Mke wangu hanisalimii, anasema salamu ni wajibu wa mwanaume kwa mke au familia yake

Mimi nilikuwa na kiherehere cha kupiga asubuhi, mara naambiwa namba inatumika.....kuanzia hapo nilifuta namba, sipigi hadi anipigie.....nikiwa na shida natuma msg.....Sasa hivi tunaishi pamoja.
Mtoa mada aseme ukweli kuna kitu anaficha......
Wala sina chakuficha ndugu, hiyo ndo tabia tu amejijengea mim huaga nikiamka lazima nipige sim kumjulia yy Hali. Niliweke ratiba kuwa hata iweje isivuke saa 2 asubuhi kabla sijapiga simu kumjulia Hali.

Nahisi hili ndo likamfanya aone kuwa kupiga sim na kumjulia Hali ni wajibu wangu tu na si wa wote.
 
Hapana mkuu huyo ana kiburi na analeta mazoea kwenye ndoa, siyo wewe tu nimeshaona case kama yako kwa watu wengi
 
Salamu inaleta ugali kwa meza?

Acha ukoloni kaka maisha sikuhizi kidigitali
kidijital wapi? Yaan mwanamke hanisalimii kisa, kama nipo mbali huko nimepata tatizo, bac lolote linikute tu? Mwanamke wa hvyo napga chin haraka kwa ugomv mkubwa
 
Shida ilianzia hapa👇🏿👇🏿👇🏿
Bahati mbaya mda mwingi hatulali na kuamka pamoja, kutokana na harakati za kutafuta maisha.
Kuna anayejuliwa hali hapo na ndio baba.😂🤣
 
Pole MKUU

Jiandae kisawasawa.

Kama unawajua vyema wanawake hiyo ni meseji kuwa Hana hisia na wewe na kuna mi mwingine zaidi yako

Tafuta mwanamke mwingine pembeni kwa Siri Fanya awe Mkeo endelea na maisha yako.

Kuhusu Mali Anza kuziweka zingine kwa Siri maana ni kweli yajayo yatakufurahisha kama usipojipanga vyema.

Raha ni kuwa mwanamke hanaga uwezo wa kukuacha kwa siku Moja hivyo una Muda WA kujipanga.

Ukiona mwanamke amekuacha Leo ujue alikuacha zaidi ha miezi sita au Mwaka uliopita
 
Wewe kwake ni kiraka
 
Nakubaliana na wewe
 
Mambo ya ndoa yana mengi sana kaka. Kupoteza hisia kwa mwanamke wakati mwengine husababishwa na sisi wenyewe. Mtu daily unamchapa matukio wife unategemea hisia zinatoka wapi? Ni vyema pia kujiangalia personally kama uko sawa, inawezekana hana hata mtu lakini tu amechoshwa na reapeted actions zinamtoa mchezoni. Jichunguze mkuu kwanza kabla haujapoint fingers. Communication is key, ikishindikana involve watu wenye hekima wamueleweshe kuna kujisahau pia. Ndoa ni kuvumiliana na kujifunza everyday.
 
Huyo dada Hana Adabu kwa mshikaji

Jamaa atafute pesa kwa shida bado afikiri kusalimia familia yake kama mtoto mdogo au kama yeye ndiye kaolewa bhana
Dawa atafute demu wa kumliwaza otherwise atakosa motivation kwenye maisha na anaweza kuharibu kazi yake na ndio itakuwa downfall yake huku kwa demu very possible ana jamaa mwingine anampa kiburi
Haya mambo ndio yanafanya wanaume wanakufa mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…