Mke wangu baada ya kupata kazi na mshahara mnono ameanza kunidharau

Hata kumpa talaka uanze upya umeshindwa mkuu?

Piga talaka tu, tatizo lako nini?

Unaogopa kupiga mali pasu pasu au habari za watoto?
 
Vaa viatu vya mke wako we ungekua yeye ungemuheshimu mtu anaesema Mshaara badala ya Mshahara?
Ou Nilitaka nijipe likizo ya miezi miwili nisitumie mitandao Ila kwa haya madini yako na mkuu KikulachoChako mmetisha sana

Jamii forum ni think tank kubwa sana
 
Sasa mkuu wangu bush Dokta una uhakika kwamba mke wa MO huwa hafanyagi press za biashara?
 
Hivi Tanzania hakunaga PRENUP ??
huku kwetu hakuna prenup bro. Mki divorce mahakama itaamua huyu achukue kipi na huyu achukue kipi. kuna nchi moja ya kiafrika nilikwenda nikapenda maana mnapooana mnapewa fomu ya kujaza ambayo ina kipengele cha kuoana " in community of property" or"" out of community of property". Ninyi wanandoa mnaamua ndoa yenu iweje. Wengi ninaona wanapenda hii ya out of community of property maana mki dirvorce hamna cha kugawana mali. kila mtu anaishia na mali yake.
 
Hiyo kawaida Mkuu, kuna Jamaa hapa kama wiki anadai mke wake karudisha Heshima baada ya Trump kufuta haya mashirka !Ishi nae kwa Akili,nyamaza kuwa bize!
 
Ushauri wako ni mzuri lakini utaanzia wapi mtu hana utii, hakuheshimu na anakudharau. Ni raisi kutoa huu ushauri kwa vile hayajakukuta, Wanaume wengi wanaugulia maumivu.
 
Mimi nina Ratiba Maalum ya JFs, sina masihara kabisa
Ndugu zangu huwa wananiuliza hivi waga usku mbona hupokei simu ya mtu kumbe muda mwingi usiku nashinda JF alafu Niko addicted kishenzi🙌
 
Mkuu mengine sawa ila ushauri wa kwenda kutafuta mtu mwingine nje sio sawa. Mkuu, Ngoma inasambaa kwa kasi ya Aston Martin. Asipotumia akili atapukutisha AFYA yake kwa stress na ngoma. Jambo la kwanza afunge zipu ndani na nje ya nyumba, nitarudi kwa jambo la pili, tatu, nne, na la tano.....
 
Tafuta mwanamke mwingine pembeni ludi home kuanzia saa nne usiku na kuendelea hakikisha unatoa huduma nzuri kwa watoto wako
Usimuulize chochote kuhusu mshahara wake kaa kimya anapokosea. Hakikisha unampenda mchepuko yeye mwonyeshe kinafiki kuwa upo pamoja nae na mpe pole na kumpongeza aludipo kazini
Fanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…