Jick
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 1,327
- 2,041
Safi sana🤣🤣🤣🤣Huenda kaweka yeye kimya kimya.
Kama una uhakika haweki, mpandishe cheo na uteuzi juuu. Awe mke mkubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana🤣🤣🤣🤣Huenda kaweka yeye kimya kimya.
Kama una uhakika haweki, mpandishe cheo na uteuzi juuu. Awe mke mkubwa.
inawezekana mana wakati wakutongoza hamtongozi bali mnahonga pesa mbalimbali na kutoana outHakupendi
Uko sahihi mjombainawezekana mana wakati wakutongoza hamtongozi bali mnahonga pesa mbalimbali na kutoana out
Wakishalipiwa ,outing hakuna ihongaji haupo kinachofata ndo hicho kinamtokea sasa baada ya ndoa
Kweli ndugu yangu[emoji2][emoji2][emoji2]Kuna watu ni wavumilivu
Kuongeza mke wa pili dini yako hairuhusu, ila kutafuta mchepuko na kuzini naye dini yako inaruhusu? Hatari sana!!Dini hairuhusu. Sanasana nitatafuta kamchepuko kanakojielewa kawe kanamsaidia.
Kuchepuka na kuzini dini yako inaruhusu?? Hivi mna akili nyie watu? Yaani kutoa talaka na kuoa mke mwingine unaogopa kwa sababu dini yako hairuhusu, ila kuchepuka na kuzini sio tatizo!!Ndoa ya Kikristu hii, hamna kuongeza mke wala hamna talaka. Mimi naona suluhisho la haraka ndo hilo mchepuko tu.
Ukiachana na suala la kuninyima unyumba, hana shida nyingine ni hapo tu yaani ndo tatizo lake kubwa.
🤣🤣🤣Kuna watu mna mioyo migumu.
Mimi mtu akianza kunibabaisha katika jambo lolote huwa namfyeka bila kujiuliza mara ya pili.
Yaani ni fasta fasta, chap chap kijeshi.
Sijui ni hili komwe linanifanya niwe na maamuzi thabiti ya kutokubabaishwa?
Kwani sayansi inasemaje? DR Mambo Jambo
Ndugu yangu pole sanaNimeongea nae mara nyingi kirafiki na kwa upendo, hajawahi sema kuwa shida ni usafi wangu, ingekua ni hivyo, angesema na mimi ningejitahidi kubadilika, maana hilo linaweza badilika.
Anafanya tendo la ndoa na mwanaume mwengine, pole yako zoba wewe.Mimi ni mwanaume nimeoa, ndoa ina miaka mitano sasa. Mke wangu amebadilika sana, amekua ni mtu wa kila siku usiku yeye analalamika tu amechoka, na akiingia kitandani ni skeunde 10 tu amelala. Kuna kipindi nikawa nalazimishia, ikawa kama nambaka, anatanua tu miguu nafanya yangu, hadi namaliza.
Hii tabia inanikera sana, ila yeye haoni kama ni kero. Hii hali imeanza kwa muda wa miaka mitatu sasa, kabla ya ndoa wakati wa uchumba hakua na tabia hii, labda kwa vile alikua anakuja tu sleep overs za weekend chache chache.
Imekua ni shida kubwa sana kwenye ndoa yetu, tunagombana mara nyingi sababu ya hili, ila yeye anajiona hana makosa, analalamika tu kuwa napenda sana ngono, nataka ngono kila siku kama chakula. Yaani saa zingine usiku huwa namuangalia akiwa amelala kitandani, natamani nimchape mangumi, au hata nimfunike na mto afie mbali huko!!
Kuna kipindi niliamua kama kumpa adhabu nione kama anajielewa, sikumgusa karibu mwezi mzima, naingia zangu tu kitandani nalala bila kumgusa wala kumsumbua.
Cha ajabu, hata hakushtuka na kuona hiyo ni hali ya hatari, mwezi mzima tulilala bila kufanya chochote na bila hata yeye kushtuka wala kusema chochote. Mimi sio mtu wa kuchepuka kabisa kiasili, ni mtu wa kukaa na mwanamke mmoja.
Sasa kwa hatua iliyofikia, ninachopanga kichwani kwangu atakuja kushtuka wakati ameshachelewa sana, namtafutia dawa yake, atakuja kujuta. Wanawake acheni huu ujinga, mnavunja ndoa zenu kwa mikono yenu wenyewe.
Mkuu kuna wanawake wengine hawajafunzwa na hawajui mwanaume hisia zake zipo vipi, Mimi nimeachana na mpenzi wangu, anatabia kama ya huyu mke wa jamaa, yeye hataki kabisa kunipa tendo yeye anataka tu niwe nampa pesa tu na tutoke out na ukimgusia maswala ya sexy hataki, alikuwa ana nipa sexy kwa mwaka mara moja na akipenda yeye.
Tafuta mwanamke mwingine wa njeMimi ni mwanaume nimeoa, ndoa ina miaka mitano sasa. Mke wangu amebadilika sana, amekua ni mtu wa kila siku usiku yeye analalamika tu amechoka, na akiingia kitandani ni skeunde 10 tu amelala. Kuna kipindi nikawa nalazimishia, ikawa kama nambaka, anatanua tu miguu nafanya yangu, hadi namaliza.