Mke wangu kalipendea nini hili jitu?

Mke wangu kalipendea nini hili jitu?

do!hakuna kitu kinasaidia muda mwingine kama kua muwazi,own your title 'baba mwenye nyumba"
theni ukiona mtu nakuja nyumbani kwako anakukera on the spot mwambie usifanye hivi fanya vile,,usivae hivo hapa nyumbani kwangu,,,Nukta..mambo ya kuumia kimoyoni ndio mazoea ya kimaandazi yanovozidi..
 
Rudi nyumbani folenisha familia nzima sebuleni toa tangazo kuwa hutaki kuona sura ya mtu huyu then usiruhusu maswali sometimes maamuzi magumu ni muhimu


Mwenzako raia na si mjeshi., Mambo hayo atayajulia wapi
 
ha hahahahaha kwanza hilo jitu lisipomgonga wife wako basi wengine wenye mwonekano wa hilo jitu watamla, fanya mazoezi ya kutafuta pesa kwa bidiii zaidi achana na likifua ila piga mazoezi kishikaji usipate magonjwa....

hilo lijitu liambie liache mazoea na wife hawa tunawaita wazee wa kutengeneza mazingira anaweza kuwagonga wote wa kike humo ndani kiutani utani tu kuwa makini... huwa hawatongozi yani ..

kama unaweza liambie hilo jitu lisepe tu mazoea hutaki jitu kubwa
kumbe ndio zenu wanawake mnaweza kuchezea dudukila ya mtu mmoja hata muwe wanne
 
Anaeweza kukaa kifua wazi nyumbani kwangu ni mimi tu, huyo mgeni alitakiwa aelekezwe do's and don'ts mwanzoni kabisa
 
Duuuuh!!!!!!!!!!!!!!!! I wish I could be ...... Sasa kuna umuhimu gani wa kuitwa baba wa familia wakati jambo dogo hivi linakutoa jasho????? Ndio maana baadhi ya wadada huku wanadiriki kusema wanaume wameisha wamebaki wavulana... Ila niwasahihishe tuu kwamba wanaume wapo ila ndio mchele na chuya, chuya zaonekana zaidi.... miss chagga.... Unaona kweli?????
 
Back
Top Bottom