina la mwanaume mwingine! Daah alinikata stimu hadi nikashindwa kuendelea.hapa naona kabisa nachapiwa ila anakataa kuwa hajataja jina lolote zaidi ya kifupi cha jina langu.
ndioNa wewe ni mmoja wao
Aisee, ushachapiwa ndugu yangu. Distance inaleta shida kwenye ndoa, fanya hima mkae pamoja.Tumefunga ndoa 2019 kwa sasa tunaishi mikoa tofauti sababu za kikazi juzi nimepata nafasi ya kuwatembelea mkoa aliopo nimeshiriki nae vzr ru toka juzi.jana usiku wakati wa kushiriki wakati naoeleka moto si akaropoka jina la mwanaume mwingine! Daah alinikata stimu hadi nikashindwa kuendelea.hapa naona kabisa nachapiwa ila anakataa kuwa hajataja jina lolote zaidi ya kifupi cha jina langu.
Wewe hujaolewa?Kwa sasa tulieni tu na mridhike na hali ya dunia inavyokwenda....asilimia kubwa sana ya wake za watu kwa sasa wameona ni kawaida kutoka nje ya ndoa.Chukulieni hili kama ni dhaifu kama madhaifu mengine la sivyo hamtoacha kuchinjana
Sasa majibu yote unayo, wewe ndo uliyesikia sasa unataka sisi tuthibitishe nini?Nakijua ila sicho alichokitaja! Anavunga kusema ivyo
Kuku kaharishaakinya bata...
Ukweli mchungu, lakini lazima tuukubali tu jinsi ulivyo.Kwa sasa tulieni tu na mridhike na hali ya dunia inavyokwenda....asilimia kubwa sana ya wake za watu kwa sasa wameona ni kawaida kutoka nje ya ndoa.Chukulieni hili kama ni dhaifu kama madhaifu mengine la sivyo hamtoacha kuchinjana