Mke wangu hana hamu ya kufanya mapenzi na mimi. Nifanyeje?

Hahaha πŸ˜†!! Wanasema ukianza kumwelewa mwanamke ujue uko karibu kufa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Shida mnasoma thread za πŸ‡ΏπŸ‡¦ tu haha

Chukka bamia mbichi changanya na karafuu na mdalasini jaza kwenye dumu litre 5

Achaa mpaka asbh..ukiweza ku blend nzuri zaidi

Kunyweni kama majiyakunywa mkisikia kiu hayo ndio majiyenu
Mwanzo mgumu ila ukizoea yanasafisha mishipa mpaka Dhambi mkuu

Yaan yeye ndie atakuwa akikuombaaaa..

Ukimaliza ltr5 bado yaleyale

Hamia upandewapili pale kawe shehee mwendo wa maombi maji mafuta udongo

Je usiku unasikia kama anatoa mlio kama amazin...kama ndio kimbilia tu kawe ukirudi ndio utengeneze juice hapo uko na mwenzieo usiku hataki ule mzigo wake aka spiritual husband ....
Ashindweee Ashindwee
 
unaushahidi gan mkuu mpaka unasema hivy? Hiyo hali uwapata wanawake weng tu anakuwa hana hamu
Mimi sina ushahidi wowote.

Lakini mwanamke ni sawa na mwanasiasa. Akikwambia kumekucha toka nje mwenyewe ujiridhishe.

La sivyo umepigwa.
 
MKUU

UNAJUA MKUU IMEKAMATA NDOA NYINGI SANA HILI...TATIZO UKILIKALIA KIMYA...........MKUU KWENYE NDOA
TOA N
UTAELEWA.....
NA HII KUNA MAMBO MENGI YANAVHANGIA

MAGANO YA UKOO..KUNA WENGINE KWAO HAWATAKI WAOLEWE WE UMEKUJA NA MAOMBI YAKO KAJAA KWENYE MFUMO..SO ANAKIMBIZANA NA WEWE BADO

2.ZAWADI ZA HARUSINI

ZILE ZAWADI NDIZO ZILIMALIZA NDOA YANGU SITAKI KUKUMBUKA NA TULISHAURIWA AITWE PAST AZIOMBEE MKE KAKOMAA KWAN HATUNA MUNGU KILA AKIFUNGUA KITUKO BWANA ZAKO HAO NIKIFUNGUA BOX LINA KHANGA MBICHI AANASEMA MALAYA ZAKO HATUKUKAA WOI....

3..X ZA WANANDOA

MKUU HAPA KUNA AINA MBILI
3A.
KUNA MABINTI WAMEKULA SANA HELA ZA WANAUMEE KAMA ALIVYOLIWA KAKAYANGU WENGINE WANASOMESHA HADI VYUON

ANAMALIXAUNASHANGA KAPATA KAZI ANANZA KUKUKATAAA NA WAMESHAWEKEANA MAAGANO YA NDOA

SASA WALE WANA NJIA2
1A
WAMWACHIEE MUNGU UENDAKO
1B
WAPAMBANE NA HUYO UPANDE WA PILI NAFIKIRI UNAELEWA SIO RAHISI KUTOBOA NA MKIKUTA HAMJAOKOKA WEWEE...
HAKUNA RANGI UTAACHA KUONA...
 
Jaribu badilisha nae mazingira. Kuna kipindi mazingira na hali za maisha huchangia, plus misongo ya mawazo
 

Anapatikana wapi niweze ongea kuhusu hilo suala. Atakaa sawa
 
Kabla ya kukupa mawasiliano yake naomba nijaribu kuyafanyia kazi maoni mbalimbali ya wadau kisha nitatoa mrejesho, kama hali itakuwa mabya zaidi nitakupa mawasiliano yake.

Sawa. Maana ningeongea naye na kumpa dawa ambayo angekuganda na angepatwa na hamu kila mnapokuwa wote. Unge enjoy sana.vipi lakini sura na umbo lake.
 
Ni mambo ya kawaida kwenye ndoa,muhimu nenda nae taratibu,na jitahidi kumuelewa polepole,japo wewe endelea kufanya nae tendo,akiwa anahamu au hana ili wewe ukamilishe ndoa yako.Ipo siku utaelewa kwanini
 
Kwani huko mwanzo alikuwaje?
 
""mshiko unaachaga mkuu nyumbani ""

maana wengine wanaigaga kukaa bar na sisi wanarudi wameshiba wananuka karafuu

mke anawaza kuwazika alafu unashtuka take mzigo akupi ngo

hasa wachaga mkuu
 
7.

Anakataaaa nywele zetu kuleee mafurikoooni??

Dk
Nipe wimbo wa simba wa yuda anangurumaaa wa kijitonyama kwayaa
Hahaha πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜†
 
Shukuru Mungu yupo hivyo utapata muda wa kutosha kupumzika usiku unaamka na energy ya kutosha kutafuta hela.

Hebu imagine angekuwa na nyege kama zako kila muda anataka ungeishije ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…