Mke wangu kalipendea nini hili jitu?

Mke wangu kalipendea nini hili jitu?

Lijitu linajituma sana big up kwake!hayo anayofanya na hilo lijitu ndiyo ulipaswa kufanya ..hata asingethubutu kumsogelea mkeo!chukua darasa hapo
 
Waheshimiwa nina mgeni ambae sasa anaelekea kumaliza wiki akiwa hapa kwangu, ni binamu yangu huwa anaishi mkoani amekuja kwa shughuli zake binafsi, ataondoka atapokamilisha yaliyomleta.

Nimewaandikia kwa sababu, huyu jamaa amenishangaza sana, imagine weekend hii iliyokwisha anashinda na boxer kutwa nzima tena kifua wazi, au kwasababu amevimba kifua anataka tumwone au?

Mke wangu na house girl wanafua nguo Jumamosi asubuhi eti anaenda pale awasaidie kufua, natoka ndani namuuliza wife mbona mgeni anafua nguo, najibiwa kuwa eti ameomba mwenyewe, hii ni sawa kweli?

Yote tisa, kumi ni Jana, inafikia hatua linamkuta wife jikoni anasonga ugali linaomba limsaidie kusonga ugali, mgeni gani wa namna hii?

Wadau nitumie njia gani kulitimua hili jitu hapo nyumbani? Kabla halijaleta madhara maana mdogo wa mke wangu naona kama yuko nalo karibu sana, pia wife kaniuliza kama mimi pia naweza kufanya mazoezi nikawa kama hilo jitu badala ya kitambi, ingawa alinieleza kwa utani huku tukifurahi na kutaniana ila najiuliza kwanini aseme sasa wakati hili jitu lipo?

Linakaa hapo sebuleni kwenye video hadi usiku mwingi likiwa na mdogo wa mke wangu bila kujali maadili.

Jumapili nilienda kwenye Bonanza la timu yetu ya veterans narudi nimekuta nyumba nzima hawapo wameenda beach wote pamoja na huyu jamaa.

Hivi unaendaje ugenini halafu unaanza kuleta ujuaji wa namna hii?

Wadau msaada wa mawazo unatakiwa haraka.

Du, hiyo kali ila mm huyo ningemtimua siku hiyohiyo ninayomkuta na boxer,utashindaje na boxer n kifua wazi nyumbani kwa mwanaume mwenzako?.............ila una uvumilivu sanaaaaaaaaa bro
 
Hilo jitu liache upuuzi atakaaje na boksa tu tena kifua wazi mbele ya wife liwe na heshima.

Mkuu nachoshangaa kwanini humwambii na yuko kwenye milki yako!Au unaogopa kula nakoz joking!
 
MGENI ANAKARIBISHWA SIO KUFUKUZWA.KAMA ANA NIA MBAYA BASI NIA MBAYA NDIO ITAMKIMBIZA.
Time will tell
 
'Linamkuta wife jikon anasonga ugali linaomba limsaidie kusonga ugali' [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli mgeni huyo balaa nuksi mikosi, wageni dizain hiyo ndo wale umeweka maji ya ugali yachemke unamkuta anaongeza maji[emoji1]
 
"..pia wife kaniuliza kama mimi pia naweza kufanya mazoezi nikawa kama hilo jitu badala ya kitambi... "

Usikute jamaa limeshakula mzigo. Omba likizo haraka.
 
Habari njema hilo 'jitu' lipo humu humu jF

Limeshapata ujumbe wako

Wa juu kabisa ku like hii comment ndio hilo 'jitu'
 
Waheshimiwa nina mgeni ambae sasa anaelekea kumaliza wiki akiwa hapa kwangu, ni binamu yangu huwa anaishi mkoani amekuja kwa shughuli zake binafsi, ataondoka atapokamilisha yaliyomleta.

Nimewaandikia kwa sababu, huyu jamaa amenishangaza sana, imagine weekend hii iliyokwisha anashinda na boxer kutwa nzima tena kifua wazi, au kwasababu amevimba kifua anataka tumwone au?

Mke wangu na house girl wanafua nguo Jumamosi asubuhi eti anaenda pale awasaidie kufua, natoka ndani namuuliza wife mbona mgeni anafua nguo, najibiwa kuwa eti ameomba mwenyewe, hii ni sawa kweli?

Yote tisa, kumi ni Jana, inafikia hatua linamkuta wife jikoni anasonga ugali linaomba limsaidie kusonga ugali, mgeni gani wa namna hii?

Wadau nitumie njia gani kulitimua hili jitu hapo nyumbani? Kabla halijaleta madhara maana mdogo wa mke wangu naona kama yuko nalo karibu sana, pia wife kaniuliza kama mimi pia naweza kufanya mazoezi nikawa kama hilo jitu badala ya kitambi, ingawa alinieleza kwa utani huku tukifurahi na kutaniana ila najiuliza kwanini aseme sasa wakati hili jitu lipo?

Linakaa hapo sebuleni kwenye video hadi usiku mwingi likiwa na mdogo wa mke wangu bila kujali maadili.

Jumapili nilienda kwenye Bonanza la timu yetu ya veterans narudi nimekuta nyumba nzima hawapo wameenda beach wote pamoja na huyu jamaa.

Hivi unaendaje ugenini halafu unaanza kuleta ujuaji wa namna hii?

Wadau msaada wa mawazo unatakiwa haraka.

Unahuakika hapo kwako?? Mbona unalalamika ka ma na wewe ni mgeni hapo
 
You are jealous of your cuz.

He is there for your family when you are not.

He has a fit body.

Go work out and spend more time with your family
 
Kubwa jinga ww hata huoni kutuletea hii habari wanaume wenzako hapa?
 
Kama mkeo amekwambia uafanye mazoezi uwe kama hilo jitu na kupunguza kitambi ina maana anapenda miili kama hiyo, hapendi watu wenye kitambi na miili uzembe maana kuna baadhi ya majukumu wanaishia njiani. Chukua hatua mapema, amefikisha ujumbe kiutu uzima.
Nami nimependa ulivyoandika kiutu uzima . That's great. [emoji106] [emoji106]

Cc Smart911
 
Back
Top Bottom