Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

Pole,majibu hapo ni mawili, moja mkeo analiwa na walimwengu, mbili, unanuka mapumbu so anaona kinyaa, pole sana ndugu katika msoto wa mbunye
Nimeongea nae mara nyingi kirafiki na kwa upendo, hajawahi sema kuwa shida ni usafi wangu, ingekua ni hivyo, angesema na mimi ningejitahidi kubadilika, maana hilo linaweza badilika.
 
Huu uzi kama wa nne wwanaume wanalalamika hawapewi mbunye. Kitu gani kinaendelea mbona hamniambii wakuu? Isije ikafika kwangu pia [emoji23][emoji1]
Hapa ni kufurahishana tu.

Ugumu wa maisha vijana wa humu na stori wanazosimuliwa japo yapo hayo mambo.
 
mimi ndo napitia wakati kama wako ila nimekuja kugundua kuna mtu anampa furaha so hisia na mimi hazipo tena ila wa kwangu ni tamaa ya pesa coz sidhani kama kwangu kuna kitu alikosa ila amempata mtu mwenye uwezo zaidi yangu nimeamua kuachana nae japo na mpenda ila sina jinsi,najua nitapata mtu sahihi coz mapenzi usilazimishe utaishia kuumia na kushindwa kufanya mambo ya muhimu.japo naumia ila yataisha tu
Pole mkuu! Ni mke au mpenzi tu?
 
Back
Top Bottom