Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

Kiimani tungesema anajini mahaba, kimtaani tungesema amempata mbadala wako,

SULUHU TAFUTA MCHEPUKO MPANGIE CHUMBA PUMZIKA NAE MAISHA YAENDELEE MWISHOWE UHAMIE UKOUKO KWA MCHEPUKO, UKIWA MNYONGE SANA UTAISHI KWA MATESO
 
Wewe ni mwanaume ni baba. Mkalishe chini muongee, tena badilisha mazingira mkalishe chini muongee, mwambie nini unakosa. Ukiona no madiliko muonye for last time. Next time itisha wazee waingilie, otherwise si dalili nzuri ndio mwanzo wa kuvunjika unaanza hivyo hivyo
 
Kiimani tungesema anajini mahaba, kimtaani tungesema amempata mbadala wako,

SULUHU TAFUTA MCHEPUKO MPANGIE CHUMBA PUMZIKA NAE MAISHA YAENDELEE MWISHOWE UHAMIE UKOUKO KWA MCHEPUKO, UKIWA MNYONGE SANA UTAISHI KWA MATESO
Duniani atapaona Jehanam, kumbe ni sehemu salama ya kuishi. Yaani kwa tabu zote tunazopitia sisi wanaume, unafika nyumbani unakosa mahala pa kukojolea? Serious? Na umeoa? By the way kwa kijibaridi hiki, unaishije pande hizo?
 
Waambie ! waambie!
 
Aisee wangu weekend amesema anataka mara tatu, asubh mchana na jioni, siku za kazi mara mbili yaani usiku na morning glory asikose, sijui shida itakuwa nini hapo
 
Hao wazee wenyewe wananyooshwa majumbani kwao.

Dawa ya mwanamke ni mwanamke tu, labda kama huna pesa ndio mtihani maana kuwa na nyumba ndogo siyo kitu rahisi kama wengi wanavyodhani.
 
Aisee wangu weekend amesema anataka mara tatu, asubh mchana na jioni, siku za kazi mara mbili yaani usiku na morning glory asikose, sijui shida itakuwa nini hapo
Hakuna shida, sex kwake ni passion huyo ni mwanamke aliyekamilika tena atakuwa wa pwani ndio kuna wife material halisi, tatizo badala ya kuowa wake tunaowa degree ndio shida zote hizi.
 
Ana bwana nje na hapo hana hisia tena na wewe, yalishanikuta
 
Hao wazee wenyewe wananyooshwa majumbani kwao.

Dawa ya mwanamke ni mwanamke tu, labda kama huna pesa ndio mtihani maana kuwa na nyumba ndogo siyo kitu rahisi kama wengi wanavyodhani.
Kama kwenu hauna wazee wasio jielewa ni wewe. Wako wazee wenye heshima zao na helima na ndoa za muda mrefu they know the game, kuna wazee wanajua how to rescue this situations. So si wasee wote wana shida
 
Kiimani tungesema anajini mahaba, kimtaani tungesema amempata mbadala wako,

SULUHU TAFUTA MCHEPUKO MPANGIE CHUMBA PUMZIKA NAE MAISHA YAENDELEE MWISHOWE UHAMIE UKOUKO KWA MCHEPUKO, UKIWA MNYONGE SANA UTAISHI KWA MATESO
[emoji16][emoji16]
 
Angalia yafuatayo:

1. Usafi wako wa mwili.
2. Usafi wako wa kauli.
3. Gubu na kisirani.
4. Kununa bila sababu.
5. Ulevi na uvutaji sigara.
6. Ukubwa wa maumbile yako

Kama hapo kote juu uko salama, tafuta anayepewa, maana lazima yupo anayepewa.

Note:

We earn tendo la ndoa, hatupewi kama peremende ndugu tukishaoa.
 
Usimuache bhana mama watoto, Mpandishe cheo tu kua bi mkubwa au mama lao.

Utakua miongoni mwa wanaume wenye furaha dunia hii.
 
Hili jambo linaenda kuwa la kawaida sana kwenye Jamii tuishiyo. Watu hawa wa kike wapo kwenye ndoa kwaajili ya kulinda heshima zao tu kuwa wameolewa ila huduma Kama hii unayonyimwa wanaipeleka huko hivi unakuta kwa mume wa mtu ambaye nae mkewe anahudumia mume wa mtu mwingine upande mwingine. Hali ni teteπŸ€”
 
Hizi ni sababu tu ambazo unaziwaza wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…