Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

Nikishapata kitulizo (mchepuko), hasira hazitakwepo mkuu, nitakua narudi nyumbani mwepesiiii, nimejichokea zangu, saa sita-saba usiku, yeye muda huo kwanza anakoroma!
Huo ni uamuzi wa kitoto

Ni simple fix lakini siyo suluhisho la kudumu

Hiyo saa tano usiku upo mtaani na mchepuko usikie mkeo yupo na mchepuko nyumbani kwenu ndiyo utajua hujuwi
 
Nimewahi kuwa na mwanamke wa namna hiyo

Niliishi naye vizuri miaka 6 hivi ya mwanzo baadaye akaanza ujinga huo mara leo sijisikii, mara naumwa, mara anachelewa sana kuingia kitandani yupo bize sebuleni anaangalia TV

Niliishi naye kwa shida hivyo karibu miaka mitatu hivi lakini nilichukua uamuzi mgumu nikampiga chini tukatengana

Alikuwa akijitapa kwamba sina uwezo wa kumuacha na sina uwezo wa kuoa mwingine

Hata mimi sikuwahi kufikiri kama ningeweza kumuacha

Lakini hatimaye tuliachana

Nikaoa mwingine

Huu mwaka wa nne Sasa huyu mpya ananipa tendo la ndoa hadi kero, yaani nisipokuwa makini anaweza kunipa karibu kila siku siku zingine hata mara 2 au 3 kwa Siku

Kuna wakati huwa nampa nauli namwambia aende kwa ndugu kusalimia akae huko japo wiki 1 au 2 ili nipumzike kutom-ba maana ni shida

Mpaka Leo huwa najiuliza kwanini nilichelewa vile kuachana na yule chizi? Kwanini nilikuwa naogopa kuoa mara ya pili? Kwanini nilitumia muda wangu kuteseka kisa mapenzi?

Mwanamke akishakuzoea na akaona ni sawa tu kutokukupa uchi huyo ni wa kuachana naye haraka
Mkuu kuna wanawake wengine hawajafunzwa na hawajui mwanaume hisia zake zipo vipi, Mimi nimeachana na mpenzi wangu, anatabia kama ya huyu mke wa jamaa, yeye hataki kabisa kunipa tendo yeye anataka tu niwe nampa pesa tu na tutoke out na ukimgusia maswala ya sexy hataki, alikuwa ana nipa sexy kwa mwaka mara moja na akipenda yeye.
 
Mkuu kuna wanawake wengine hawajafunzwa na hawajui mwanaume hisia zake zipo vipi, Mimi nimeachana na mpenzi wangu, anatabia kama ya huyu mke wa jamaa, yeye hataki kabisa kunipa tendo yeye anataka tu niwe nampa pesa tu na tutoke out na ukimgusia maswala ya sexy hataki, alikuwa ana nipa sexy kwa mwaka mara moja na akipenda yeye.
Duuuuhhh!! Pole sana mkuu. Kuna wanawake ni wapumbavu sana kwa kweli.
 
Usiniombee mabaya kaka, haujui tu hili suala linavyoninyima raha, imefikia hatua hadi ufanisi wangu kwenye kazi za watu umeshuka.
Physical wounds hurts and heals quickly but emotional wounds hurts like hell and takes a lot of years to heal

Mpaka utakapokuja kushtuka na kuamua kuchukua uamuzi mgumu tayari utajikuta kwenye square one

Madhara ya tatizo lako ni makubwa na huwezi kuyaona kwa sasa directly ila baadaye utakuja kujuta muda uliopoteza

Hakuna kitu kibaya kama kushuka kwa ufanisi wa kazi zako, kazi ndiyo msingi wa maisha, bila kazi nzuri hata huko kuoa utakusahau lakini kazi yako iking'aa wanawake wenyewe watakutongoza mpaka utawakimbia

Sasa wewe endelea kuendekeza mapenzi badala ya kuheshimu kazi utajua hujuwi muda si mrefu
 
Back
Top Bottom