π―Tatizo la mke wako laweza kusababishwa na Hormone imbalance
1. Kwa maisha ya sasa kuna changamoto kubwa ya Hormone Imbalance kutokana na mfumo wa maisha ya sasa; na pia wanawake wanapotumia njia za uzazi wa mpango ambazo haziendani na miili yao
2. Kuna changamoto ya kuzaliwa kuwa; wapo wanawake na wanaume ambao hawapo active. Wanakuwa na hamu kidogo sana (wapo low); Kwa ujumla watu wapo makundi matatu. Wachache wana ham sana; wengi wana ham ya kawaida na wachache tena wana ham kidogo. sasa mtu (akichukua mwenza wa kundi tofauti lazima mmoja ateseke
3. Tofauti na mwanamme; Mwanamke akiwa na mawazo yoyote ya kumzonga kichwani ham hushuka sana. Yaweza kuwa malezi ya mtoto/watoto, kazi nyingi, kipato kidogo, nk nk
Kama mnara Dr. Mariposa sasa sijui tunafanyaje βΊοΈ
Umeyajuaje wakati wewe na dushe ni paka na panya1. Hunuki mdomo?
2. Hunuki makwapa?
3. Unajua kumuandaa?
4. Unamfanya akojoe?
5. Unatumia muda gani kumaliza?
6. Unampa vizawadi zawadi?
Jitafakari wewe kwanza na urekebishe penye mapungufu, siku moja tokeni hapo kwenu mpeleke sehemu tofauti kama uwezo wa hotel hamna basi hata lodge, mpe zawadi anayoipenda msifie, muandae sana usiwe na haraka ya kumpanda, hakikisha anafika kileleni kwa ulimi wako au vidole vyako, muulize kama yupo tayari kukupokea na wewe mnalianza sebene kwa style mbali mbali,
Halafu acha ulokole kitandani, muweke style za kumfanya ashindwe hata kutoa mlio mkunje kisawa sawa, yaan uhuni flani hivi amazing akitoka hapo hakikisha miguu yake inatetemeka hawezi kukanyaga chini muache apumzike, kuleni msosi wa nguvu rudini nyumbani uone penzi linavyokua jipya.
NB: Kama umri umeenda msifanye hayo msije mkafia vitandani ishieni tu hapo kwenye kumpa vizawadi zawadi.
Kipindi unamtongoza, ilichukua mda gani hadi akakukubalia? ebidadaNaomba ushauri kuhusu changamoto yangu ya ndoa
Ninaishi na mke wangu, lakini kuna jambo ambalo limekuwa likinisumbua kwa muda na sijui nifanye nini. Katika maisha yetu ya ndoa, mara nyingi ni mimi ndiye ninayeanzisha suala la ukaribu wa kimapenzi. Kwa upande wake, mara nyingi haonyeshi hamu au kuhitaji ukaribu huo, na wakati mwingine nikijaribu kuanzisha, nahisi kama vile namlazimisha.
Hali hii imenifanya nianze kujiuliza maswali mengi. Je, ni kawaida katika ndoa mmoja kuwa na hamu zaidi kuliko mwingine? Je, mwanamke hapaswi pia kumhitaji mume wake na kuonyesha hisia zake, au ni kawaida mwanaume kuwa ndiye anayeanzisha kila mara?
Kuna wakati najiuliza kama labda hanipendi tena kama zamani. Kinachoniumiza zaidi ni kwamba hajawahi kuniambia wazi tatizo ni nini, na mimi pia sijui kama kuna kitu ninachokifanya ambacho kinamfanya ajisikie hivyo.
Nimejaribu kufikiria sababu mbalimbali, lakini sitaki kumhukumu wala kumshinikiza. Nataka kuelewa tu kinachoendelea na nijue namna sahihi ya kulishughulikia jambo hili.
Kwa wale wenye uzoefu wa ndoa, mnafikiria nifanye nini? Je, nimkalishe chini na kuzungumza naye kwa uwazi kuhusu suala hili? Na kama mke wako hataki ukaribu wa kimapenzi mara kwa mara, unajuaje kama ni suala la upendo, msongo wa mawazo, changamoto za kiafya, au kuna tatizo lingine ndani ya ndoa?
Naomba ushauri wa kweli kutoka kwa watu wenye uzoefu.
Khe kwan mapenzi sifanyi jamani, mnayofanya nyie tunayafanya na sie tofauti ni zana tu.Umeyajuaje wakati wewe na dushe ni paka na panya
Tuupeleke kwenye maombi ππKama mnara Dr. Mariposa sasa sijui tunafanyaje βΊοΈ
Acha masikhara ume uamsha mwenyewe βΊοΈTuupeleke kwenye maombi ππ
1. Hunuki mdomo?
2. Hunuki makwapa?
3. Unajua kumuandaa?
4. Unamfanya akojoe?
5. Unatumia muda gani kumaliza?
6. Unampa vizawadi zawadi?
Jitafakari wewe kwanza na urekebishe penye mapungufu, siku moja tokeni hapo kwenu mpeleke sehemu tofauti kama uwezo wa hotel hamna basi hata lodge, mpe zawadi anayoipenda msifie, muandae sana usiwe na haraka ya kumpanda, hakikisha anafika kileleni kwa ulimi wako au vidole vyako, muulize kama yupo tayari kukupokea na wewe mnalianza sebene kwa style mbali mbali,
Halafu acha ulokole kitandani, muweke style za kumfanya ashindwe hata kutoa mlio mkunje kisawa sawa, yaan uhuni flani hivi amazing akitoka hapo hakikisha miguu yake inatetemeka hawezi kukanyaga chini muache apumzike, kuleni msosi wa nguvu rudini nyumbani uone penzi linavyokua jipya.
NB: Kama umri umeenda msifanye hayo msije mkafia vitandani ishieni tu hapo kwenye kumpa vizawadi zawadi.
Kwani kisimi cha K ya mwenzako kinaweza kuingia katika K yako kama dushe?Khe kwan mapenzi sifanyi jamani, mnayofanya nyie tunayafanya na sie tofauti ni zana tu.
inawezekana ikawa sababu inatakiwa ufanye uchunguzi wakati mwingine hawaaminiki wanatuchanganyaNdio anatumia njia za uzazi wa mpango.
Pumbavu zako, Is sex OXYGEN? ACHA UPUUZI πππππNaomba ushauri kuhusu changamoto yangu ya ndoa
Ninaishi na mke wangu, lakini kuna jambo ambalo limekuwa likinisumbua kwa muda na sijui nifanye nini. Katika maisha yetu ya ndoa, mara nyingi ni mimi ndiye ninayeanzisha suala la ukaribu wa kimapenzi. Kwa upande wake, mara nyingi haonyeshi hamu au kuhitaji ukaribu huo, na wakati mwingine nikijaribu kuanzisha, nahisi kama vile namlazimisha.
Hali hii imenifanya nianze kujiuliza maswali mengi. Je, ni kawaida katika ndoa mmoja kuwa na hamu zaidi kuliko mwingine? Je, mwanamke hapaswi pia kumhitaji mume wake na kuonyesha hisia zake, au ni kawaida mwanaume kuwa ndiye anayeanzisha kila mara?
Kuna wakati najiuliza kama labda hanipendi tena kama zamani. Kinachoniumiza zaidi ni kwamba hajawahi kuniambia wazi tatizo ni nini, na mimi pia sijui kama kuna kitu ninachokifanya ambacho kinamfanya ajisikie hivyo.
Nimejaribu kufikiria sababu mbalimbali, lakini sitaki kumhukumu wala kumshinikiza. Nataka kuelewa tu kinachoendelea na nijue namna sahihi ya kulishughulikia jambo hili.
Kwa wale wenye uzoefu wa ndoa, mnafikiria nifanye nini? Je, nimkalishe chini na kuzungumza naye kwa uwazi kuhusu suala hili? Na kama mke wako hataki ukaribu wa kimapenzi mara kwa mara, unajuaje kama ni suala la upendo, msongo wa mawazo, changamoto za kiafya, au kuna tatizo lingine ndani ya ndoa?
Naomba ushauri wa kweli kutoka kwa watu wenye uzoefu.
Sasa hata kama tatizo ingekuwa kwenye hizo namba. Huyo mke wake mpaka anasema Yes, hakuyajua hayo?1. Hunuki mdomo?