Mke wangu hanisalimii, anasema salamu ni wajibu wa mwanaume kwa mke au familia yake

Nahisi wewe NI last born na yeye ni first born
Firstorn anawahi kujitegemea na anakuwa na mizigo ya kuangalia wadogo zake na mambo ya nyumbani tangu akiwa mdogo so kwake anahakikisha kila kitu kipo sawa Kisha alarelax, last born anakuwa amezoea kuzungukwa na watu wengi na kuulizwa kila Mara Kama is everything okey?
Mara nyingi ktk ndoa mke akiwa firs na mume last kuanakuwa na mkanganyiko wife anakuwa tough na mume anakuwa weak (sio Mara ZOTE)
Ipo hivi katika mahusiano Kuna wakati kila kitu kinakuwa sawa kiasi kwamba Hakuna haja ya kutoa ripoti kila siku, haimaanishi Kama mwenzako hajali au lah akina mama wanakua bize Sana na ratiba na wako very fast kwenye movements zao mbali mbali adi jioni mtu analala Yuko hoi, unaweza kutest usiwe unamuanza kumsalimia au kumuomba sex ikapita hata miezi 2 yeye Yuko fresh tu na mambo yake yanaenda.
Mfano mjane mwenye miaka 45-60 anaweza kuwa single bila mwanaume miaka kibao na ratiba zake zikawa gudgud Sasa mwanaume anaweza hivyo?
Wewe huwazi kumsalimia mke Wala watoto unachowaza ni ngono tu na kwakuwa yeye ndiyo sex machine yako lazima umpigie sim.
Mfano akisafiri akawa mbAli na watoto utaona jinsi anavyopiga simu kila siku kuongea na watoto, kiufupi Yuko sahihi na Wala usiwaze Sana, kila kitu kipo sawa au usiache hela au usiwe unarecover Yale mahitaji ya msingi uone jinsi Simu zitavyo miminika.
Ukiwa mbali na nyumbani wewe uliye mbali niniukumu lako kuwachek, unabahati kumpata mke asiye king:ang'anizi anakupa muda wa kutosha kufanya kazi.
Over.
Yesu ni Jibu
 
Mkuu mimi huwa tukilala pamoja hata kama kila mtu kitanda chake hatusalimiani na nikawaida tu tukiamka ni story za hapa na pale kisha mimi naenda job salam atanisalimia jioni wakati narejea. Tupo vizuri hatuna shida
Sawa kiongozi hata mim nikiwa pale ni mara chache saan kuamka asubuhi na kuanza kusalimiana.

Mi nasemea nikiwa mbali na pale nyumbani kiongozi.. maana huwez juwa mwenzio kaamkaje.

Mkiwa mmelala wote si Kila Mmoja anamuona mwenzie.
 
Kiongozi unazungumza kutokana na experience au umesoma mahala!?

Yey Wala sio firstborn na mim sio lastborn.

Nilichojifunza kwenye ndoa Kuna umimi na ubinafsi.. Kila kitu ajaliwe tu mwanamke ila mwanaume hapana.

Inaonekana mwanamke si special sana kuliko mwanaume.

Mbona zamani haikuwa hivi? Mwanamke alikuwa anasalimia mume Kila kukicha Hawa wadigital wa nin?
 
Kwa ninavyojua mwanamke ambaye ameshachoka na tabia ya mumewe (hasa usaliti) moyo wake ukishasema ngoja nikae nilee watoto tu! Mtayaishi hayo maisha mpaka mnazeeka na wala hajali.
Kuna mahali moyo wake ushakwazika na akakuchukia mpaka mwisho kabisaaa, hata ukifa hapo anaweza kulia kwa kufuata mkumbo tu ila sio kama amepoteza mtu wa muhimu kwenye maisha yake.
 
Miaka yote hiyo 10 ilikuwa hivyo? Kama hapana ni Hali ya hewa tu imechafuka, maadam Mambo mengine Yako sawa endelea na maisha Kuna wakati miaka inaposonga Kuna mambo yanabadilika, hivyo itakaa sawa, mke wa huyu ni tofauti na wayule ni tofauti, angalia kama hakuna shida nyingine tulia mambo yatakaa sawa endelea kusalimia
 
Na Jua kali hili...mvua hakuna.
Nenda pahala utasalimiwa kwa heshima...huko ambako husalimiwi endelea pasipo salamu...utasalimiwa siku za mbeleni...
 
Ushauri wa kiutu uzima kabisa...achukuane na hii
 
Mchezo umeisha kaka. Divorce, tafuta mwingine
 
Hapana mke anashurutishwa kutii kwasababu ni kitu hana kwahiyo anafosiwa kwakuwa hakuumbwa hivyo.

Na Mume ana ahurutishwa kupenda kwasababu ni kitu hana kwahiyo anafosiwa kwakuwa hakuumbwa hivo.
Wajibu wa mke ni kutii sio kupenda. Mume ampende mke na mke atii 😀
 
Hapana mke anashurutishwa kutii kwasababu ni kitu hana kwahiyo anafosiwa kwakuwa hakuumbwa hivyo.

Na Mume ana ahurutishwa kupenda kwasababu ni kitu hana kwahiyo anafosiwa kwakuwa hakuumbwa hivo.
Kwahiyo biblia illikosea?
 
Kama mmelala kitanda kimoja, ni nani anapaswa kumsalimia mwenzake mnapoamka? Au ni kukurupuka mtu kila mtu na zake?
 
Kwahiyo biblia illikosea?
Haijakosea ila watu ndio mnakosea kutafsir we c unaona kabsa reality mwanaume haridhikag kuwa na pisi moja?, alfu sasa me akiwa na pisi kibao kuna ile moja anaikubali ndio ataijali na matunzo kila kitu.
 
Anyway ni hivi
Mkataba wa hisia ni wa kitapeli.
Siku zikipotea utalia vibaya mno hasa humo ndoani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…