Mke wangu kaacha ndoa yake kisa kazi

I really hope she is happier where she is.

I hope doors open up for her and that she can take care of herself and her daughter to the best of her ability.

It is not a crime to want better for yourself. Even at the cost of leaving your own marriage.
 
Hapa umetaja wewe kusaidiwa na watu ambao wapo ndani ya familia yako,mleta uzi anaongelea jirani na sio ndugu,elewa hilo kwanza,
Huyo mume alipotafutwa alisema Nia yake ya kumtafutia kazi, hakuficha kuonyesha uovu na wala hakumuhusisha mkewe
Utaaminije hiyo nia yake? Angekua na nia nzuri angemuhusisha mkewe au mume wa anayemtafutia kazi kama wana makubaliano afanye kazi,kumbuka jamaa ana deal na mke wa mtu,
maybe ni mtu wa kusaidia tu bila kutaka sifa wala kuona kama ni jambo kubwa kafanya.
Ukisha sema "Maybe" hapo tayari huna uhakika na usemacho bali unatumia hisia tu,
Mwishowe wanawake hawa unamfanya jirani asimangwe na mkeo kisa umewasaidia. Na huyo jirani unaweza kuta kaambiwa na mke wa jirani yake kuwa mumewe anajua hilo ombi la kazi.
Kama kaambiwa na mke wa jirani kua mumewe anajua hilo ombi la kazi,na kumbe sio kweli,mume alikua hajui,mpaka hapo huoni nia mbaya ya huyo mke wa jamaa?
Yote hayo yanatoka palepale mwanzoni, miaka mitano bila kazi bila mtaji na super HB mwenyewe hajafanikisha hilo suala dogo kabisa.
Kama aliweza kuishi miaka mitano na jamaa ina maana huduma muhimu alikua anapata,ingekua hapati huduma muhimu asingemaliza hata mwezi mmoja na jamaa,
Suala la kuacha mtoto ni kosa. Ila suala la kutafuta kazi sio kosa hata kidogo.
Kuacha mtoto ni dalili kua huyu hana huruma,hana imani,ni mkorofi na pia ni mtu asiyejali kitu,hana heshima hata kwa mumewe,wala hana imani kwa mwanae,
Hata Wanyama hua ni wakali kwa watoto wao na hawawezi kuwaacha hivyo.
 
Uzuri wameachana. Huyu akatafute kazi, huyu akatafute golikipa. To each their own
 
Uzuri wameachana. Huyu akatafute kazi, huyu akatafute golikipa. To each their own
Hawaja achana bali mwanamke ndio ameondoka kwa ridhaa yake,kuachana ni mpaka atakapo pewa talaka na ikatambulika rasmi kidini na kiserikali,huyo bado anahesabiwa kua ni Mke wa jamaa,

Kitendo cha kuwasiliana na mume wa rafiki yake bila mumewe kujua ilitosha kua ni Red Flag,huyo Mwanamke atarudi mwenyewe,tuombe tu mleta mada alete mrejesho.
 
kama Bibi yako miaka ya 1970's alikuwa mjamzito means baba/mama yako atakuwa amezaliwa around 1975-1979 hivyo kwa haraka haraka utakuwa unamiaka kati ya 20 mpaka 25.

Kwa umri huo bado haujajua chochote kuhusu ndoa ,unaendeshwa na mihemko ya bata za online ,vitabu vya dini vinasema Mwanamke muheshimu mme wako na mwanamme mpende mkeo na ishi naye kwa akili ,unajua maana yake?

Kwenda kwa jirani tena Mme wa mtu hata mkewe hajui kwamba unatafutiwa kazi ni sawa? Kutafutiwa kazi ni jambo zuri sasa kwanini amfiche mmewe? Kwa ufahamu wako una cases ngapi ambazo mwanamme alimtafutia mkewe kazi halafu mambo yakanyooka? Mimi nina cases karibi 20 ambazo m/me alimtafutia mkewe kazi au alimfungulia biashara ambazo 15 wanawake waliwaacha waume zao na hizo 5 ni tia maji tia maji.

Nani alikwambia fedha ya mwanamke inasaidia mambo ya nyumbani? kati ya wanawake 100 wanaofanya kazi ukipata wa 5 fedha zinasaidia familia ya nyumbani basi shukuru...Mwanamke mama wa nyumbani ndiyo mzuri kuishi naye ,swala la mbele ajuaye Mungu si uliona watoto wa hans pope walikuwa wanalia kwenye mitandao hawana kitu ingawa baba yao alikuwa bilionea na biashara kibao? Unataka kusema mke wa hans pope alikuwa hana biashara au kazi? Familia ngapi Baba ana kazi na mama hana kazi(mama wa nyumbani) zimedumu na watoto wamekuwa watu wakubwa tu serikalini/private sectors? Familia ngapi zimelelewa na Mama bila baba na zimekuwa vizuri?

Bado mdogo sana kuzungumzia changamoto za ndoa ,mwanamke akishaanza jeuri fukuza ,na wengi 99% wakienda huko wanaishia kufukuzwa pia na 1% wanaishi maisha mabovu kuhofia kuchekwa kwa walichofanya wengine wanaishia kuambukizwa kazeze maana wanaenda kujiachia waliona wanabanwa sana kwenye ndoa.
 
Kosa kubwa sanaa fuata mtiririko wa reply zangu kuhusu malalamiko ya jamaa so far jamaa anaonekana ana wivu kupindukia so akaona amrusherushe mwanamke ili tu asifanye kazi ,haiwezekani ndani ya miaka 5 akose mtaji sasa acha akagongewe waziwazi
 
Hivi kwenye maisha ya kawaida hakuna watu wenye changamoto kama hizi kwenye ndoa? Naona kila mtu anasema ”malaya" kwani haiwezekani kushauri bila kumuita mtu malaya na habari haijaonesha kama kuna umalaya hapo!
 
Wewe huna akili,badala ya kumuunga mkono wife anayetafuta kazi ili asikae kizembe nyumbani ww unaona hafai,
Je angekuwa anachepuka ww si ungepiga na kuua maisha yenyew inaonekana huna lakin hutaki wife afanye kazi kuongeza kipato.jinga sana wewe
Hapo mke anatafuta kazi au anatombw@ na jirani???

Hujaona hilo, au umeamua kufunga akili usielewe???

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
W

Wanaume hua wana tabia ya kushikilia mtoto kama njia ya kukomoa na kukutia ubaya kwenye jamii.
Wanawake wa siku hizi wengi wao they don’t give a dm*n,ukisema kama unaondoka acha mtoto wanakuachia bila kugeuka nyuma 🤣
Kuna mtu alinijaribu, guess what😝😝
 
Heshima yako Mkuu,

Umemaliza kila kitu,Kumbe hapa JF tunaweza kuhangaika kumfahamisha mtu masuala ambayo hayajaishi na wala hayajui,na kiumri ni kama Mwanetu,

Mleta mada soma hii comment,kisha uamuzi ni wako.
 
Hivi kwenye maisha ya kawaida hakuna watu wenye changamoto kama hizi kwenye ndoa? Naona kila mtu anasema ”malaya" kwani haiwezekani kushauri bila kumuita mtu malaya na habari haijaonesha kama kuna umalaya hapo!
KWanini afanye siri it means kuna jambo la siri linaendelea baina ya huyo mwanamke na huyo mume wa jirani yake na pande zote hawajui kama huyo mwanamke anatafutiwa kazi yaan hajamwambia mume wake na huyo jamaa anayemtafutia kazi ,mke wake hana taarifa unafikiria nini hapo hata kama hawa watu wamegombana lazima angemtafutia muda amwambie ,,,swali i why amenyamaza bila kumshirikisha mme wake?
 
Hapo mke anatafuta kazi au anatombw@ na jirani???

Hujaona hilo, au umeamua kufunga akili usielewe???

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kuna comment yangu hapo juu nimeandika huyo ni malaya nashangaa povu linawatoka wengine ,kiufupi huyo mwanamke anapelekewa moto na jamaa wa jirani
 
Wanawake nuksi sana
 
Heshima yako Mkuu,

Umemaliza kila kitu,Kumbe hapa JF tunaweza kuhangaika kumfahamisha mtu masuala ambayo hayajaishi na wala hayajui,na kiumri ni kama Mwanetu,

Mleta mada some hii comment,kisha uamuzi ni wako.
Wengi wanajibu kutumia akili za kuwa na wao wanaweza na zile experience za mapenzi ya chuoni! Wanafkiri ndoa inaendeshwa na mihemko tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…