Mke wangu hana hamu ya kufanya mapenzi na mimi. Nifanyeje?

Maana yake hapo ana hamu na masela wengine mkuu..
Hamuwezi kufikiria sababu nyingine zaidi ya hii ya kijinga? Pendeni wake zenu nyie viumbe mnawatreat vibaya halafu wakibadilika na kuacha kuwajali kama mwanzoni mnadikiria kuna mwanaume mwingine.
Huyo mke ana maumivu ya muda mrefu, mume hamjali anamchukulia poa.
Mtoa mada atafakari ni wapi alikosea.
 
Mwanamke hawezi kua na hisia na wanaume wawili kwa wakat mmoja kwaio huyo alitoka nje ya ndoa ndicho kilichomkuta na nivigumu kurudi kama zamani ndio maana mtu akianzaga tabia hiyo ndoa humshinda
 
Kwa mujibu wake anasema mkewe ana umri wa miaka 35, mwanzoni hakuwa hivyo kwamba kila mmoja alikuwa anamuomba mwenzake
 
Hilo ni tatizo kubwa sana kwenye jamii ya sasa inahitaji uchunguzi wa kina
 
Huyo hataki kuunganisha via vya uzazi na wewe. Kuna mtu anapiga miti ukienda job.
Not necessary kuna vitu vingi sana ,mwanamke ni tofauti na mwanaume
Mwanamke mwenye akili timamu hawezi kufanya mapenzi kama hana hisia tofauti na mwanaume, na hiyo hiyo inachangiwa na mambo mengi sana ikiwemo hormonal imbalance, stress etc na inampelekea anapoteza hamu na hata ule ute unapotea
 
Mwanamke akikupenda suala la wewe kuwa mbunifu mwenye tendo sio tatizo kama tu unamridhisha
 
Wanawake sometime ni viumbe visivyoeleweka vinataka nini na lazima wajue huwezi kumpata mwanaume ambaye ni perfect asie na mapungufu huyo mwanaume hayupo Dunia wakijua hili hawatapata shida mfano niliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke ambaye nilimpenda nilijitoa kwake japo nilikuwa sikuwa na pesa kiasi hicho lakini nilijitahidi kwa uwezo wangu nilikuwa Nampa zawadi bila kuniomba, sometimes nakutumia muamala bila kuniomba, namshauri kwenye mambo ya msingi, nilikuwa simcheat, nilikuwa humble kakwe na ni mkali akifanya ujinga na kwenye sex nilikuwa vizuri kiasi ambacho anapendea tufanye weekend badala ya katikati ya wiki huwa anaona ninamshoka nakumfanya awe mvivu kesho yake kwenda kazini pamoja na yote haya alinicheat na mfanyakazi mwenzake na kila kitu kikavurugika hapo ndio maana huwa nashindwa kuelewa jinsia yenu
 
. Mbona unatoa conclusion isiyo na kichwa wala miguu.. 🤔 🤔 🤔

. Unasema tupende wake zetu, nyinyi huwa mnapenda wanaume zenu.??? Zaidi zaidi mnamiliki mahawala kibao huko mitaani hata mkiwa ndani ya ndoa na mnafika mbali zaidi munaleta na mimba ndani ya nyumba.. 🚮 🚮 🚮
 
Ushalombewa na bodaboda sasa kamoja chali unamchqfua mtoto wa watu buree kwanza anajuta kuolewa na wewe 😂
 
Ngoja sasa hivi viumbe vya jeiefu vikuvuruge uvurugike vizuri🍿🍿🍹
 
Kwani ulizaliwa kwa ajili yake yeye, hataki piga usingizi wako kisha tafuta wa kukupoza, hili si kosa lako ila amekulazimisha yeye.
Wakati mwingine huenda anakuokoa kutoka kwenye janga kubwa, wanawake wanasiri nzito.
 
Ni wewe tu ila nje kuna wakunaji wazuri.
 
Huyo siyo wako tena funguka akili kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…