Wanaume hua wana tabia ya kushikilia mtoto kama njia ya kukomoa na kukutia ubaya kwenye jamii.Umewahi kuona wapi mwanamke anajielewa akakimbia na kumuacha mume na mtoto wa 2yrs? Binafsi sijawahi kuona, mwanamke ataondoka na mtoto no matter what, kwanza sisi wanaume na malezi ya siku kwa siku wapi na wapi!
I feel for the guy ila maamuzi magumu yanahitajika, nasoma hapo eti mama anaamua kulala chini ili tu asimpe jamaa tunda.
Hapo hakuna mke wa kutengeneza nae maisha
😭 anafanya kama kukukomoa kama unataka kuondoka niachie watotoW
Wanaume hua wana tabia ya kushikilia mtoto kama njia ya kukomoa na kukutia ubaya kwenye jamii.
Wanawake wa siku hizi wengi wao they don’t give a dm*n,ukisema kama unaondoka acha mtoto wanakuachia bila kugeuka nyuma 🤣
Ndio akitoka hapo akutie ubaya si unaona katelekesa mtoto 🤣🤣🤣😭 anafanya kama kukukomoa kama unataka kuondoka niachie watoto
😀😀 yaan ila kuwekwa mbali na watoto ni maumivuNdio akitoka hapo akutie ubaya si unaona katelekesa mtoto 🤣🤣🤣
Bwana hata mimi nakuachi tu mtoto najua huwezi kumla nyama!
Labda hiki kizazi chenu cha nyoka, kuna ngosha aliachiwa mapacha wa mwaka. It was terrible, kila mtu alimuonea huruma, mke alikimbia kisa hali ya maisha imekuwa ngumu, akaacha watoto wa mwaka mmoja.W
Wanaume hua wana tabia ya kushikilia mtoto kama njia ya kukomoa na kukutia ubaya kwenye jamii.
Wanawake wa siku hizi wengi wao they don’t give a dm*n,ukisema kama unaondoka acha mtoto wanakuachia bila kugeuka nyuma 🤣
Sanaa nahisi itakua ilikua hiviItakuwa ulimwambia chagua kati ya kazi na ndoa akachagua kazi. Ukampa option tena kama umechagua kazi ukiondoka hapa unaacha mtoto nae akaona bora akuachie mwanao atamtafuta akiwa mkubwa .
Wanawake wa siku hizi sio kama zamani wanaenda zao mbele bila kugeuka nyuma.
Mkuu ni bora kukimbia ukaacha watoto iko siku utawaona kuliko kufia hapo!Labda hiki kizazi chenu cha nyoka, kuna ngosha aliachiwa mapacha wa mwaka. It was terrible, kila mtu alimuonea huruma, mke alikimbia kisa hali ya maisha imekuwa ngumu, akaacha watoto wa mwaka mmoja.
Story yake ilienda hivyo, kuishi na kukimbia nyumba. Siamini mwanamke anaweza kukimbia watoto, huyo kwangu hafai kuwa mama under any circumstance.
The policy is marry a woman that you can afford to leave immediately. In case of such suspicions......huyu ni Malaya achana nae haraka dont comptomise.Habari ndugu..
Mimi nilikuwa nimeoa mwanamke tulikuwa tuna miaka 5, kwenye ndoa,,,tumejaaliwa mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 2 na miezi8,,,tuliishi vizuri,,alikuwa ni Mama wa Nyumbani,,
Ila ghafla alianza kubadilika ,,akaanza kuwa na vikundi vya wanawake,,,vikimshauri atafute kazi,maana wanaume wa siku wakiona hufanyi kazi watakutesa,,mambo wakawa wanamlisha sumu MKE wangu,,,
Niligundua Hilo tatizo nikamkataza vikundi akawa ameacha...
Sasa baada ya miaka mitano hiyo kwenye ndoa MKE akabadilika anataka kazi,,,akawa anatafuta kazi kimya kimya mimi Sina habari,,,,nakuja kusikia habari mtaani kwamba MKE anatafuta kazi....sasa nikawa najiuliza kama anafanya maamuzi ya kutafuta kazi bila kumshirikisha Mme wake hii inakuwaje???
Baada ya Muda wakati anaendelea kutafuta niliamua nimuache kwa kumchora nione Mwisho wake...
Nikaanza uchunguzi taratibu...nikagundua Simu yake anaenda nayo kila mahali,,,hata akienda chooni anaenda chooni Simu anakuwa nayo...
Nikaanza kuingiwa na mashaka,,,siku Moja nikashika Simu yake bila yeye kujua,ghafla iliingia meseji inasema""ILE KAZI NIMEKUTA KUNA DADA MOJA AMESHAICHUKUA TANGU J,NNE,, KWAHIYO SUBIRI KIDOGO ""
Niliamua nimuulize MKE wangu akasema,,,ni kweli hii meseji inanimhusu yete,,,ila aliyeituma hamjui....
Sasa mimi niliamua niipigie hiyo namba iliyomtumia meseji...kuongeza nae sauti ya mwanaume,,,akakili kwamba huyu ambaye alishamuomba amtafutie kazi...ndo maana alituma hiyo meseji kumjulisha.
Baada ya kumbana sana,,MKE wangu,akasema Yeye huyo mwanaume hamjui,,,ila anashangaa meseji hiyo,,,
Ila baadae MKE wangu akaniambia,,,Kuna Mama mmoja Jirani ,,,alikuwa ashamuomba amuulizie kazi sehemu yoyote atakapoiona..
Sasa aliponiambia hivyo MKE wangu nikamuambia nenda uniitie huyo mwanamke huyo Jirani yetu... nimuulizie hiyo ishu inaendaje... Basi bwana MKE alipoenda,,,alirudi ananiambia huyo mwanamke hayupo...,,,,kama mambo yamefikia hapo basi Bora mi niondoke Humu ndani... nikamuambia sawa ... kweli Mwanamke kafunga mizigo kaondoka...
Sasa baada ya mwanamke kuondoka...akili ikanijia ,,,niende nikamuulize huyo mwanamke Jirani...nilipofika kwa Jirani...huyo mwanamke akasema mimi nilikuwepo Wala sijatoka....kuhusu MKE wako kumtafutia kazi hawajawahi kuyaongelea...
Sasa huyo Mwanamke Jirani...niliamua nimuonyeshe meseji iliyotumwa kwa MKE wangu...akashagaa ni namba ya Mume wake...na akaniambia Namba ya MKE wangu...hata Mume wake Anayo kwenye Simu yake... Inamaana wanawasiliana kimyakimya...
NB..Ndo Maana nilipomuambia MKE wangu,,kwamba nataka niwaunganishe huyo mwanamke Jirani na mume wake ...kuwaulizia hii message iliyotumwa kwenye Simu yake...AKAAMUA KUFUNGASHA VIRAGO KUKIIMBIA...ameona atagundulika kuhusu huyo mwanaume...
...,.....,....................,.........
Kiufupi,,,MKE WANGU ALIKUWA NA NAMBA YA MUME WA RAFIKI YAKE WANAWASILIANA MWASWALA YA KAZI...BILA RAFIKI YAKE KUJUA CHOCHOTE KINACHOENDELEA
Ameniachia mtoto mmoja,,,SIJUI MNANISHAURIJE?
Hiyo comment yako ukiisoma tena kwa utulivu utagundua kua umekosea,ni sawa mke alikua na nia njema kutafta kazi ila njia aliyotumia sio sahihi na kwanini kakimbia mwenyewe hapo unagundua kwamba tayari kashaliwa na uyo mme wa rafiki yake so hataki ijulikane so hata biblia imesema mke akizini mwache.
Anzisha mahusiano na huyo mke wa jirani yakoHabari ndugu..
Mimi nilikuwa nimeoa mwanamke tulikuwa tuna miaka 5, kwenye ndoa,,,tumejaaliwa mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 2 na miezi8,,,tuliishi vizuri,,alikuwa ni Mama wa Nyumbani,,
Ila ghafla alianza kubadilika ,,akaanza kuwa na vikundi vya wanawake,,,vikimshauri atafute kazi,maana wanaume wa siku wakiona hufanyi kazi watakutesa,,mambo wakawa wanamlisha sumu MKE wangu,,,
Niligundua Hilo tatizo nikamkataza vikundi akawa ameacha...
Sasa baada ya miaka mitano hiyo kwenye ndoa MKE akabadilika anataka kazi,,,akawa anatafuta kazi kimya kimya mimi Sina habari,,,,nakuja kusikia habari mtaani kwamba MKE anatafuta kazi....sasa nikawa najiuliza kama anafanya maamuzi ya kutafuta kazi bila kumshirikisha Mme wake hii inakuwaje???
Baada ya Muda wakati anaendelea kutafuta niliamua nimuache kwa kumchora nione Mwisho wake...
Nikaanza uchunguzi taratibu...nikagundua Simu yake anaenda nayo kila mahali,,,hata akienda chooni anaenda chooni Simu anakuwa nayo...
Nikaanza kuingiwa na mashaka,,,siku Moja nikashika Simu yake bila yeye kujua,ghafla iliingia meseji inasema""ILE KAZI NIMEKUTA KUNA DADA MOJA AMESHAICHUKUA TANGU J,NNE,, KWAHIYO SUBIRI KIDOGO ""
Niliamua nimuulize MKE wangu akasema,,,ni kweli hii meseji inanimhusu yete,,,ila aliyeituma hamjui....
Sasa mimi niliamua niipigie hiyo namba iliyomtumia meseji...kuongeza nae sauti ya mwanaume,,,akakili kwamba huyu ambaye alishamuomba amtafutie kazi...ndo maana alituma hiyo meseji kumjulisha.
Baada ya kumbana sana,,MKE wangu,akasema Yeye huyo mwanaume hamjui,,,ila anashangaa meseji hiyo,,,
Ila baadae MKE wangu akaniambia,,,Kuna Mama mmoja Jirani ,,,alikuwa ashamuomba amuulizie kazi sehemu yoyote atakapoiona..
Sasa aliponiambia hivyo MKE wangu nikamuambia nenda uniitie huyo mwanamke huyo Jirani yetu... nimuulizie hiyo ishu inaendaje... Basi bwana MKE alipoenda,,,alirudi ananiambia huyo mwanamke hayupo...,,,,kama mambo yamefikia hapo basi Bora mi niondoke Humu ndani... nikamuambia sawa ... kweli Mwanamke kafunga mizigo kaondoka...
Sasa baada ya mwanamke kuondoka...akili ikanijia ,,,niende nikamuulize huyo mwanamke Jirani...nilipofika kwa Jirani...huyo mwanamke akasema mimi nilikuwepo Wala sijatoka....kuhusu MKE wako kumtafutia kazi hawajawahi kuyaongelea...
Sasa huyo Mwanamke Jirani...niliamua nimuonyeshe meseji iliyotumwa kwa MKE wangu...akashagaa ni namba ya Mume wake...na akaniambia Namba ya MKE wangu...hata Mume wake Anayo kwenye Simu yake... Inamaana wanawasiliana kimyakimya...
NB..Ndo Maana nilipomuambia MKE wangu,,kwamba nataka niwaunganishe huyo mwanamke Jirani na mume wake ...kuwaulizia hii message iliyotumwa kwenye Simu yake...AKAAMUA KUFUNGASHA VIRAGO KUKIIMBIA...ameona atagundulika kuhusu huyo mwanaume...
...,.....,....................,.........
Kiufupi,,,MKE WANGU ALIKUWA NA NAMBA YA MUME WA RAFIKI YAKE WANAWASILIANA MWASWALA YA KAZI...BILA RAFIKI YAKE KUJUA CHOCHOTE KINACHOENDELEA
Ameniachia mtoto mmoja,,,SIJUI MNANISHAURIJE?
Siwezi oa mwanamke hana kitu cha kufanya. Pedi, mafuta, kushuka anavipataje na kila siku unakuta kapendeza?Nimempa ushauri kulingana alivyojieleza coz hajaweka financial status yake na hajasema kama anaishi kwake au nyumba za kupanga na ndo maana nikampa option achague atakayoweza yeye. Oa ndo ujue maisha hizo ya kumpa gf wako zitakosa cku moja ndugu yangu T14 Armata
i wish you all the bestSiwezi oa mwanamke hana kitu cha kufanya. Pedi, mafuta, kushuka anavipataje na kila siku unakuta kapendeza?
Hata kama anaacha kazi, ila awe alikuwa nayo. Hata kama namtafutia biashara, ila nimkute anafanya. Binti hajihusishi na ususi, ufumaji, si fundi cherehani, sio mwalimu, sio mkulima wa mbogamboga, sio mfanyakazi wa kazi za ndani, sio muuguzi, sio muuzaji kwa mamantilie. Yaani yeye purpose yake kwenye maisha ni nini?
Unless awe ni recent graduate hivyo ni job seeker na anaishi kwao.
Alifeli kutafuta kazi au mtaji kwa miaka mitano. Amefanya makusudi au kakosa bahati mbaya hiyo hatujui, ila kazi wala mtaji vyote hajaleta. Hilo sio gari wala nyumba, ni vitu vya kuweka commitment ukadunduliza au kuomba msaada kwa watu wenye heshima zao.Kwa hiyo alifanya kusudi kutomtafutia mke kazi ?
Duh! Kwani wewe una miaka mingapi?Habari ndugu..