Mke wangu kaniambia nimwandikie kurasa ishirini za sababu kwanini mpaka sasa nimeshindwa kununua gari

Mke wangu kaniambia nimwandikie kurasa ishirini za sababu kwanini mpaka sasa nimeshindwa kununua gari

Huyo unamzabua kibao alafu mahusiano yameisha hapo. Bye bye mie siwezi kuishi na mwanamke anaye jibu kama anaongea na mwanamke mwenzie. She has to show respect after all i pay all the billz in the house.

Mimi bwana personally nipo tayari kumsamehe mke wangu akigegedwa nje huko (ofcoz mie nina kibamia so obviously some time wife anatamani mbooo kubwa zaidi 😜)
Wat i wont forgive ni mke wangu kuongea na mie kama anaongea na mwanamke mwenzie.

Mwanamke ana akili kumzidi mwanaume .
 
Muambie kwa miaka tisa ilikuwa inatosha na yeye kulinunua maana kuna wanawake wenzie wengi wanayo 😁😁

Japo ana point pia na kama ni miaka tisa ya mahusiano. Ni wazi ulimchukua katika peak yake ya usichana akiwa na options kibao ila akatulia na wewe. Usimfanye ajute jute kwa kujiona alikosea njia 😁😁
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 si unatuandikiaga migazeti?? Haya mwandikie mkeo.....

Nmecheka sana, kwahiyo sahivi hapo una karatasi na kalamu? Au unatype

😀😀

Mimi napewaga adhabu za kujieleza kwa mke wangu.

Nikimuudhi, ananiambia nieleze Yule aliyentumia text kwenye WhatsApp ni Nani. KURASA kumi.
 
Asikulaumu peke yako kwamba huna akili umeshindwa kununua gari ya ndoto zake. Yeye mwenyewe hana akili pia. Angekuwa na akili angekuwa anakuhimiza namna ya kuwa na nidhamu ya fedha mngekuwa mbali leo hii.

Maana ya mwanamke ndani ya nyumba ni msaidizi (mshauri) wa mwanaume. Kutegemea maisha mazuri bila kumshauri mwanaume ni kukosa akili. Maisha ni kukumbushana.

Kipato cha mwanaume kinaweza kuwa hakitoshi kufanya mambo mengine ya maendeleo, hapo ndipo nafasi ya mwanamke mwenye akili inapoonekana kukifanya kipato kisichotosha kiweze kufanya mambo ya maendeleo.

Wanawake wasiyo na akili za maisha ndani ya nyumba ni mzigo
 
Sawa Mkuu
Lakini kama yeye ananishaurigi lakini Mimi ndio kichwa bomu au mipango yangu Mikubwa itakuwaje
 
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Mtafaruku ni Mkubwa. Huu mwaka naona unaisha vibaya Mno. Kama sitakuwa macho nyumba yangu inaweza kuvunjika.

Sorry nianze kwa Salamu maana Leo mtanifaa Sana kwa ushauri Bora.

Assalam alyekum kwa Waislam,
Tumsifu Yesu Kristo kwa Waislam.
Wapagani, salama!!

Nimeoa Miaka tisa iliyopita. Nimejaliwa watoto wawili sasa.
Juzi familia yangu ilipata mualiko kwenda kwenye sherehe ya harusi ambayo ukumbi ulikuwa kwenye Moja ya visiwa vilivyoko bahari ya Hindi karibu na Jiji la Dar.

Basi huko mambo yalienda vizuri kwa upande wangu lakini nilishangaa kuona mke wangu Akiwa Hana furaha.
Sikumzingatia Sana ili asijeiharibu furaha yangu nikiwa nimepanga kumuuliza tukiwa tumerudi nyumbani.

Kufika nyumba, mwanamke amevuta mdomo kama kang'atwa na Nyigu. Kulikoni Mke wangu. Ndipo akaanza kushusha risala ndefu yenye shutuma, lawama na kejeli.

Nilinangwa!

Nilikaangwa!

Oooh! Miaka yote tisa tunapanda Daladala Mpaka tumekariri vituo kama Makonda wa Daladala.

Miaka tisa yote nimevumilia.

Watoto wadogo kina Chief Godlove wamezuka huko wanakupiga bao kama mjingamjinga.

Nikasema kimoyomoyo. toba! Nimekuwa mjinga tena.

Hivi gari la Milioni Saba tuu hata kama ni used umekosa?
Hata kama ni mkwechemkweche gari ni gari.

Alafu unajiita Taikon, taikon gani.
Nitakupeleka kwa Kina Mwamposa wakupe Upako wa Gari.
Nikasema mmmh! Yamefikia huko.

Akaendelea;
Mimi kukupenda usichukulie kama udhaifu wa KUFIKIRI sipendi maisha mazuri. Nataka maisha mazuri Mimi. Nimechoka Baby T kukimbizana na Daladala.

Mambo ya kunukishana mijasho na kubambiwa sitaki.

"Eeeh! Aaa mke wangu Maneno gani tena hayo" nikasema.

Wewe unafikiri mbanano ule wa Daladala nitaachwa kubambiwa na kunukishwa mijasho?
Nikasema, aaaah!

Akaendelea;
Wewe si bingwa wa kuandika mamakala mrefu huko Mitandaoni ambayo hayakuingizii chochote. Alafu unanikeraga Sana.

Sasa niandikie kurasa ishirini za sababu zilizokufanya ushindwe Kununua gari tangu unioe huu mwaka wa Tisa.
Ziwe sababu zilizoshiba.

Akaenda bafuni akiniacha nimetekewa. Alaaah!

Sasa Mimi nitaandika nini jamani!
Yaani hapa kichwa kimefura sijui niandike nini.
Pointi haziji.

Naombeni ushauri. Wenye matusi Leo sitayajibu. Siwezi jibu matusi wakati ndoa yangu IPO taabani .

Leo sipumziki.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Kamba
 
Muambie kwa miaka tisa ilikuwa inatosha na yeye kulinunua maana kuna wanawake wenzie wengi wanayo 😁😁

Japo ana point pia na kama ni miaka tisa ya mahusiano. Ni wazi ulimchukua katika peak yake ya usichana akiwa na options kibao ila akatulia na wewe. Usimfanye ajute jute kwa kujiona alikosea njia 😁😁

Ahsante Sana
Maelezo yako yanatia uchungu Sana
 
Back
Top Bottom