Mke wangu hampendi mtoto wangu niliyempata kabla ya ndoa

That's why nmekwambia i was #disgusting# little creature,, AND ALINIPENDA NA SIO KUNICHUKIA

I was a lost soul HAKUWA MBINAFSI KAMA WW HE DID COME FOR ME haikuwa sababu ya yy kunichukia kama ideology yako ilivyo

Sijablame maybe umesoma vibaya but morally your ideology are doomed

Sent using Jamii Forums mobile app
Msimamo wangu na ninachoamini why ukiite ubinafsi don't personalize my standing in this issue na ku ita eti roho mbaya, kwanza roho mbaya inategemea mtu unavoamini Kwa Dunia ya ubepari hamnaga kitu Cha roho mbaya ukiwa hata maskini tu lazima uwe exploited, so msimamo wangu usihusishe na roho mbaya Kwa hichi ninachoamini maana ka matendo mema natenda mengi tu na haihusiani na ninachosimamia so don't quote mi wrong in this threads sio wewe tu na single father mnaoza hovyo watoto na kutaka wengine wabebe misalaba yenu.
Maandiko yenyewe yaandika kila mtu atabeba msalaba wake Sasa why ubebe yasiyo kuhusu hizi mentality zenu ndio zinazofanya watoto wateseke wengine machokoraa tuwe responsible na actions zetu ukipanda mahindi usitegee kuvuna njegere never, wewe mwenyewe tu hapo kukosa malezi ya wazazi halisi ukawa chokoraa na jela ukaenda vizuri ka sio waliotuzaa walizembea nini?
 
Nmeeleza how a parent should be,,,

Unazungumzia responsibility ambayo hata ww huna,, he's your freaking husband yeye na mtt wake are your responsibility

Hating a kid,, ndo kuwa responsible eti ehhhhh,,,yaaan mtt anakosa connectivity na ndugu wengine wa mama ake mzazi,, unaona hlo halitoshi unaongeza kumchukia tena [emoji2961][emoji2961][emoji2961] disgusting

Tunabeba hata mizigo isiyokuwa yetu hyo ni kuwa morally right ,, hata upinge aje right will always be right

Sent using Jamii Forums mobile app
I'm not responsible for someone's kids I'm responsible for my own eggs wallah mume aongee na aliyezaa naye jinsi ya ku raise huyo kids sio kulazimisha eti nimulee kwani wangu huyo na huyo mwanamke mwingine anakuwa ha contribute kitu, Mimi share ambayo ningewapa wanangu na wafaidi matunda yangu ya hard work na jasho aje ale tu mtoto wa mwanamke ambaye yeye anazurula na mimi silumtuma yeye azae, kumbuka Mimi nataka kuzaa watoto wengi ila uchumi wanibana hicho kidogo nishee na mtoto wa mwingine kilazima Ili nionekane mwema kama si kulaumiana kusiko na sababu nini?
 
Mpeleke kwa bibi yake akakae huko ikiwa miundo mbinu iko vzr shule, hospital na barabara ziko vzr mplk huko akakae akasome huko, utakuwa unamfuata weekend napia umuelewesh vzr unaeish nae kama atakubali
Yaani unamtelekeza mwanao kwa kumpeleka kulelewa nje na nyumbani alikozaliwa kisa umepata mke au mume!?
Acheni roho za kishetani,lea mwanao fukuza huyo mwanamke asiempenda mwanao maana mtoto ni damu yako na atakuwa nawe no matter what,huyo mwanamke sio damu yako na atakuacha akipata alie bora kukuzidi wewe
 
Kumpeleka wako mtt kwa bibi yake kwa sababu ya mpenzi wako mpya ni usaliti kwa mtoto na ni ushetani,ukatili na ushamba.

Asieweza kumlea mwanao ambae ni mtoto asie na hatia huyo hakupendi maana kama anashindwa kumpenda mtoto mdogo malaika asie na hatia anawezaje kukupenda wewe mtu mzima?

Kipimo cha mapenzi ya mkeo au mumeo ni kwa yeye kumpenda mwanao ambae ni sehemu yako ya mwili na roho,asipompenda mwanao huyo mpenzi hakufai na kafuata mali tu na anaona mwanao ni kikwazo...fukuza huyo mkeo au mumeo hakufai
Umesema kweli kabisa
 
Watu mliozaa kwanini huwa mnapenda ku force watoto wenu wapendwe na wengine kilazima hasa ukichukulia mitoto yenyewe huwa mikorofi imeathiriwa na ugomvi wenu wa mahusiano yali yovunjika na ni watoto wasio pendeka hata ufanyeje wataona huyu sio mama yetu.

Kuku tu mwenyewe huwa anakimbiza vifaranga visivo mhusu sembuse binadamu, na kama kweli ulikuwa na upendo why haukupatana na uliyezaa naye mkamlea mwanenu yeye aligoma then una force mtoto apendwe na mpenzi wako mpya.

Mpenzi wako kaja kwako ku enjoy mahusiano na sio kuhangaika na mtoto asiye mhusu
Uzi ufungwe umemaliza kila kitu
 
Hivi mwanamke kumkataa/kumchukia mtoto wako uliyezaa kabla ya kumuoa. Kuna mapenzi hapo? Yaani hampendi Mwanao je wewe atakuwa anakupenda kweli?
Mwanoa ni ndugu yako ni damu yako,mwanao hawezi kukusaliti ata ukiwa maskini,mgonjwa nk.

Mwanamke asiyempenda mwanao huyo hakupendi maana kama anashindwa kumpenda mwanao(damu yako) anawezaje kukupenda wewe?

Hiki ndicho kipimo cha mapenzi yake kwako,kama hampendi mwanao it's a wake up call for you...achana nae haraka before it's too late.

Mtoto hana hatia yoyote kwa yaliyotokea uko nyuma.
 
I'm not responsible for someone's kids I'm responsible for my own eggs wallah mume aongee na aliyezaa naye jinsi ya ku raise huyo kids sio kulazimisha eti nimulee kwani wangu huyo na huyo mwanamke mwingine anakuwa ha contribute kitu, Mimi share ambayo ningewapa wanangu na wafaidi matunda yangu ya hard work na jasho aje ale tu mtoto wa mwanamke ambaye yeye anazurula na mimi silumtuma yeye azae, kumbuka Mimi nataka kuzaa watoto wengi ila uchumi wanibana hicho kidogo nishee na mtoto wa mwingine kilazima Ili nionekane mwema kama si kulaumiana kusiko na sababu nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Uko straight sana
 
Point kabisa....nashangaaka ata masingle maza oh mie mwanaume akitaka kutulia na mie ampende mtoto wangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mie nimependa mbususu yako hayo ya mtoto ya nini tena.

Tukiambiwa tusizae hovyo hovyo nje ya ndoa tunajiadai wajuaji kumbe mafala tuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
I'm not responsible for someone's kids I'm responsible for my own eggs wallah mume aongee na aliyezaa naye jinsi ya ku raise huyo kids sio kulazimisha eti nimulee kwani wangu huyo na huyo mwanamke mwingine anakuwa ha contribute kitu, Mimi share ambayo ningewapa wanangu na wafaidi matunda yangu ya hard work na jasho aje ale tu mtoto wa mwanamke ambaye yeye anazurula na mimi silumtuma yeye azae, kumbuka Mimi nataka kuzaa watoto wengi ila uchumi wanibana hicho kidogo nishee na mtoto wa mwingine kilazima Ili nionekane mwema kama si kulaumiana kusiko na sababu nini?
But ask yourself,if you and your partner(husband or wife) die today,who will be responsible to take care of your kids as their own?

Treat other kids nicely,love them and take care of them regardless the circumstances and your kids will be treated the same when you are gone coz you don't have a guarantee of life even for a second.

Tuache kiburi cha ubinafsi,watoto ni malaika na hawana makosa kujikuta kwenye hali waliyonayo,walaumiwe wazazi.

Hela au mapenzi ya mzazi wake unapokea ila yeye mtoto haumpokei! Huoni kama ni aina fulani ya unafiki,kichaa,unyama,ushetani na ubinafsi wa hali ya juu?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Uko straight sana
Imagine Kuna watoto huwa nawanunulia maji ya kunywa kila siku na wanaishi na mama wa kambo baba zao wakisafiri tu ndio hvo hawapewi vitu vya shule akirudi baba mama anajifanya mwema, na baba hujui Sasa kuliko ku fake hivo ni heri kuwa wawazi tu na sio hao watoto wanakosa maji ya kunywa siku nzima na kwa joto hili la Dar nikiandika hapa naona na roho mbaya in reality kulea mtoto asiye kuhusu ni kujichumia dhambi utapendelea wako zaidi
 
Masingle father walivyokuandama sasa[emoji1787]
 
But ask yourself,if you and your partner(husband or wife) die today,who will be responsible to take care of your kids as their own?

Treat nice other kids,love them and take care of them regardless the circumstances and your kids will be treated the same when you are gone coz you don't have a guarantee of life even for a second.

Tuache kiburi cha ubinafsi,watoto ni malaika na hawana makosa kujikuta kwenye hali waliyonayo,walaumiwe wazazi.

Hela au mapenzi ya mzazi wake unapokea ila yeye mtoto haumpokei! Huoni kama ni aina fulani ya unafiki,kichaa,unyama,ushetani na ubinafsi wa hali ya juu?
Mimi nikifa nature will take course they will grow well and I will teach them to not blame other people kwa watakachopitia it's about part of life na hyo sio shida duniani ukizaliwa ukiwa mzima ukapata basic needs za kulala, shule na kula inatosha kabisa so hapo si blame death maana ni njia yetu sote na watoto watakuwa tu tofauti na hii mtu anazaa tu akitegemea kusaidiwa kulelewa why uzae hyo ndio hoja yangu ukija utegemee huruma ya dunia kusaidia I would raise adopt a kid or opharn na ku wa raise well kuliko Hawa watoto wakuletewa na mtu anazaa huko nje na kukutupia wewe ulee na watoto wa kambo hata hufanyaje lawaza zinakuja kwako na wakikua wakuite mchawi haya yapo na nimeshuhudia na ikiwezekana siku ya urithi wasumbue watoto wangu halisi chakufia nini?
 
Masingle father walivyokuandama sasa[emoji1787]
Wataniua ma single father wenyewe huwa na gubu na hasira Yani na mtoto wake usiloge hata umwambie kitu utakoma Yani kila mda watoto wangu hivi, mara usinitesee mwanangu jamani ujue hu enjoy mahusiano kabisa Yani Matokeo hata kumuonya mtoto unaogopa maana utapelekewa mashtaka kwa ukoo.
Mungu asaidie watu wawe na mahusiano yatakayodumu na walee watoto wao pamoja aisee
 
Ukweli machungu, ni matokeo ya uzinzi wao.
Ndoa inayoanza 1_0 ni ngumu mno[emoji1787]
 
Sure bana na sikuhizi hata ukiolewa ndoani mwanaume anazaa nje na kuleta ulee nao kilazima bila kujali kakuumiza anakuletea na ushahidi wa uzinzi hivi hapo hasira sizitaishia kwa mtoto bure jamani
 
Mimi nikifa nature will take course they will grow well and I will teach them to not blame other people kwa watakachopitia it's about part of life na hyo sio shida duniani ukizaliwa ukiwa mzima ukapata basic needs za kulala, shule na kula inatosha kabisa so hapo si blame death maana ni njia yetu sote na watoto watakuwa tu tofauti na hii mtu anazaa tu akitegemea kusaidiwa kulelewa why uzae hyo ndio hoja yangu ukija utegemee huruma ya dunia kusaidia I would raise adopt a kid or opharn na ku wa raise well kuliko Hawa watoto wakuletewa na mtu anazaa huko nje na kukutupia wewe ulee na watoto wa kambo hata hufanyaje lawaza zinakuja kwako na wakikua wakuite mchawi haya yapo na nimeshuhudia na ikiwezekana siku ya urithi wasumbue watoto wangu halisi chakufia nini?
..Umesema 'I will teach them'...unfortunately you might not even have time to teach them before you are gone.

...Umesema maisha ni basic needs tu inatosha,sio kweli maana upendo ndio msingi mkuu,hizo basic needs ata mbwa wa ulaya wanazo tena grade one.TUACHE KAZI YA SHETANI YA KUONGEZA IDADI YA MACHANGUDOA NA WATU WASIO NA FURAHA.

...Unaongelea urithi,ina maana hofu ya kutompenda mtt wa kambo ni kuhofia mambo ya mali! Kwa hiyo mali ya mzazi wake unataka ila yeye mtoto haumtaki! Yaani ukiona unathamini mali zaidi ya mwanadamu nakushauri anza kumrudia Mungu maana unapotea.

...Watoto wa kambo hawana makosa,elekeza chuki na lawama kwa wazazi(kama umeamua kujenga chuki ili uzeeke mapema). Kuna wengine walibakwa au kuwekewa madawa ya kulevya na kupata ujauzito usio tarajiwa,kuna waliokimbiwa na wake au waume zao na kuachiwa watoto..hawa ndio ninaowatetea.

Tujifunze kuwapenda wanadamu wenzetu no matter what,what yuo don't wish to be done on you and your kids don't do it to others..karma is real and it is holly and Godly.
 
Una point moja nzuri sana,lakini ungejikita zaidi kuangalia angle na condition za tukio!

Sisi wanaume tunapitia changamoto nyingi sana,mfano unamtia mimba mtoto wa watu,hapo upo form six au chuo! Hapo huna mbele wala nyuma,huna kipato chakuweza ku handle mishe za mtoto na Mama yake! Inabidi uwashirikishe ndugu,watakusema lakini atajitokeza mmoja atalea mtoto,hadi anakua! Akifikisha miaka 3,dogo anachukuwa na ndugu yako,baby mama wako anapata mshikaji mwenye pesa,anamuoa kabisa! Huku mwanaume unapambana baada yakumaliza chuo unapata kazi au unaanzisha biashara,unakaa stable,mtoto wako unamchukua toka kwa ndugu yako,unakua na uwezo wakulipa bills, unaamua kuoa mwanamke! Sasa hapo kuna shida gani ninayekuoa hadi umchukie mwanangu?? Kwanza utamkuta ni mkubwa,anafanya mambo yake yakibinadamu bila msaada wako! Na mnakutana wakati wa likizo tu! Mara nyingi yuko shule! Usiweke kinyongo kwa mtoto wa mwenzako,hii dunia inazunguka! Vipi na wewe kesho haupo duniani, ukaacha watoto au mtoto,mme wako bado akawa kijana akaamua kuoa mke,watoto wako wakateswa! Hutaelewa,lakini watoto wataishi maisha magumu sana! Mtoto uliyemkuta kwa mme wako wakati anakuoa,achana nae! Deal na mtoto atakayezaliwa nje ya ndoa yako, kipindi umeshaolewa! Hapo una haki yakununa!

JamiiForums mobile app
Umeandika kwa uchungu sana Mimi bado napinga tabia mbovu ya watu kuzaa hovyo huko nje tena unakuta ameshaoa kabisa anazalisha wanawake tofauti na anamuletea mkewe awalee kinguvu hapo Nitapinga daima maana ni tabia sugu zinazokua kwa kasi kwenye jamii.
Na hyo ya mwanaume na watoto niliowakuta sitaki interfearance yoyote wala kuhusishwa na kujichosha Mimi akili yangu kwa namna yoyote Ile maana kwa normal relationship sikuhizi unakuta uko na mtu wewe huna mtoto unaona Sasa badala u enjoy mahusiano yako hapo mara unaskia mtoto ataka kile mara kile, na nyie wanaume mna notion negative kuwaza watoto kuteswa hata kama hawateswi hyo inaharibu Raha ya mahusiano kabisa bwana aaargh.
N. B nakerwa na watu wanaozaa hovyo hovyo hata na wanaume au wanawake tofauti hao ndio janga la kitaifa
 
Kumbuka kuna waliobakwa na waliokimbiwa na waume au wake zao na kuachiwa watoto.

Siungi mkono kwa wanaozaa nje ya ndoa wakiwa ndani ya ndoa
 
Umeandika kwa uchungu sana Mimi bado napinga tabia mbovu ya watu kuzaa hovyo huko nje tena unakuta ameshaoa kabisa anazalisha wanawake tofauti na anamuletea mkewe awalee kinguvu hapo Nitapinga daima maana ni tabia sugu zinazokua kwa kasi kwenye jamii.
Na hyo ya mwanaume na watoto niliowakuta sitaki interfearance yoyote wala kuhusishwa na kujichosha Mimi akili yangu kwa namna yoyote Ile maana kwa normal relationship sikuhizi unakuta uko na mtu wewe huna mtoto unaona Sasa badala u enjoy mahusiano yako hapo mara unaskia mtoto ataka kile mara kile, na nyie wanaume mna notion negative kuwaza watoto kuteswa hata kama hawateswi hyo inaharibu Raha ya mahusiano kabisa bwana aaargh.
N. B nakerwa na watu wanaozaa hovyo hovyo hata na wanaume au wanawake tofauti hao ndio janga la kitaifa
Mtu anajijua hayupo tayari kulea halafu wanatiana mimba

Hivi hii nayo ni hoja ya kujitetea kwani!
 
..Umesema 'I will teach them'...unfortunately you might not even have time to teach them before you are gone.

...Umesema maisha ni basic needs tu inatosha,sio kweli maana upendo ndio msingi mkuu,hizo basic needs ata mbwa wa ulaya wanazo tena grade one.TUACHE KAZI YA SHETANI YA KUONGEZA IDADI YA MACHANGUDOA NA WATU WASIO NA FURAHA.

...Unaongelea urithi,ina maana hofu ya kutompenda mtt wa kambo ni kuhofia mambo ya mali! Kwa hiyo mali ya mzazi wake unataka ila yeye mtoto haumtaki! Yaani ukiona unathamini mali zaidi ya mwanadamu nakushauri anza kumrudia Mungu maana unapotea.

...Watoto wa kambo hawana makosa,elekeza chuki na lawama kwa wazazi(kama umeamua kujenga chuki ili uzeeke mapema). Kuna wengine walibakwa au kuwekewa madawa ya kulevya na kupata ujauzito usio tarajiwa,kuna waliokimbiwa na wake au waume zao na kuachiwa watoto..hawa ndio ninaowatetea.

Tujifunze kuwapenda wanadamu wenzetu no matter what,what yuo don't wish to be done on you and your kids don't do it to others..karma is real and it is holly and Godly.
Yes I will teach hata nikiondoka mapema they will survive coz spirit inside me itakuwa juu Yao kama Mimi Nili survive at my age with minimal supervision and I am old enough mpaka Leo so sioni hyo ka ni good excuse ya kutetea watu wasio take full responsibility for their actions.
Pia Mimi ka mama I have to protect my genes by any means ensuring their wellbeing by creating good evironment ya wanangu by any means, wa nje kwangu ni intruders for the future of my own kid's survival loh, halafu hyo ya future ya wanangu naongelea kwangu au kwa wamama wanaowekeza vitega uchumi na wanaofanya kazi na biashara na sio kutegemea Cha mumewe sikuhizi hamna kitu ka hicho Cha kuwa goalkeeper tu, so I work hard and I have invested heavily to different properties in town yet huyo mtoto wa mama mwingine hajagi kutoa lolote hata nguo za mwanawe yet aje kupata sawa na wanangu vitu nilivojiandaa huku yeye alikuwa na mambo yake Mimi niache tu kimya na kujifanya eti mwema?
Tena huyo mtoto baba hayupo wataungana na mama yake kuleta chaos kwa watoto wangu nivumilie tu,[emoji23][emoji23] it's not bad to fight for the future of own eggs or na sio dhambi kabisa jamani na sio roho mbaya ooh.
N. B hii case ni Kwa watu walio hai tu na wanaotekeleza watoto na kuachia baba au mama kulea, maisha ni Kwa walio hai so msije hapa na excuse sijui mtu kafa na blah blah nyingi za kutafta huruma za ulezi
 
Back
Top Bottom