Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

Dini hairuhusu. Sanasana nitatafuta kamchepuko kanakojielewa kawe kanamsaidia.
Nyinyi mnaoishi kwa misingi ya dini ndiyo huwa mnaishi maisha ya shida sana kuliko hata wapagani

Mimi linapokuja suala la kuoa dini haina uhusiano wowote, ni lazima nioe hata kama dini hairuhusu nitahamia dini nyingine au naacha kabisa mambo ya dini
 
Weka picha ake tupate pa kuanzia😄😊
 
Ndoa ya Kikristu hii, hamna kuongeza mke wala hamna talaka. Mimi naona suluhisho la haraka ndo hilo mchepuko tu.
Ukiachana na suala la kuninyima unyumba, hana shida nyingine ni hapo tu yaani ndo tatizo lake kubwa.
 
Nyinyi mnaoishi kwa misingi ya dini ndiyo huwa mnaishi maisha ya shida sana kuliko hata wapagani

Mimi linapokuja suala la kuoa dini haina uhusiano wowote, ni lazima nioe hata kama dini hairuhusu nitahamia dini nyingine au naacha kabisa mambo ya dini
Nimekusoma mkuu. Loud and clear.
 
Ndoa ya Kikristu hii, hamna kuongeza mke wala hamna talaka. Au unashauri nifanyeje? Mimi naona suluhisho la haraka ndo hilo mchepuko tu.
Ukiachana na suala la kuninyima unyumba, hana shida nyingine ni hapo tu yaani ndo tatizo lake kubwa.
Hata mimi ni mkristo lakini linapokuja suala la kuoa ukristo hauna nafasi, naoa tu na hakuna padre au mchungaji wa kuniuliza, nikiona shida zaidi nabadili kuwa muislam na nikiona hata kuwa Muslim haisaidii naacha kabisa mambo ya dini
 
Yaani saa zingine usiku huwa namuangalia akiwa amelala kitandani, natamani nimchape mangumi, au hata nimfunike na mto afie mbali huko!!

kuwa makini na hii inaweza kuwa sababu ya mental health
Watu wanachukulia poa sana mambo ya mhimu kama haya

In a blink of an eye unaweza kujikuta gerezani kiutani utani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…