Bombabomba
JF-Expert Member
- Dec 23, 2017
- 1,886
- 2,231
Yaani kama unatumia akili kufikiria vizuri haiwezekani mtu aanze kutafuta kazi kama kichaa hivyo mpaka anatumiw ameseji kuhusu nafasi ya kazi! Hapo shida ipo na wengine wameeleza ni either jamaa hataki mke awe na kazi au alishamwambia akazingua mwanamke kaona ajipambanie!KWanini afanye siri it means kuna jambo la siri linaendelea baina ya huyo mwanamke na huyo mume wa jirani yake na pande zote hawajui kama huyo mwanamke anatafutiwa kazi yaan hajamwambia mume wake na huyo jamaa anayemtafutia kazi ,mke wake hana taarifa unafikiria nini hapo hata kama hawa watu wamegombana lazima angemtafutia muda amwambie ,,,swali i why amenyamaza bila kumshirikisha mme wake?
LAbda tujikite kwenye mawazo kwamba hatujasikia upande wa pili inawezekezana kuna mzozani baina yao so au jamaa anamfungia ndani sanaa thus why alimwambia apunguze makundi its means ana wivu kinomaKama wote tusivyoujua upande wa pili kimetokea nini tusitoe conclusion kuwa mwanamke ni malaya! Huenda kuna vitu katamkiwa na mwenzi wake, huenda mwanaume hali sio nzuri labda mwanamke anajaribu kupambana wote waweze kuyaendesha maisha yao! Mambo ni mengi sana! Jaribu kujibu mada kama
Ilovyokuja bila kuongeza kitu kwa hisia binafsi! Be positive mkuu!
Acha kuwadharau wamama wa nyumbani ,kwani mtu ukiwa ofisini hauwezi kuangalia TV huku unafanya kazi? Mtu ukiwa kwenye baishara zako hauwezi kuangalia TV wakati ukisubiri wateja?Thanks mkuu. It's seems umeoa, mkeo ni wale certified television viewer, aka "couch potatoe"?
Kama ana mfungia ndani ni either anakuwa na makundi yasiomjenga! Na kuwa na wivu ni sawa ila kuvuka mipaka unaishia kuwa narcist!LAbda tujikite kwenye mawazo kwamba hatujasikia upande wa pili inawezekezana kuna mzozani baina yao so au jamaa anamfungia ndani sanaa thus why alimwambia apunguze makundi its means ana wivu kinoma
Hawachambui mambo kinagaubaga, vijana wako race sana😅 kuna mama hapa nipo naye ana 44yo ana pesa mbayaa! Hana mume wala mtoto ni mkali hata ukiwa naye barabarani anatukana watu tu! Yani kwa kifupi hataki mbwa yoyote imuendeshe! Kuna siku nikaongea naye kuhusu ndoa kama letu moja, akasema mi ndomaana sijaolewa sitaki kabisa mtu anipelekeshe aliongea sana! Na anajiamini sana! Pande zote mbili ni kasheshe! Choose your hard!Acha kuwadharau wamama wa nyumbani ,kwani mtu ukiwa ofisini hauwezi kuangalia TV huku unafanya kazi? Mtu ukiwa kwenye baishara zako hauwezi kuangalia TV wakati ukisubiri wateja?
Unajua majukumu ya Mama wa nyumbani kuanzia asubuhi hadi usiku? Je ni kosa akimaliza kufanya majukumu yake akiangalia TV kama kupumzisha mwili akimsubiri mmewe ampe "Chakula" usiku?
Unajua manyanyaso wanayopita wanaume kwa wanawake wao wenye kazi au wenye baishara kuhusu chakula cha usiku? Haujawahi kujiuliza kwanini hao baadhi ya wanawake wakirudi tu nyumbani mmewe akitaka mzigo wanasema wamechoka? Unajua huko makazini/mabisharani nini kimetokea Appostle?
Kazi za nyumbani ni nzito kuliko za ofisini ,mimi binafsi najua kazi zote hivyo najua ugumu wake so siwezi kumdharau mama wa nyumbani kusema kwamba muda wote anaangalia TV ,sasa kama haujui mda wa kuangalia TV ni kuanzia saa mbili tamthilia zikianza maana asubuhi mpaka usiku ni pilikapilka unless umeona m/ke mvivu ambaye hapiki muda wote kupiga simu kwa boda amletea chips isikaushwe na wewe ukirudi unapigiwa simu leta ndizi mzuzu ,kidali na take away.
MKuu vitu vya namna hii mlishswsi zungumza kabla ya ndoa? Maisha yenu yatakua vipiMimi tatizo sio kuamua yeye kujitafutia kazi.....tatizo ni kwanini hanishirikishi,ananificha nisijue kuwa anafuta kazi?. .anakuwa mipango binafsi bila mimi kuwa na taarifa yoyote kama mume wake?,,, Inamaana yumo kwenye ndoa kama kutegeshea ishu zake binafsi
💯Kama ana mfungia ndani ni either anakuwa na makundi yasiomjenga! Na kuwa na wivu ni sawa ila kuvuka mipaka unaishia kuwa narcist!
Kabisa mkuu ila naona kuna mizozane baina yao thus why hayo maamuzi yamefanywa na mwanamkeKama ana mfungia ndani ni either anakuwa na makundi yasiomjenga! Na kuwa na wivu ni sawa ila kuvuka mipaka unaishia kuwa narcist!
Hilo ndilo tatizo! Hata wewe huwezi tu kuamka kesho ukaondoka kwako, lazima watakutafutia wachungaji na waganga wakiamini umerogwa!💯
Kabisa mkuu ila naona kuna mizozane baina yao thus why hayo maamuzi yamefanywa na mwanamke
🤣 🤣 🙌Mkuu unanyooka sana
Watu mshachoka😅Hata tukikushauri utarudiana nae Tu, hivyo fanya unavoona mwenyewe
Kwani mwanamke anayefanya kazi za kutafuta kipato anazuiliwa pia kufanya kazi za ndani. Mbona niliyem-quote anang'akaAcha kuwadharau wamama wa nyumbani ,kwani mtu ukiwa ofisini hauwezi kuangalia TV huku unafanya kazi? Mtu ukiwa kwenye baishara zako hauwezi kuangalia TV wakati ukisubiri wateja?
Unajua majukumu ya Mama wa nyumbani kuanzia asubuhi hadi usiku? Je ni kosa akimaliza kufanya majukumu yake akiangalia TV kama kupumzisha mwili akimsubiri mmewe ampe "Chakula" usiku?
Unajua manyanyaso wanayopita wanaume kwa wanawake wao wenye kazi au wenye baishara kuhusu chakula cha usiku? Haujawahi kujiuliza kwanini hao baadhi ya wanawake wakirudi tu nyumbani mmewe akitaka mzigo wanasema wamechoka? Unajua huko makazini/mabisharani nini kimetokea Appostle?
Kazi za nyumbani ni nzito kuliko za ofisini ,mimi binafsi najua kazi zote hivyo najua ugumu wake so siwezi kumdharau mama wa nyumbani kusema kwamba muda wote anaangalia TV ,sasa kama haujui mda wa kuangalia TV ni kuanzia saa mbili tamthilia zikianza maana asubuhi mpaka usiku ni pilikapilka unless umeona m/ke mvivu ambaye hapiki muda wote kupiga simu kwa boda amletea chips isikaushwe na wewe ukirudi unapigiwa simu leta ndizi mzuzu ,kidali na take away.
Na nyie vijana siku hizi hamweleweki. Kwa nini umzuie mke wako kutafuta kazi za kuajiriwa? Yote hayo ni shauri ya wivu tu! Hivi unafikri kama kugongwa hata ukimfungia ndani hatagongwa? Kama ni tabia yake atagongwa tuDaah wanatuvunja moyo siyo siri
Mkuu, binafsi bibi yangu alitafutiwa kibarua na babu, wadogo zake bibi walisoma ila kwa vile yeye alikuwa first born wazazi wake hawakuwa tiyari na uwezo wakati anamaliza darasa la saba. Hela ya bibi mimi mwenyewe nimeila, sahivi yuko mid 80s anaumwa. Ila babu hajaila hiyo hela. Wewe umeoa kwa ajili yako tu, watoto na wajukuu je?kama Bibi yako miaka ya 1970's alikuwa mjamzito means baba/mama yako atakuwa amezaliwa around 1975-1979 hivyo kwa haraka haraka utakuwa unamiaka kati ya 20 mpaka 25.
Kwa umri huo bado haujajua chochote kuhusu ndoa ,unaendeshwa na mihemko ya bata za online ,vitabu vya dini vinasema Mwanamke muheshimu mme wako na mwanamme mpende mkeo na ishi naye kwa akili ,unajua maana yake?
Kwenda kwa jirani tena Mme wa mtu hata mkewe hajui kwamba unatafutiwa kazi ni sawa? Kutafutiwa kazi ni jambo zuri sasa kwanini amfiche mmewe? Kwa ufahamu wako una cases ngapi ambazo mwanamme alimtafutia mkewe kazi halafu mambo yakanyooka? Mimi nina cases karibi 20 ambazo m/me alimtafutia mkewe kazi au alimfungulia biashara ambazo 15 wanawake waliwaacha waume zao na hizo 5 ni tia maji tia maji.
Nani alikwambia fedha ya mwanamke inasaidia mambo ya nyumbani? kati ya wanawake 100 wanaofanya kazi ukipata wa 5 fedha zinasaidia familia ya nyumbani basi shukuru...Mwanamke mama wa nyumbani ndiyo mzuri kuishi naye ,swala la mbele ajuaye Mungu si uliona watoto wa hans pope walikuwa wanalia kwenye mitandao hawana kitu ingawa baba yao alikuwa bilionea na biashara kibao? Unataka kusema mke wa hans pope alikuwa hana biashara au kazi? Familia ngapi Baba ana kazi na mama hana kazi(mama wa nyumbani) zimedumu na watoto wamekuwa watu wakubwa tu serikalini/private sectors? Familia ngapi zimelelewa na Mama bila baba na zimekuwa vizuri?
Bado mdogo sana kuzungumzia changamoto za ndoa ,mwanamke akishaanza jeuri fukuza ,na wengi 99% wakienda huko wanaishia kufukuzwa pia na 1% wanaishi maisha mabovu kuhofia kuchekwa kwa walichofanya wengine wanaishia kuambukizwa kazeze maana wanaenda kujiachia waliona wanabanwa sana kwenye ndoa.
KAzini wanagongwa sana na maboss,wafanyakazi, n,k Bora awe mama wa nyumbaniNa nyie vijana siku hizi hamweleweki. Kwa nini umzuie mke wako kutafuta kazi za kuajiriwa? Yote hayo ni shauri ya wivu tu! Hivi unafikri kama kugongwa hata ukimfungia ndani hatagongwa? Kama ni tabia yake atagongwa tu
Siku hizi mama wa nyumbani nao wanagongwa sana na vibodaboda! Hakuna pa kukimbilia mkuu!KAzini wanagongwa sana na maboss,wafanyakazi, n,k Bora awe mama wa nyumbani