Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,666
- 12,178
hahahh mkuu umetisha, ila mi watu wangu wa huku huku dar, au wananiektiaLabda sio mdada wa Dar ndiyo atabadili mawazo kwa kumtishia lkn kama wa Dar thubutu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahh mkuu umetisha, ila mi watu wangu wa huku huku dar, au wananiektiaLabda sio mdada wa Dar ndiyo atabadili mawazo kwa kumtishia lkn kama wa Dar thubutu
Ha ha ha ha kuvaa kama koffi olomide si mchezo....lkn kama tatizo na uvaaji huyo mwanamke angemwambia mume wake kua napenda uwe unavaa hv,tena ana mnunulia mwenyewe.ndivyo wanavyofanya wanawake wenzake kumbadilisha mtu mtindo wa mavazi lkn sio Ku mkwepa...huyo mwanamke Hana mapenzi na jamaa.Mumeo utakua nae proud hadharani hata akivaa kama Koffi Olomide?
au utamtanguliza kiaina....hahaaa..
kweli labda anaandaliwa kuachwa
HAHAHA AISEE INAELEKEA KUNA JAMBO ZITO SANA NYUMA YA HII HABARI WEWE HUJAJUA TUU..MDADISI TARATIIB IPO SIKU ATAFUNGUKA IKIBIDI MUHOJI MKIWA KWENYE GEGEDO TENA KAKOLEA ANAKARIBIA KUKWEA KALE KA MLIMA KA MARAHA UKIONA ANAKUTOLEA NJE KUJIBU WAKATI HUO FANYA KAMA WATAKA KUMKATISHA UTAMU ATAKWAMBIA TUUUU HAHAHAHA UWII MAGU YUKO WAPI ANIKAMATE MUDA WA KAZI NAANDIKA MAMBO HIZI😱😱😱
Wadau heri ya mwaka mpya,
Wife amekuwa hapendi kuongozana nami katika safari mbali mbali misiba, sherehe, outing na kadhalika, sio kwamba anakataa moja kwa moja bali atatafuta sababu ili twende tofauti, na akikubali kwenda anakuwa uncomfortable na uwepo wangu.
Mwezi uliopita wa 12 tulisafiri wote kwenda up country nyumbani kwao mkoani kwa mapumziko ya end year, tulianzia mkoani kwetu, mwisho tukamalizia kwao, sasa tukiwa kwao, mdogo wake wa kike ndie alikuwa akizunguka nami mjini kutalii na kunionesha sehemu mbali mbali, wife alikuwa akinipiga chenga ndipo shemeji akaamua kunipa kampani.
Tuliijadili sana hii tabia ya dada yake ambayo hata yeye akasema ameiona kwa muda mrefu sana, anashindwa kuelewa tatizo ni nini? Sababu sina ulemavu, mwonekano wangu ni wa kawaida, wakiitwa ma handsome siwezi kutoka, lakini pia wakiitwa wabaya pia siwezi kutoka, ni wa kawaida.
Siku ya kuondoka Arusha, tukawa na ugomvi mkubwa sana kwamba nakosaje aibu kiasi kile, kuzunguka na mdogo wake hadi watu kunielewa vibaya, kiasi kuwa akakataa kabisa kwa hasira shemeji asije na sisi Dar maana huwa tunaishi nae, hadi wazazi wao walipomuamuru akakubali.
Tabia hii imenichosha sana kufikia hatua najiona sina thamani, tukienda harusini au outing ya pamoja na marafiki pamoja na waume zao utashangaa kila nikitaka kuchangia mada ananiminya mkono nisizungumze labda nitaongea jambo la kumuaibisha wakati mimi kwanza sio muongeaji, waume wa marafiki zake wataongea wee mimi nipo kimya, mimi nikichangia tu ni ugomvi, ananikosoa mbele yao kila nalochangia tena kwa kunishushua, hivyo nakaa kimya muda wote hadi wengine waulize mbona huongei.
Nilishajiuliza huenda huwa naongea pumba, hata hivyo hapana, mimi huwa ni mtu mwenye kuchagua maneno sana kabla ya kuongea.
Sasa naomba mnisaidie mawazo, tatizo ni nini hasa? Ni suala la muda mrefu hivyo nimeshachoka, nataka kufanya mabadiliko, nahitaji mke mwenye kunithamini na ambae yupo proud of me nahisi huyu hanipendi Ingawa tuna watoto wawili.
Nawasilisha kwenu
Hahaaa nimecheka kwa kweli
una uhakika hujamuoa BADILI TABIA ?
au King'asti ?
hadi kuongea anaogopa utamuaibisha?
level ya mkeo shule ikoje?kulinganisha na yako?
unavaaje?kama Kofi Olomide?
Hahahaha inawezekana jamaa mfupiiiiii au hana mvuto mke anamwonea aibu...au kuna makoloni yake anaogopa jamaa atamwaribia
Bora hata uwe mshauri wa wanandoadah hili lako linahitaji ushauri wa hali ya juu... Nakuahidi nitarudi hapa na Ushauri ambao kiasi flani utakusaidia
Wadau heri ya mwaka mpya,
Wife amekuwa hapendi kuongozana nami katika safari mbali mbali misiba, sherehe, outing na kadhalika, sio kwamba anakataa moja kwa moja bali atatafuta sababu ili twende tofauti, na akikubali kwenda anakuwa uncomfortable na uwepo wangu.
Mwezi uliopita wa 12 tulisafiri wote kwenda up country nyumbani kwao mkoani kwa mapumziko ya end year, tulianzia mkoani kwetu, mwisho tukamalizia kwao, sasa tukiwa kwao, mdogo wake wa kike ndie alikuwa akizunguka nami mjini kutalii na kunionesha sehemu mbali mbali, wife alikuwa akinipiga chenga ndipo shemeji akaamua kunipa kampani.
Tuliijadili sana hii tabia ya dada yake ambayo hata yeye akasema ameiona kwa muda mrefu sana, anashindwa kuelewa tatizo ni nini? Sababu sina ulemavu, mwonekano wangu ni wa kawaida, wakiitwa ma handsome siwezi kutoka, lakini pia wakiitwa wabaya pia siwezi kutoka, ni wa kawaida.
Siku ya kuondoka Arusha, tukawa na ugomvi mkubwa sana kwamba nakosaje aibu kiasi kile, kuzunguka na mdogo wake hadi watu kunielewa vibaya, kiasi kuwa akakataa kabisa kwa hasira shemeji asije na sisi Dar maana huwa tunaishi nae, hadi wazazi wao walipomuamuru akakubali.
Tabia hii imenichosha sana kufikia hatua najiona sina thamani, tukienda harusini au outing ya pamoja na marafiki pamoja na waume zao utashangaa kila nikitaka kuchangia mada ananiminya mkono nisizungumze labda nitaongea jambo la kumuaibisha wakati mimi kwanza sio muongeaji, waume wa marafiki zake wataongea wee mimi nipo kimya, mimi nikichangia tu ni ugomvi, ananikosoa mbele yao kila nalochangia tena kwa kunishushua, hivyo nakaa kimya muda wote hadi wengine waulize mbona huongei.
Nilishajiuliza huenda huwa naongea pumba, hata hivyo hapana, mimi huwa ni mtu mwenye kuchagua maneno sana kabla ya kuongea.
Sasa naomba mnisaidie mawazo, tatizo ni nini hasa? Ni suala la muda mrefu hivyo nimeshachoka, nataka kufanya mabadiliko, nahitaji mke mwenye kunithamini na ambae yupo proud of me nahisi huyu hanipendi Ingawa tuna watoto wawili.
Nawasilisha kwenu
Hahaaaaaaa, kwanza atasahau swaliUtamponza mtoa mada wewe! Yani katikati ya raha tena aanze maswali eti "kwanini Jumamosi iliyopita hatukuongozana kwenda arusini"