Mkuu uvumilivu unahitajika,,,sifahamu umemuoa akiwa na umri gani na mmeishi nae kwa muda gani ,lakini uhakika nilionao kutokana na maelezo yako ni kwamba miaka uliyoishi nae ni michache kuliko aliyoishi kwao,,,hawezi kubadilika kwa haraka kama unavyotaka wewe.Nilisha mpeleka sehemu akae na familia kubwa ajifunze mengi ila sikupata matokeo chanya mkuu, huyu ni kumvumilia tu sitegemee jipya hata kulima kwenye mazingira ya nyumbani hawezi mpaka tipate kibarua.
Kutokua na wakika kwa mke ntakae pata mgine unanifanya niwe na mvumilia na lapili mimi siwezi kuishi bila mke hata mwezi moja tu.Kama hafanyi kazi yoyote mpelekee shule ya mapishi, akigoma mletee msaidizi , akigoma mrudishe kwao akajifunze kupika, akigoma mpige chini. Wanawake wako wengi sana tena watalaam wa jiko.
Swali la kizushi nini kinakuvutia zaidi kutoka kwake, kinachokufanya uvumilie mapungufu yake!
Duuh pole huenda mazingira aliyokulia yamemharb jarb tu kumfundshaNi wa 1995 msomi kiasi hajawahi kuishi nje ya mjini hajui kuendesha gari japo analo ni mvivu
Kwahiyo nisubiri atabadilika akiwa amezeeka tayari tumekaa nae zaidi ya miaka 7 sioni mabadiliko yoyote kuhusu hilo.Mkuu uvumilivu unahitajika,,,sifahamu umemuoa akiwa na umri gani na mmeishi nae kwa muda gani ,lakini uhakika nilionao kutokana na maelezo yako ni kwamba miaka uliyoishi nae ni michache kuliko aliyoishi kwao,,,hawezi kubadilika kwa haraka kama unavyotaka wewe.
Kama hachepuki huyo ndio mke material, saidia kupika siyo mbaya.Hao wanawake wana mapungufu mengi hususani hao tunao oa kutoka familia za mijini za middle class wana mapungufu mengi sanaa ila tuna puuzia ili mradi kama haja anza kuchepuka unamvumilia kuna udhaifu usio vunjisha ndoa, wanaume tuna pambana na mengi kwenye ndoa.
nime mjaribisha hi ni weekend ya nne na shinda nyumbani bila kutoka kila kitu kipo tuna tumia gesi na mkaa kupika ila breakfast tunaipata saa 6 Lunch saa 11 za jioni, ana zungukazunguka ndani tu hatauelewe anacho fanya, hapo nime qmsaidia kazi zingine za usafi, usiku namuabia ache tu tunywe juisi tu kwasababu najua tutakula saa 6 kesho yake hiyo. Ila la kushangaa zaidi hawezi kusonga ugali unakua tepe tepe duh!!!
Kama umekaa miaka 7 umekubali mapungufu yake. Au umepata michepuko?Kwahiyo nisubiri atabadilika akiwa amezeeka tayari tumekaa nae zaidi ya miaka 7 sioni mabadiliko yoyote kuhusu hilo.
Kwasasa sina wakika wa kuchepuka, ndo nasema hivo ila ya wanawake ni mengi huwezi kujua.Kama hachepuki huyo ndio mke material, saidia kupika siyo mbaya.
Tenga muda siku za weekend uwe unamfundisha kimoja kimoja kwa vitendo.Mimi ndo bread winner nikiingia jikoni nani ataleta food on the table mkuu hapo tafakari pia.
Hayo mambo ndio yalifanya nikapiga chini toto la watu eti tukitaka kuonana mpaka tuwe na mtu wa kutusimamia ili tusiingie zambiniNdiyo wa ndoa tulikua hatujawahi kuishi pamoja hata siku moja tulikua tunakutana mchana tu, ilikua sio rajisi kugundua udhaifu wake huo.
Pole sana Tafuta suluhisho mapema maana usipoziba ufa ,utajenga ukuta...Kuna siku watakuja wageni wa JF ww haupo vituko kama hivo vitatokeaHao wanawake wana mapungufu mengi hususani hao tunao oa kutoka familia za mijini za middle class wana mapungufu mengi sanaa ila tuna puuzia ili mradi kama haja anza kuchepuka unamvumilia kuna udhaifu usio vunjisha ndoa, wanaume tuna pambana na mengi kwenye ndoa.
nime mjaribisha hi ni weekend ya nne na shinda nyumbani bila kutoka kila kitu kipo tuna tumia gesi na mkaa kupika ila breakfast tunaipata saa 6 Lunch saa 11 za jioni, ana zungukazunguka ndani tu hatauelewe anacho fanya, hapo nime qmsaidia kazi zingine za usafi, usiku namuabia ache tu tunywe juisi tu kwasababu najua tutakula saa 6 kesho yake hiyo. Ila la kushangaa zaidi hawezi kusonga ugali unakua tepe tepe duh!!!
Demi nimekuletea muwaKapike ugali acha porojo
Pambana jomba. Huyo ndo chaguo lako. Jaribio lolote la kutaka kumwacha litakuwa sio la uzalendo.Hao wanawake wana mapungufu mengi hususani hao tunao oa kutoka familia za mijini za middle class wana mapungufu mengi sanaa ila tuna puuzia ili mradi kama haja anza kuchepuka unamvumilia kuna udhaifu usio vunjisha ndoa, wanaume tuna pambana na mengi kwenye ndoa.
nime mjaribisha hi ni weekend ya nne na shinda nyumbani bila kutoka kila kitu kipo tuna tumia gesi na mkaa kupika ila breakfast tunaipata saa 6 Lunch saa 11 za jioni, ana zungukazunguka ndani tu hatauelewe anacho fanya, hapo nime qmsaidia kazi zingine za usafi, usiku namuabia ache tu tunywe juisi tu kwasababu najua tutakula saa 6 kesho yake hiyo. Ila la kushangaa zaidi hawezi kusonga ugali unakua tepe tepe duh!!!
Ampeleke kozi fupi ya mapishi VETA. Tena aongee na mwalimu wa VETA msisitizo uwe kwenye kupika ugali. Practical apelekwe shule ya bweni iliyo jirani.Ulimchagua mwenyewe au uliletewa? Piga chini katafute mpishi
Mkuu nilishafanya hilo mara mbili nika muambia mimi na wanangu ndo tutakua wapishi kwa siku tatu na kwa kwli tulikua tnaanda chakula kwa wakati bila kuchelewa, juice matunda mboga vyote kwenye dining kwa wakati, nikadhani kajifunza, kumbe wapiTenga muda siku za weekend uwe unamfundisha kimoja kimoja kwa vitendo.
Bora wewe umepata akili hiyo. Sasa hili furushi limekuja kulalamika hapa. Yaani hajapata solution yoyote yeye binafsi zaidi ya kutaka msichana wa kazi.Ampeleke kozi fupi ya mapishi VETA. Tena aongee na mwalimu wa VETA msisitizo uwe kwenye kupika ugali. Practical apelekwe shule ya bweni iliyo jirani.
Mkuu labda hilo unahitaji vita nyumbani hizo kanuni zinavunjwa siku ya kwanza kabisa na huna lakumfunya kabisa labda kama unaanza kumpiga utakua kituko kwa majirani.Kwa kuwa umethubutu kuleta hii aibu hapa wacha nikuchane,,,,
Mkuu wewe ni mkuu wa kaya, kiongozi ! Kila nyumba ina sheria na tamaduni zake! Jitengenee sheria zako jinsi unataka family [emoji128] yako isonge.,,
Weka sheria mida flan mwisho chai iwe mezan., lunch na dinner viyvo hivo,,, ! Usipelekeshwe, wanawake wameumbwa kuongozwa, ni kama watoto,,, weka sheria azifuate, mwanzo ataona shida lakini atazoea ! Au umeoa zile type zinashindia madela na vindala vyenye manyoya? Be gentle