Wewe ni kilaza promax. Yaan mkeo anataka kazi wewe unamzuia. Huu ushamba mtauacha lin?Habari ndugu..
Mimi nilikuwa nimeoa mwanamke tulikuwa tuna miaka 5, kwenye ndoa,,,tumejaaliwa mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 2 na miezi8,,,tuliishi vizuri,,alikuwa ni Mama wa Nyumbani,,
Ila ghafla alianza kubadilika ,,akaanza kuwa na vikundi vya wanawake,,,vikimshauri atafute kazi,maana wanaume wa siku wakiona hufanyi kazi watakutesa,,mambo wakawa wanamlisha sumu MKE wangu,,,
Niligundua Hilo tatizo nikamkataza vikundi akawa ameacha...
Sasa baada ya miaka mitano hiyo kwenye ndoa MKE akabadilika anataka kazi,,,akawa anatafuta kazi kimya kimya mimi Sina habari,,,,nakuja kusikia habari mtaani kwamba MKE anatafuta kazi....sasa nikawa najiuliza kama anafanya maamuzi ya kutafuta kazi bila kumshirikisha Mme wake hii inakuwaje???
Baada ya Muda wakati anaendelea kutafuta niliamua nimuache kwa kumchora nione Mwisho wake...
Nikaanza uchunguzi taratibu...nikagundua Simu yake anaenda nayo kila mahali,,,hata akienda chooni anaenda chooni Simu anakuwa nayo...
Nikaanza kuingiwa na mashaka,,,siku Moja nikashika Simu yake bila yeye kujua,ghafla iliingia meseji inasema""ILE KAZI NIMEKUTA KUNA DADA MOJA AMESHAICHUKUA TANGU J,NNE,, KWAHIYO SUBIRI KIDOGO ""
Niliamua nimuulize MKE wangu akasema,,,ni kweli hii meseji inanimhusu yete,,,ila aliyeituma hamjui....
Sasa mimi niliamua niipigie hiyo namba iliyomtumia meseji...kuongeza nae sauti ya mwanaume,,,akakili kwamba huyu ambaye alishamuomba amtafutie kazi...ndo maana alituma hiyo meseji kumjulisha.
Baada ya kumbana sana,,MKE wangu,akasema Yeye huyo mwanaume hamjui,,,ila anashangaa meseji hiyo,,,
Ila baadae MKE wangu akaniambia,,,Kuna Mama mmoja Jirani ,,,alikuwa ashamuomba amuulizie kazi sehemu yoyote atakapoiona..
Sasa aliponiambia hivyo MKE wangu nikamuambia nenda uniitie huyo mwanamke huyo Jirani yetu... nimuulizie hiyo ishu inaendaje... Basi bwana MKE alipoenda,,,alirudi ananiambia huyo mwanamke hayupo...,,,,kama mambo yamefikia hapo basi Bora mi niondoke Humu ndani... nikamuambia sawa ... kweli Mwanamke kafunga mizigo kaondoka...
Sasa baada ya mwanamke kuondoka...akili ikanijia ,,,niende nikamuulize huyo mwanamke Jirani...nilipofika kwa Jirani...huyo mwanamke akasema mimi nilikuwepo Wala sijatoka....kuhusu MKE wako kumtafutia kazi hawajawahi kuyaongelea...
Sasa huyo Mwanamke Jirani...niliamua nimuonyeshe meseji iliyotumwa kwa MKE wangu...akashagaa ni namba ya Mume wake...na akaniambia Namba ya MKE wangu...hata Mume wake Anayo kwenye Simu yake... Inamaana wanawasiliana kimyakimya...
NB..Ndo Maana nilipomuambia MKE wangu,,kwamba nataka niwaunganishe huyo mwanamke Jirani na mume wake ...kuwaulizia hii message iliyotumwa kwenye Simu yake...AKAAMUA KUFUNGASHA VIRAGO KUKIIMBIA...ameona atagundulika kuhusu huyo mwanaume...
...,.....,....................,.........
Kiufupi,,,MKE WANGU ALIKUWA NA NAMBA YA MUME WA RAFIKI YAKE WANAWASILIANA MWASWALA YA KAZI...BILA RAFIKI YAKE KUJUA CHOCHOTE KINACHOENDELEA
Ameniachia mtoto mmoja,,,SIJUI MNANISHAURIJE?
💯Hilo ndilo tatizo! Hata wewe huwezi tu kuamka kesho ukaondoka kwako, lazima watakutafutia wachungaji na waganga wakiamini umerogwa!
Wewe ni mjima! inaonekana ulikua unamtisha tisha sana na vitu vyako, hadi simu umebaki nayo ww??Mbaya zaidi aliondoka mwenyewe mida ya usiku hivi...hakuwa na nauli,,Wala hakuwa na Simu...
Kauli aliyotoa wakati anaondoka ni SIWEZI KOSA SEHEMU YA KWENDA
Tangu Jana Hadi leo ,,,Nyumbani kwao hajafika,,,,wanamtafuta,,Mama mkwe na ndugu zake,,,,maana naona wanampigia kwenye Simu yake aliyoiacha
Point ashamla anamzungushaDemu malaya anapigwa miti kisa kazi na hata huyo jamaa jirani kishapiga hapo akamdanganya atamtafutia kazi
Habari ndugu..
Mimi nilikuwa nimeoa mwanamke tulikuwa tuna miaka 5, kwenye ndoa,,,tumejaaliwa mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 2 na miezi8,,,tuliishi vizuri,,alikuwa ni Mama wa Nyumbani,,
Ila ghafla alianza kubadilika ,,akaanza kuwa na vikundi vya wanawake,,,vikimshauri atafute kazi,maana wanaume wa siku wakiona hufanyi kazi watakutesa,,mambo wakawa wanamlisha sumu MKE wangu,,,
Niligundua Hilo tatizo nikamkataza vikundi akawa ameacha...
Sasa baada ya miaka mitano hiyo kwenye ndoa MKE akabadilika anataka kazi,,,akawa anatafuta kazi kimya kimya mimi Sina habari,,,,nakuja kusikia habari mtaani kwamba MKE anatafuta kazi....sasa nikawa najiuliza kama anafanya maamuzi ya kutafuta kazi bila kumshirikisha Mme wake hii inakuwaje???
Baada ya Muda wakati anaendelea kutafuta niliamua nimuache kwa kumchora nione Mwisho wake...
Nikaanza uchunguzi taratibu...nikagundua Simu yake anaenda nayo kila mahali,,,hata akienda chooni anaenda chooni Simu anakuwa nayo...
Nikaanza kuingiwa na mashaka,,,siku Moja nikashika Simu yake bila yeye kujua,ghafla iliingia meseji inasema""ILE KAZI NIMEKUTA KUNA DADA MOJA AMESHAICHUKUA TANGU J,NNE,, KWAHIYO SUBIRI KIDOGO ""
Niliamua nimuulize MKE wangu akasema,,,ni kweli hii meseji inanimhusu yete,,,ila aliyeituma hamjui....
Sasa mimi niliamua niipigie hiyo namba iliyomtumia meseji...kuongeza nae sauti ya mwanaume,,,akakili kwamba huyu ambaye alishamuomba amtafutie kazi...ndo maana alituma hiyo meseji kumjulisha.
Baada ya kumbana sana,,MKE wangu,akasema Yeye huyo mwanaume hamjui,,,ila anashangaa meseji hiyo,,,
Ila baadae MKE wangu akaniambia,,,Kuna Mama mmoja Jirani ,,,alikuwa ashamuomba amuulizie kazi sehemu yoyote atakapoiona..
Sasa aliponiambia hivyo MKE wangu nikamuambia nenda uniitie huyo mwanamke huyo Jirani yetu... nimuulizie hiyo ishu inaendaje... Basi bwana MKE alipoenda,,,alirudi ananiambia huyo mwanamke hayupo...,,,,kama mambo yamefikia hapo basi Bora mi niondoke Humu ndani... nikamuambia sawa ... kweli Mwanamke kafunga mizigo kaondoka...
Sasa baada ya mwanamke kuondoka...akili ikanijia ,,,niende nikamuulize huyo mwanamke Jirani...nilipofika kwa Jirani...huyo mwanamke akasema mimi nilikuwepo Wala sijatoka....kuhusu MKE wako kumtafutia kazi hawajawahi kuyaongelea...
Sasa huyo Mwanamke Jirani...niliamua nimuonyeshe meseji iliyotumwa kwa MKE wangu...akashagaa ni namba ya Mume wake...na akaniambia Namba ya MKE wangu...hata Mume wake Anayo kwenye Simu yake... Inamaana wanawasiliana kimyakimya...
NB..Ndo Maana nilipomuambia MKE wangu,,kwamba nataka niwaunganishe huyo mwanamke Jirani na mume wake ...kuwaulizia hii message iliyotumwa kwenye Simu yake...AKAAMUA KUFUNGASHA VIRAGO KUKIIMBIA...ameona atagundulika kuhusu huyo mwanaume...
...,.....,....................,.........
Kiufupi,,,MKE WANGU ALIKUWA NA NAMBA YA MUME WA RAFIKI YAKE WANAWASILIANA MWASWALA YA KAZI...BILA RAFIKI YAKE KUJUA CHOCHOTE KINACHOENDELEA
Ameniachia mtoto mmoja,,,SIJUI MNANISHAURIJE?
Huyo mwanamke huko alikokimbilia alienda kufanya kazi gani🥴 ndo maisha yalienda kumnyookea? ERonikuna ngosha aliachiwa mapacha wa mwaka. It was terrible, kila mtu alimuonea huruma, mke alikimbia kisa hali ya maisha imekuwa ngumu, a
Anatafutiwaje kazi na mme WA jirani BILA wewe kujua !!!!!Habari ndugu..

Bora kuna wanaume wengine mmebaki mnaojielewa..!!Tatizo lake wala sio uchumi. Tatizo la mleta mada ni la kiakili zaidi, mentality.
Huyu superHB it seems ni mtafutaji shida ni vipaumbele ndio hana. Ukiwa na rafiki kama huyu utamjua tu kuwa akili zake zimekaa kimaskini kulingana na misimamo yao mibovu. Analeta ubaunsa kwenye njaa.
Kuna jamaa yangu alifeli shule alikuwa bodaboda akatumia hata hela kumtafutia mke wake kazi. Hata mwaka haukuisha yule jamaa akafariki kwa ajali pale Mbagala, mkewe kwa siku za mwanzoni ndio alipeleka watoto shule na kununua mahitaji kabla ya vikao vya ukoo kutafuta solution.
Kumbe ndugu zetu maskini ukiwa huna kitu kabisa kabisa wanakuepuka utakuwa mzigo completely. Wewe hela ya maji huna, nauli ya mjini huna, ya kula huna, ya dawa ya malaria huna. Wewe kila kitu huna.
Kuna mfanyabiashara Segerea pale alimuachisha mke wake kazi TRA wakati anaenda kumuoa ila wazazi wa mke walikataa, yeye mwenyewe akasaini form kwamba atamlipa 5M kila mwezi kama hela ya matumizi isiyo na maswali imetumikaje (factoring in kupanda daraja kazini + marupurupu). Sasa utamuiga vipi huyu wakati anajiweza, na alimfungulia biashara.
Mwanamke kama kuwa msaliti mbona anakusaliti tu akiwa mpiga umbea na mtazama Sinema Zetu.
Tuko 2026 lakini bado hautaki mke wako afanye kazi? Unataka awe tegemezi bila kujali hali itakuwaje kama kipato chako kitapotea achilia kwamba kipato chake kitawasaidia kupanga vizuri maisha yenu. Unaandika kama mtu ambae anaishi 1950s na sio 2020s. Wewe ndio una tatizo, sio mke wako.Habari ndugu..
Mimi nilikuwa nimeoa mwanamke tulikuwa tuna miaka 5, kwenye ndoa,,,tumejaaliwa mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 2 na miezi8,,,tuliishi vizuri,,alikuwa ni Mama wa Nyumbani,,
Ila ghafla alianza kubadilika ,,akaanza kuwa na vikundi vya wanawake,,,vikimshauri atafute kazi,maana wanaume wa siku wakiona hufanyi kazi watakutesa,,mambo wakawa wanamlisha sumu MKE wangu,,,
Niligundua Hilo tatizo nikamkataza vikundi akawa ameacha...
Sasa baada ya miaka mitano hiyo kwenye ndoa MKE akabadilika anataka kazi,,,akawa anatafuta kazi kimya kimya mimi Sina habari,,,,nakuja kusikia habari mtaani kwamba MKE anatafuta kazi....sasa nikawa najiuliza kama anafanya maamuzi ya kutafuta kazi bila kumshirikisha Mme wake hii inakuwaje???
Baada ya Muda wakati anaendelea kutafuta niliamua nimuache kwa kumchora nione Mwisho wake...
Nikaanza uchunguzi taratibu...nikagundua Simu yake anaenda nayo kila mahali,,,hata akienda chooni anaenda chooni Simu anakuwa nayo...
Nikaanza kuingiwa na mashaka,,,siku Moja nikashika Simu yake bila yeye kujua,ghafla iliingia meseji inasema""ILE KAZI NIMEKUTA KUNA DADA MOJA AMESHAICHUKUA TANGU J,NNE,, KWAHIYO SUBIRI KIDOGO ""
Niliamua nimuulize MKE wangu akasema,,,ni kweli hii meseji inanimhusu yete,,,ila aliyeituma hamjui....
Sasa mimi niliamua niipigie hiyo namba iliyomtumia meseji...kuongeza nae sauti ya mwanaume,,,akakili kwamba huyu ambaye alishamuomba amtafutie kazi...ndo maana alituma hiyo meseji kumjulisha.
Baada ya kumbana sana,,MKE wangu,akasema Yeye huyo mwanaume hamjui,,,ila anashangaa meseji hiyo,,,
Ila baadae MKE wangu akaniambia,,,Kuna Mama mmoja Jirani ,,,alikuwa ashamuomba amuulizie kazi sehemu yoyote atakapoiona..
Sasa aliponiambia hivyo MKE wangu nikamuambia nenda uniitie huyo mwanamke huyo Jirani yetu... nimuulizie hiyo ishu inaendaje... Basi bwana MKE alipoenda,,,alirudi ananiambia huyo mwanamke hayupo...,,,,kama mambo yamefikia hapo basi Bora mi niondoke Humu ndani... nikamuambia sawa ... kweli Mwanamke kafunga mizigo kaondoka...
Sasa baada ya mwanamke kuondoka...akili ikanijia ,,,niende nikamuulize huyo mwanamke Jirani...nilipofika kwa Jirani...huyo mwanamke akasema mimi nilikuwepo Wala sijatoka....kuhusu MKE wako kumtafutia kazi hawajawahi kuyaongelea...
Sasa huyo Mwanamke Jirani...niliamua nimuonyeshe meseji iliyotumwa kwa MKE wangu...akashagaa ni namba ya Mume wake...na akaniambia Namba ya MKE wangu...hata Mume wake Anayo kwenye Simu yake... Inamaana wanawasiliana kimyakimya...
NB..Ndo Maana nilipomuambia MKE wangu,,kwamba nataka niwaunganishe huyo mwanamke Jirani na mume wake ...kuwaulizia hii message iliyotumwa kwenye Simu yake...AKAAMUA KUFUNGASHA VIRAGO KUKIIMBIA...ameona atagundulika kuhusu huyo mwanaume...
...,.....,....................,.........
Kiufupi,,,MKE WANGU ALIKUWA NA NAMBA YA MUME WA RAFIKI YAKE WANAWASILIANA MWASWALA YA KAZI...BILA RAFIKI YAKE KUJUA CHOCHOTE KINACHOENDELEA
Ameniachia mtoto mmoja,,,SIJUI MNANISHAURIJE?
Akikushirikisha huwa unamsikiliza? Unajaribu kumuelewa au unataka maamuzi yote yawe jinsi wewe unavyotaka? Bila shaka anajua ni kupoteza muda kukushirikisha. Na tayari anajua kuwa hauna ushauri wa maana kama ilivyo katika hili la kutafuta kazi. Ungemsaidia kutafuta kazi, yote haya yasingetokea. Badala ya kujirekebisha unataka kumharibia mtu ambae alikuwa anamsaidia.Ishu ni kwamba hanishirikishi mimi mambo mengi anafanya maamuzi yake... pili anaonekana ana tamaa nyingi