Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

Huu uzi kama wa nne wwanaume wanalalamika hawapewi mbunye. Kitu gani kinaendelea mbona hamniambii wakuu? Isije ikafika kwangu pia [emoji23][emoji1]
Haka katabia kamekuwa kama mlipuko wa Red Eyes. Yaani wanaume wote ni lazima tutalalama ndani ya miezi hii ya mwanzo ya mwaka 2024
 
Hilo swala rahisi tu wala usishirikishe wazazi,
Tafuta mchepuko wako mzuri uwe ukitoka mishe unapitia unarudi home saa sita
Sasa tatizo nn? Si kasema alisusa mwezi mzima, na mwenzie akawa km hakna kitu vilee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pitia simulizi hiyo chini, utapata muarobaini wa wanawake"

 
Pole sana Mkuu kwa changamoto unayopitia.

Nimesoma uzi wote,comments za wadau lakini hakuna hata mmoja aliyegusia kuhusu kumpunguzia mkeo majukumu ya kazi.

Umesema sababu yake kuu ya kufanya hivyo ni uchovu,anadai anachoka sana..
Kwanini usimtafutie dada wa Kumsaidia kazi,ili sasa asiwe anachoka sana.

Kama ni katika biashara tafuteni msaidizi ili awe anapata nafasi ya kupumua.

Kiukweli,kama anafanya biashara na kufanya kazi zote za nyumbani ikiwa pamoja na kuhudumia watoto,hapo kuchoka hakuepukiki..
Kazi za nyumbani zinaweza kuonekana kama si chochote,,watu wanazi-undermine lakini ni kazi zinazochosha mwili sana pengine kuliko hata kazi za ofisini..na kama kuna watoto basi mtu anaweza kujikuta kutwa nzima anazunguka tu bila kupumzika .

Achana na mawazo mabaya ya watu kukujaza kwamba anachepuka,sijui tafuta mchepuko
Kama ambavyo Ukristo hauruhusu ndoa zaidi ya moja,vivyohivyo hauruhusu kuchepuka.
 
Kama umemzalisha utitiri wa watoto na hutoi matumizi ya kutosha na Kwa WAKATI, neno mapenzi sahau.

Amehamishia mapenzi Kwa watoto!
 
Mchunguze Kwa umakini zipo sababu nyingi, za historia, saikolojia, wewe mwenyewe kutokuwa ubunifun a kukosa uaminifu kunaweza kusababisha hayo unayokumbana nayo.
 
fanya mambo yafuatayo:
1.rudi kwa wazazi wake uongee nao,au dada yake mkubwa au kaka yake mkubwa,au baba na mama yake
2.au nenda kwa viongozi wa dini mlipofunga hiyo ndoa uwaambie jbo hili
 
Acha uzoba, mpandishe cheo chapu na ajue kabisa kuwa umepata utelezi mwingine mzuri zaidi yake. Hakikisha anapanda cheo maradufu huku wewe ukichelewa sana kurudi nyumbani na siku nyingine jisahaulishe kutoa bill ya meza , akiuliza usimjibu chochote acha ajionee mwenyewe maana ukiongea hawachelewi kujiliza ili umuonee huruma
 
Pole....umepata mrithi
 
Ndoa ya Kikristu hii, hamna kuongeza mke wala hamna talaka. Mimi naona suluhisho la haraka ndo hilo mchepuko tu.
Ukiachana na suala la kuninyima unyumba, hana shida nyingine ni hapo tu yaani ndo tatizo lake kubwa.
Fanya haraka upate mchepuko lasi hivyo utakuja kuua huyo mtoto wa watu kiutani utani tuu
 
Ulitumia mbinu Gani kumuacha ndugu,,,,maana kama ni make WA ndoa huwa kuna kasheshe yake
 
Itakuwa ana wateja wengi wa ngono anawahudumia, maana siku hizi wake za watu wengi wanajiuza na anataka hadi mumewe amuuzie tendo la ndoa.
Kweli mkuu,,,unakuta unamuomba mke tendo,,,,anakuambia mbona bado hujanitimizia Kile ulichoniahidi??,,, Sasa unabaki unawaza nisipokitimiza tendo sipati??,,,Yaani tafrani ni kama anakuuzia tendo asee,,,,
 
Hana Hisia tena na wewe tena kama mume wake,kakuzoea, kama hujawai kumcheat( kuchepuka na akajua) Rudisha urafiki kwake mfanye kuwa RAFIKI katika maongezi, na utani mdogo mdogo, na kumsifia sifia nifanye kama na wewe siku hizi hutaki mambo hayo😂😂
Kwa zoezi Hilo ndani miezi 3 aspobadilika jua Kuna Kuna sehemu kapeleka hisia zake

Kuna muda NDOA INAKULAZIMISHA Uwe na mambo ya kitoto na kijinga Kwa mkeo uspoyafanya et unaleta u seriously Kila kitu WATAKUSAIDIA WANAOJUA UTOTO NA UJINGA😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…