50thebe
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 4,088
- 4,059
Mpamdishe cheo,awe bi mkubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpamdishe cheo,awe bi mkubwa
Tatizo unavuta miguu kusaini barua za promotion. Mpaka muda huu huyu angeshakuwa Bosi kitambo mno.Mimi ni mwanaume nimeoa, ndoa ina miaka mitano sasa. Mke wangu amebadilika sana, amekua ni mtu wa kila siku usiku yeye analalamika tu amechoka, na akiingia kitandani ni skeunde 10 tu amelala. Kuna kipindi nikawa nalazimishia, ikawa kama nambaka, anatanua tu miguu nafanya yangu, hadi namaliza.
Hii tabia inanikera sana, ila yeye haoni kama ni kero. Hii hali imeanza kwa muda wa miaka mitatu sasa, kabla ya ndoa wakati wa uchumba hakua na tabia hii, labda kwa vile alikua anakuja tu sleep overs za weekend chache chache.
Imekua ni shida kubwa sana kwenye ndoa yetu, tunagombana mara nyingi sababu ya hili, ila yeye anajiona hana makosa, analalamika tu kuwa napenda sana ngono, nataka ngono kila siku kama chakula. Yaani saa zingine usiku huwa namuangalia akiwa amelala kitandani, natamani nimchape mangumi, au hata nimfunike na mto afie mbali huko!!
Kuna kipindi niliamua kama kumpa adhabu nione kama anajielewa, sikumgusa karibu mwezi mzima, naingia zangu tu kitandani nalala bila kumgusa wala kumsumbua.
Cha ajabu, hata hakushtuka na kuona hiyo ni hali ya hatari, mwezi mzima tulilala bila kufanya chochote na bila hata yeye kushtuka wala kusema chochote. Mimi sio mtu wa kuchepuka kabisa kiasili, ni mtu wa kukaa na mwanamke mmoja.
Sasa kwa hatua iliyofikia, ninachopanga kichwani kwangu atakuja kushtuka wakati ameshachelewa sana, namtafutia dawa yake, atakuja kujuta. Wanawake acheni huu ujinga, mnavunja ndoa zenu kwa mikono yenu wenyewe.
Hii kitu inaitwa dini usije ukalemazwa nayo.Dini hairuhusu. Sanasana nitatafuta kamchepuko kanakojielewa kawe kanamsaidia.
Aaaah itakuwa ni kweli jaribu kufanya nae muda mwingine sio huo wa kulala asubuhi, au mchana.Yeye anasema shida uchovu, anachoka sana hivyo usiku anakua hoi. Yeye ni mtu ambae saa tatu tu usiku ameshalala.
Kuna watu ni wavumilivuMkuu kuna wanawake wengine hawajafunzwa na hawajui mwanaume hisia zake zipo vipi, Mimi nimeachana na mpenzi wangu, anatabia kama ya huyu mke wa jamaa, yeye hataki kabisa kunipa tendo yeye anataka tu niwe nampa pesa tu na tutoke out na ukimgusia maswala ya sexy hataki, alikuwa ana nipa sexy kwa mwaka mara moja na akipenda yeye.
KwishaAcha uboya kiumbe wa kiume asiechepuka ni Mbwea na njiwa tu hao ndo huwaga na jike mkoja tu mpaka kufa
Tafuta mchepuko piga mashine ikiwezekana uwe unalala huko huko unarudi home asubuhi na usimpe attention huyo mke wako atazidi kukupanda kichwani
Anakubania uchi wengine anawapa wanamgeuza wanavyotaka. Tafuta mpango wa kando huyo mtemeeee
halipo wakati hujajaribuHilo halipo.
Sasa kwa hatua iliyofikia, ninachopanga kichwani kwangu atakuja kushtuka wakati ameshachelewa sana, namtafutia dawa yake, atakuja kujuta. Wanawake acheni huu ujinga, mnavunja ndoa zenu kwa mikono yenu wenyewe.
Una uhakika gani?Hatumii njia yoyote ya uzazi wa mpango wa kisasa
Nimeshaongea nae sana, hamna chochote hapo, hana hasira zozote wala hakuna ugomvi wowote kati yetu, zaidi ya ugomvi wa kuhusu hilo la yeye kuwa amechoka kila siku.Ongea naye kirafiki ,kwani kukosa tendo humfanya mtu kuwa na hasira umwambie kabisa atoe Dukuduku Kama analo,wewe la kwako ni kunyimwa haki yako mwisho mwambie tuanze upya Kama Kuna Jambo halikuwa sawa.
Baada ya hapo mpe mda wa kupumzika yaani ashinde nyumbani tu kulala, ukiwa kazini mtumie sms za uchokozi za kimahaba na Maandalizi
Ukiona bado ujue hakuna uchovyu au kukwazika uchukue hatua zaidi
Toa msaada hapa hapa
Najitahidi kwa hilo sanamnunulie vizawadi zawadi, mbembeleze. wanawake uchi hawautoi bure hata kama umemuoa.
Sijawahi kumkosea kitu kikubwa, na mara nyingi naongea nae kwa upendo sana kumuuliza shida nini, hajawahi sema kuwa kuna maudhi toka kwangu yanayomkata stimuKuna kitu kuhusu Kunyimwa tendo kimejificha nyuma ya pazia.
Kwa mwanamke sex is earned.
"My husband has been so good to me let me he deserve to be rewarded with sex"
Usikosee kuoa tu mkuu, ukikosea ndo shida hizi. Mwanamke anaejielewa hawezi mnyima mumewe tendo, labda awe period au awe anaumwa.Nilijua nikioa tu, nakuwa naichapa kila siku
Kumbe hadi kwenye ndoa kuna kunyimwa!!!
Usije kufanya kosa la kuoa huyo mwanamke, utajuta!Hiyo hali ni Kama yangu tu japo nimepambana Sana kuidhibiti pia hatujafunga ndoa ss