Mega Flix
Member
- Mar 23, 2023
- 90
- 140
Hatari broHuu uzi kama wa nne wwanaume wanalalamika hawapewi mbunye. Kitu gani kinaendelea mbona hamniambii wakuu? Isije ikafika kwangu pia [emoji23][emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari broHuu uzi kama wa nne wwanaume wanalalamika hawapewi mbunye. Kitu gani kinaendelea mbona hamniambii wakuu? Isije ikafika kwangu pia [emoji23][emoji1]
Pole sana yatapita.mimi ndo napitia wakati kama wako ila nimekuja kugundua kuna mtu anampa furaha so hisia na mimi hazipo tena ila wa kwangu ni tamaa ya pesa coz sidhani kama kwangu kuna kitu alikosa ila amempata mtu mwenye uwezo zaidi yangu nimeamua kuachana nae japo na mpenda ila sina jinsi,najua nitapata mtu sahihi coz mapenzi usilazimishe utaishia kuumia na kushindwa kufanya mambo ya muhimu.japo naumia ila yataisha tu
Kuna mahali huyo mwanamke anachapwa...
Ukute Hamtii vizure 😁Kuna mahali huyo mwanamke anachapwa...
Akili zenu mnazijua wenyewe...Ukute Hamtii vizure 😁
😊😊😊😊Wee zetu unazijua vizure banaaa😛🤭Akili zenu mnazijua wenyewe...
🤣🤣🤣🚴🚴😀😀😎😎
Dini gani hiyo inayokataza mke zaidi ya mmoja?,ukristo unaruhusu isipokuwa askofu ndo haruhusiwi kuwa na mke zaidi ya mmojaDini hairuhusu. Sanasana nitatafuta kamchepuko kanakojielewa kawe kanamsaidia.
Usiache kutupatia mrejesho baada ya kuufanyia kazi huo mpango kazi wako na reaction yakeNina uhakika. Mpango kazi upo kichwani tayari.
Mrudishe kwa wazazi wake. Wakikuuliza kwa nini waambie binti yao ana majibu
Pole sana,Mimi ni mwanaume nimeoa, ndoa ina miaka mitano sasa. Mke wangu amebadilika sana, amekua ni mtu wa kila siku usiku yeye analalamika tu amechoka, na akiingia kitandani ni skeunde 10 tu amelala. Kuna kipindi nikawa nalazimishia, ikawa kama nambaka, anatanua tu miguu nafanya yangu, hadi namaliza.
Hii tabia inanikera sana, ila yeye haoni kama ni kero. Hii hali imeanza kwa muda wa miaka mitatu sasa, kabla ya ndoa wakati wa uchumba hakua na tabia hii, labda kwa vile alikua anakuja tu sleep overs za weekend chache chache.
Imekua ni shida kubwa sana kwenye ndoa yetu, tunagombana mara nyingi sababu ya hili, ila yeye anajiona hana makosa, analalamika tu kuwa napenda sana ngono, nataka ngono kila siku kama chakula. Yaani saa zingine usiku huwa namuangalia akiwa amelala kitandani, natamani nimchape mangumi, au hata nimfunike na mto afie mbali huko!!
Kuna kipindi niliamua kama kumpa adhabu nione kama anajielewa, sikumgusa karibu mwezi mzima, naingia zangu tu kitandani nalala bila kumgusa wala kumsumbua.
Cha ajabu, hata hakushtuka na kuona hiyo ni hali ya hatari, mwezi mzima tulilala bila kufanya chochote na bila hata yeye kushtuka wala kusema chochote. Mimi sio mtu wa kuchepuka kabisa kiasili, ni mtu wa kukaa na mwanamke mmoja.
Sasa kwa hatua iliyofikia, ninachopanga kichwani kwangu atakuja kushtuka wakati ameshachelewa sana, namtafutia dawa yake, atakuja kujuta. Wanawake acheni huu ujinga, mnavunja ndoa zenu kwa mikono yenu wenyewe.
Hahahahaha....Huu uzi kama wa nne wwanaume wanalalamika hawapewi mbunye. Kitu gani kinaendelea mbona hamniambii wakuu? Isije ikafika kwangu pia [emoji23][emoji1]
anagongwwa?Pole kwa kugongewa
Je hata siku ambazo huwa mko wote nyumbani?Yeye anasema shida uchovu, anachoka sana hivyo usiku anakua hoi. Yeye ni mtu ambae saa tatu tu usiku ameshalala.
Wapare na wamachame hata uwapeleke U.S.A !Pole sana,
Huenda umri, uzito, majukumu, au afya inamsumbua.
Mtafutie safari nje ya mji, mkoa, mwende mkapumzike wewe na mkeo angalau kwa wiki moja, mfufue mapenzi yenu kama yalivyokuwa, utaona mabadiliko.
Kuambiwa "amechoka sana!" ni neno lenye maana pana, wewe ni mumewe, tumia hekima na busara zako sasa kuusoma ukurasa huo mpya wa akili za mkeo.
Akipata matokeo ya hiyo dawa usisahau kuja kutuambia.Mimi ni mwanaume nimeoa, ndoa ina miaka mitano sasa. Mke wangu amebadilika sana, amekua ni mtu wa kila siku usiku yeye analalamika tu amechoka, na akiingia kitandani ni skeunde 10 tu amelala. Kuna kipindi nikawa nalazimishia, ikawa kama nambaka, anatanua tu miguu nafanya yangu, hadi namaliza.
Hii tabia inanikera sana, ila yeye haoni kama ni kero. Hii hali imeanza kwa muda wa miaka mitatu sasa, kabla ya ndoa wakati wa uchumba hakua na tabia hii, labda kwa vile alikua anakuja tu sleep overs za weekend chache chache.
Imekua ni shida kubwa sana kwenye ndoa yetu, tunagombana mara nyingi sababu ya hili, ila yeye anajiona hana makosa, analalamika tu kuwa napenda sana ngono, nataka ngono kila siku kama chakula. Yaani saa zingine usiku huwa namuangalia akiwa amelala kitandani, natamani nimchape mangumi, au hata nimfunike na mto afie mbali huko!!
Kuna kipindi niliamua kama kumpa adhabu nione kama anajielewa, sikumgusa karibu mwezi mzima, naingia zangu tu kitandani nalala bila kumgusa wala kumsumbua.
Cha ajabu, hata hakushtuka na kuona hiyo ni hali ya hatari, mwezi mzima tulilala bila kufanya chochote na bila hata yeye kushtuka wala kusema chochote. Mimi sio mtu wa kuchepuka kabisa kiasili, ni mtu wa kukaa na mwanamke mmoja.
Sasa kwa hatua iliyofikia, ninachopanga kichwani kwangu atakuja kushtuka wakati ameshachelewa sana, namtafutia dawa yake, atakuja kujuta. Wanawake acheni huu ujinga, mnavunja ndoa zenu kwa mikono yenu wenyewe.
Hapo kama Waislam unaongeza tu mke.Mimi ni mwanaume nimeoa, ndoa ina miaka mitano sasa. Mke wangu amebadilika sana, amekua ni mtu wa kila siku usiku yeye analalamika tu amechoka, na akiingia kitandani ni skeunde 10 tu amelala. Kuna kipindi nikawa nalazimishia, ikawa kama nambaka, anatanua tu miguu nafanya yangu, hadi namaliza.