Mke wangu baada ya kupata kazi na mshahara mnono ameanza kunidharau

Simp
Simple sana how una kaz yako mwanamke anakuendesha?!fara wew zarau ndio mana unapenda kuabudiwa kaza mind your business fanya tumazoez then tulia ukjipanga akizidisha mazingzang katisha mpango wa nyumba uza mgawane hela then jenga yako peke ako au punguza speed uku ukjenga nyingin hio itakua ya watoto weka akzidsha zarau hama nyumba kwan shingap bwanawee
 
Mwanamke kiumbe cha ajabu siku ya siku anaweza akakwambia yaani wewe bila mimi hamna kitu ukimuuliza kwanini anakwambia kitu flani kile bila mimi kuweka jitihada na kukushauri usingefanikiwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣


Yaani ukiwajulia hawa viumbe ni kuwapuuza tu akitaka kuongea mambo siriaz wewe mpotezee tu au lala fofofo😀😀😀 yaani usimpe umuhimu ili ajue position yake.Na jambo hata kama ni kweli kataa kata kata. Yaani wewe ni kwenda kinyume na matarajio yake.

Pia atajaribu kuingilia hobby zako.Weka mipaka mapema, asikuingilie muda wa kurudi wala chochote wewe ndio umeoa na wewe ndio mamlaka.

Mchanganye akili mara siku ya siku unamsuprize na vijizawadi ila sio anacomand eti bila zawadi sikupi tamu.Kemia huo upuuzi mara moja na akileta ubishi muonyeshe mlango wa kutoka nje!!!

Siku nyingine ataomba kitu hata kama unacho unamnyima makusudi yaani hutakiwi kuwa softsoft. Unakubali kubali hovyo.Pia usije ukajaribu kumpa accesss ya kujua unamiliki mali kiasi gani au pesa zilizopo benki.Ataweza kukulaghai kwa kukupa namba zake za SIRI ZA MITANDAO YA SIMU AU BENKI shtuka KIMBIA mbio anataka akucontrol.

KAMA UNAJUA KUENDESHA GARI YA MANUAL.TUMIA ELIMU HIYO KUBALANCE MWENDO KWENYE MAHUSIANO AU NDOA YAKO.LAZIMA UJUE WAPI UTEMBEE GIA NAMBA MOJA, WAPI UTEMBELEE NNE WAPI URUDI MBILI.NA MUDA GANI UKANYAGE CLUTCH🙌🙌😀😀😀

Vijana mkipewa nchi mtaweza kweli kukomand power.
 
Ungrateful woman ona sasa anafanya unatujumuisha wote. Pole sana Mkuu hebu mu ignore kwa muda afu tafuta muda ongea naye kwa marefu na mapana
Hapo kijana azingatie neno "IGNORE".

Mwanamke anapenda attention,ukimpa sana attention anakosa appetite anaboreka na ukimnyima ataitafuta.So ni mwendo wa kuibalance sometimes yes somtimes no.
 
Nikifa Mke Wangu Asiolewe na Natafuta Ajira nawaandalia Zawadi Yenu.

This is more than Mentoring
 
Naona sasa Lamination tutafanya Uzi mzima. Nondo kila mahali mnazichapa.

Mwanamke hawezi kufanya majukumu yako harafu akakuheshimu......Never, do not full yourself.
Nimeona na tunawapa madogo experience.Kuna mwalimu wangu mmoja alikuwa anatuasa njia za kujifunza ni kwa kunotice walipokosea wengine utumie huo mwanya kujipanga na kujikosoa usisubiri yakakukuta ndo ukaanza kujifunza.

Vijana wa leo MATOMASO wnataka mpaka waumizwe ndio waanze kuishi uanaume.

Kuna msemo mtaani wanasema anayelilia mapenzi siku akiacha kulialia muogope sana, maana anakuwa amefuzu kuwa katili zaidi ya shetani😅😅😅😅😅
 
Mkiwa mnaanza kukoleana kimya, Muda wa ubwabwa kimya, Muda Raha kimya ila yakianza kuchemka sasa ndo JF Members tunakumbukwa kmmake

Sikupi ushauri.
 
wee jamaa kweli great thinker
 
Yaani vijana wanatakiwa wawe na uhakika wa sketi kwa kutongoza kila mara angalau kwa wiki unatongoza mara tatu.

Hii itakufanya uache kumfikiria huyo mwanamke anayejiona keki.Focus yako inakuwa kwenye kuwapanga usije kugonganisha magari.

Tena akikuignore wewe ndo unachekelea amekupa mwanya wa kujinafasi na Judy,Judy naye akileta pozi unahamishia attention kwa Rose.Mwisho wa siku unakuwa huna muda wa kulialia bali wao ndio wataanza kukulinda😀😀😀

📌📌MWANAUME UKIONA UNAMNG'ANG'ANIA MWANAMKE JITAFAKARI NA UJIULIZE MARA YAKO YA MWISHO KUTONGOZA LINI???😀😀😀😀LAZIMA UKUTE NI MIEZI AU MIAKA.

📌📌ACHA KUWA KING'ANG'ANIZI MUDA WAKO NI MALI SANA.HAKUTAKI AU ANAONYESHA KIBURI MUWEKE KANDO SIKU AKIJAA MPIGE MPAKA MIX BY NYASH🥱

🥁🥁🥁HAKIKISHA KWENYE ORBIT YAKO UNAMULTIPLE OPTIONS.ISHI KIFALME!!!
 
Hii itakufanya uache kumfikiria huyo mwanamke anayejiona keki.Focus yako inakuwa kwenye kuwapanga usije kugonganisha magari.
Mkuu hii inapingana na Sheria za Wanaume wanaojielewa.

Mwanaume anatakiwa kufocus kwenye personal development yaani ktk Uchumi, Afya, Maarifa na sio kuwekeza kwenye Mbunye
 
😡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…