Mke wangu kaniambia nimwandikie kurasa ishirini za sababu kwanini mpaka sasa nimeshindwa kununua gari


Mwanamke ana akili kumzidi mwanaume .
 
Muambie kwa miaka tisa ilikuwa inatosha na yeye kulinunua maana kuna wanawake wenzie wengi wanayo 😁😁

Japo ana point pia na kama ni miaka tisa ya mahusiano. Ni wazi ulimchukua katika peak yake ya usichana akiwa na options kibao ila akatulia na wewe. Usimfanye ajute jute kwa kujiona alikosea njia 😁😁
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 si unatuandikiaga migazeti?? Haya mwandikie mkeo.....

Nmecheka sana, kwahiyo sahivi hapo una karatasi na kalamu? Au unatype

πŸ˜€πŸ˜€

Mimi napewaga adhabu za kujieleza kwa mke wangu.

Nikimuudhi, ananiambia nieleze Yule aliyentumia text kwenye WhatsApp ni Nani. KURASA kumi.
 
Asikulaumu peke yako kwamba huna akili umeshindwa kununua gari ya ndoto zake. Yeye mwenyewe hana akili pia. Angekuwa na akili angekuwa anakuhimiza namna ya kuwa na nidhamu ya fedha mngekuwa mbali leo hii.

Maana ya mwanamke ndani ya nyumba ni msaidizi (mshauri) wa mwanaume. Kutegemea maisha mazuri bila kumshauri mwanaume ni kukosa akili. Maisha ni kukumbushana.

Kipato cha mwanaume kinaweza kuwa hakitoshi kufanya mambo mengine ya maendeleo, hapo ndipo nafasi ya mwanamke mwenye akili inapoonekana kukifanya kipato kisichotosha kiweze kufanya mambo ya maendeleo.

Wanawake wasiyo na akili za maisha ndani ya nyumba ni mzigo
 

Sawa Mkuu
Lakini kama yeye ananishaurigi lakini Mimi ndio kichwa bomu au mipango yangu Mikubwa itakuwaje
 
Kamba
 

Ahsante Sana
Maelezo yako yanatia uchungu Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…