Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

Mkuu Inaonekana Show Zako Zote Unapigia Kiwanja Cha Nyumbani Hapo Hapo.

Mahusiano Ni Art Jitahidi Kuwa Mbunifu Ili Kuleta Chachu Na Madaha Kwenye Mahusiano. Mfano Pata Mapumziko(Vacation) Tembea Kama Advanture Kubadiri Mazingira Mapya.

Ubunifu Ni Muhimu Sana Jitahidi Kwenye Hilo Mkuu.
 
Mkuu jitahidi uwe unamtoa out kwenye maeneo ya kuvutia sometimes mnalala huko huko uone kama atakataa kukupa maana mazingira tuu yanahamasisha, nyumbani kachokaa kashapazoea..hii kama una uwezo


Isipo fanya kazi mvumilie tuu hivyo hivyo mpaka kifo kiwatenganishe
 
Nimewahi kuwa na mwanamke wa namna hiyo

Niliishi naye vizuri miaka 6 hivi ya mwanzo baadaye akaanza ujinga huo mara leo sijisikii, mara naumwa, mara anachelewa sana kuingia kitandani yupo bize sebuleni anaangalia TV

Niliishi naye kwa shida hivyo karibu miaka mitatu hivi lakini nilichukua uamuzi mgumu nikampiga chini tukatengana

Alikuwa akijitapa kwamba sina uwezo wa kumuacha na sina uwezo wa kuoa mwingine

Hata mimi sikuwahi kufikiri kama ningeweza kumuacha

Lakini hatimaye tuliachana

Nikaoa mwingine

Huu mwaka wa nne Sasa huyu mpya ananipa tendo la ndoa hadi kero, yaani nisipokuwa makini anaweza kunipa karibu kila siku siku zingine hata mara 2 au 3 kwa Siku

Kuna wakati huwa nampa nauli namwambia aende kwa ndugu kusalimia akae huko japo wiki 1 au 2 ili nipumzike kutom-ba maana ni shida

Mpaka Leo huwa najiuliza kwanini nilichelewa vile kuachana na yule chizi? Kwanini nilikuwa naogopa kuoa mara ya pili? Kwanini nilitumia muda wangu kuteseka kisa mapenzi?

Mwanamke akishakuzoea na akaona ni sawa tu kutokukupa uchi huyo ni wa kuachana naye haraka
 
Asante sana mkuu kwa ushauri. Ama kweli mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake.
 
Kumbe hiyo ndo dawa, safi sana.
 
Vacation najitahidi sana kiukweli, hata Dec kuna siku kadhaa tulienda vacation. Sasa itakua mnaenda vacation kila mkitaka kupiga game au kila siku? Hiyo haiwezekani.
 
Hilo swala rahisi tu wala usishirikishe wazazi,
Tafuta mchepuko wako mzuri uwe ukitoka mishe unapitia unarudi home saa sita
Ni ujinga kufanya hivyo na wengi hudhani hilo ni suluhisho

1. Utaingia kwenye matumizi mabaya ya muda na afya yako. Badala ya kulala mapema ili kujenga afya na kuwa na uwezo mzuri kufanya kazi kesho wewe upo mitaani mpaka saa sita usiku kama popo Kisa mwanamke mmoja mpumbavu, matokeo yake asubuhi unachelewa kuamka na kazi zako zitakuwa hazina ubora

2. Usiishi nyumba 1 na mtu ambaye hamuelewani kwa muda mrefu. Utakuwa unalimbikiza hasira na kuna siku unaweza kuamua kuua tu mwisho utaishia gerezani, kama mtu hamuelewani mwambie aende kwao haraka

3. Utamjengea kiburi akidhani unamuogopa na umekufa kwake
 
Je ulimkuta bikira? Atakuwa hana hisia na wewe. Na anatombwa nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…